Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

deal done!
That is Fine.
Time is so fast, Uzee unakuja.
I am a Man, but nakubaliana na Maamuzi yako kwa 100%.
Kuna mmoja aliwahi kuandika humu kwamba uchawi ni kukaa na mtoto wa watu miaka 8 halafu unaoa mwingine bila kujali umempotezea muda kiasi gani, A Promise to Marriage is a contract! A breach of contract has liability!
Congratulation!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Well done!
 
From what i see, imetokea kwamba A ana low sex drive ikiwa Salad we upo na high sex drive. Sasa tabu ya watu wenye low sex drive mpaka wao wajiskie ku xxx ni shughuli maana hisia zao zipogi off na kuziwasha ni sawa na gari ya diesel ambayo kuwaka mpaka ipate msukumo kwenye mteremko, mara nyingi wanawaza maisha tu na hela, kwao xxx sio priority! Tatizo linakuja we una high sex drive na ni push to start yani Ever-ready, kwa hivyo hamkuwa na uwiano.
Ni dhahiri jamaa amejitahidi kuku accomodate mwanzoni ila eventually ameshindwa kufake kuwa hawezani na kasi ya hapa kazi tu. Mi sioni wa kulaumiwa hapo, nobody has to settle for less katika ulimwengu wa mahusiano ingekuwa for the sake of money ningekulaumu ila kwa hitaji lako upo sahihi.

Hio situation ishamtokeaga mchizi wangu wa karibu pia, aliachana na manzi kwa sababu hio hio demu alikuwa anahusudu xxx sana kila saa anataka kuja ghetto, yani akiuliza upo wapi ukajibu ghetto anakuletea ndi ndi ndi ikafikia stage mchizi akawa anasema yupo town sasa kuepusha jam.
 
It could be......................
 
deal done!
That is Fine.
Time is so fast, Uzee unakuja.
I am a Man, but nakubaliana na Maamuzi yako kwa 100%.
Kuna mmoja aliwahi kuandika humu kwamba uchawi ni kukaa na mtoto wa watu miaka 8 halafu unaoa mwingine bila kujali umempotezea muda kiasi gani, A Promise to Marriage is a contract! A breach of contract has liability!
Congratulation!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Well done!

A MAN HAS SPOKEN.
THANK YOU VERE VERE MUCH....
 
Inaonekana ulikua unataka ndoa ambayo a hakukutajia toka umekua nae, baada ya b kutangaza nia ukawa umepata hitaji la moyo wako.
 
Ninaleta story hii hapa, ukitukana sawa, ukibeza sawa. Ila wanaume wa ukweli wako wangapi, mjihesabu?

Nilifika wakati nikawa na choices 2 - Mwanaume A na Mwanaume B. Wanafahamiana na mara kwa mara nafanya nao kazi ingawa sio ofisi moja. A na B wamelingana sana, vitu vingi wanafanana - haiba, personality, nk. Kwa muonekano, A ndiye alinivutia zaidi na tukaanza relationship. Mwanaume B hakujua ingawa kila mara alimsema vibaya A. Mimi sikujali na sikumpa sikio maana sikuwa na interest.

Baada ya muda, mwanaume A akaanza visa. Wivu, mwanaume ana choyo hakuna mfano, kibaya zaidi akaanza kunibania XXX. Hapa ndipo alinishangaza, huyu mwanaume veepeeee?. Nikamwambia kama umepata mwingine sema mimi nianze akasema hana mtu yoyote? Nikamwambia sitaweza kuendelea, akasema nipe muda nina stress za kutosha. Kila mara nikifuatilia anayoniambia hivyo vijisababu nakuta yana ukweli, hakuwa muongo kivile. Ila jamani unaishije kwa muda mrefu bila XXX.

Na mimi sikutaka kumcheat hata kidogo. Ila mwanaume wa kazi gani lakini jamani? Kwani gari useme naendesha barabarani watu walione niridhike? Nikatangaza nia yangu. Nikamwambia sitaweza nikipata mwingine natimua zangu sitaki gozigozi. Akasema nimpe muda nikaona myeyusho kweli huyu anataka kuniua na njaa au? Mpaka nikasema au ana matumizi gani na mimi zaidi ya uhusiano na mchezo? Mwanaume A akaniambia basi naomba hata ukipata mtu mwingine usinisahau mapema, yani nikamshangaa, nikukumbuke kwa lipi?

Ikatokea nafasi nikawa safari na Mwanaume B. Nilipata nafasi ya kumuelewa vizuri zaidi ya urafiki wa kawaida. Hakukutokea kitu huko safari ila nilipata ile kitu inaitwa Aha! effect. Nikasema looh napoteza muda wa kazi gani na huyu mwanaume A? Nikarudi mjini nikatafakari sana, maana nilijua litatokea timbwili la ukweli. Sasa mwanaume mzuri unampataje? Huyu hapa B ambaye sikumpa jicho la umakini awali. Nilipopewa outing siku moja katika one of the finest hotels in Dar akanieleza nia yake ambayo tangu awali hakuwahi kuisema ingawa alionyesha interest kubwa. Nikazuga nitafikiria ingawa ndio mwelekeo ulishahama kutoka kwa A.

Ndi Ndi Ndi
Jamani A nikamwambia basi. Akaniambia yani utanisahauje ghafla hivyo si ungenipa nafasi kidogo nikamwambia - baba wewe nilikuchanganya na nani? Kosa langu kumuambia ni nani nimeanza naye uhusiano. Ni lazima angejua na ingekuwa sooo sanaaaa katika mazingira yaliyopo. Ilikuwa lazima niseme ila sitasema hapa kwa sababu gani. Akaniambia wanaume wote umeona yule ni mwanaume? Yani hapo imepita miezi mwenzie nimeridhika kila kituuuu na huyo B. Ananipa a Queens treatment yeye kabana hilo ndi ndi ndi lake, wa kazi gani? Huyo awe ana cheat ama la mimi sijali kwanini haki yangu hakunipa?

Wanaume wengine hawajielewi kweli. Mahusiano professionally yanaendelea sasa hapo kazi ni kwamba kaamua kufanya hivi - simu yangu moja ka block whatsapp kaacha viber na calls, ya pili ka block calls kaacha whatsapp na viber. Khaaa, kazi inaendaje hapo jamani? Natwanga emails tu nyingiii za kikazi, very professional kama hakuna kilichotokea. Si afunge simu zote kila kitu basi - whatsapp, calls, viber, sms kama kakasirika sanaaaaa. Kakaa tu sijui anategeshea nini, halo haloooo. Acheni mchezo yeye alidhani mimi mdoli ananiweka kunipangusa vumbi once a month?

Hivi mwanaume anakuwaje hivyo lakini yani kwa mfano? Tatizo kamuanzishia mwenzie bifu la ukweli mimi kimyaaa nimeminya wakifukuzana kazi hayanihusu. Roho kuntu, nasonga mbele na B wangu.

Ndipo nilipojua kuna wanaume vifirimbindi kweli, ushikwapo shukamana la sivyo NDI NDI NDI!

Ngoja niende zangu field miye....wanaume mjipange.
Kama ameshindwa kazi basi pole zake, awaachie wengine[emoji4]
 
Maharagwe ya mbeya

Hilo wala siyo tusi kwangu? Maharagwe ya Mbeya lazima uweke mkaa mara mbili, heri uniite mchicha ambao kabla hujautumbukiza kwenye maji umeshaiva. If thats what makes you happy, fine by me.
Kama una dada na yeye angeachana na boy mmoja akaondoka na boy mwingine, nayeye anakuwa maharagwe ya mbeya? Uliyenaye naye ni maharagwe ya mbeya au ulimkuta bikra?
Get lost!
 
Ndoa unaitaka wewe labda, eti?
Wewe umesema b alikualezea nia yake ambayo hapo awali hakuisema, mwanaume anaweza kumwambia mwanamke nia yake ipi zaidi ya ndoa, maana kama ni nia ya kua na wewe alishaisema hapo kabla ila alipokupeleka hotelini ndio akasema nia nyngne ambayo hakua ameisema kabla.

Zaidi ya hiyo nia anaweza kua alitamka nia gani,au aoiomba mtandao wa wajanja wa buzz ni bomba.
 
Hahahaha duuuuh hii story inachekesha kweli, Ila Salad una genye hatari, vipi kama mumeo akienda masomoni nje au kaenda mission za kijeshi miezi sita? Utafanya nini?
 
Wewe umesema b alikualezea nia yake ambayo hapo awali hakuisema, mwanaume anaweza kumwambia mwanamke nia yake ipi zaidi ya ndoa, maana kama ni nia ya kua na wewe alishaisema hapo kabla ila alipokupeleka hotelini ndio akasema nia nyngne ambayo hakua ameisema kabla.

Zaidi ya hiyo nia anaweza kua alitamka nia gani,au aoiomba mtandao wa wajanja wa buzz ni bomba.

Hapo kwenye blue ndio tatizo lako. Nimekuelewa sasa, pole unahitaji msaada wa kueleweka.
Nia ya mwanaume ni ndoa tu? mxmmm
 
Ninachokiona huyo Mr A kaona wewe sio type ya yeye kujicommit Ila anafurahia gemu hatari though ni mara moja moja, kaona it's better ukamove on Ila akaweka mazingira ya yeye kupiga akitaka (Ila katumia line ya kijinga kweli - usinisahau mapema, hapa kwa kweli ni insult kwa IQ yako)
 
Kwa maelezo haya ww ndo hujielewi unachokitaka hasa ni nn
 
Hapo kwenye blue ndio tatizo lako. Nimekuelewa sasa, pole unahitaji msaada wa kueleweka.
Nia ya mwanaume ni ndoa tu? mxmmm
Najua na naamini uwezo wangu wa kufikiri ni mkubwa kuliko wako, nadhani hujui umeandika nini, rudia kusoma ulichokiandika na nilichokiandika nadhani utaelewa kua ubishi wako umejikita kat8ka kutokuelewa au uelewa mdogo.
 
Hilo wala siyo tusi kwangu? Maharagwe ya Mbeya lazima uweke mkaa mara mbili, heri uniite mchicha ambao kabla hujautumbukiza kwenye maji umeshaiva. If thats what makes you happy, fine by me.
Kama una dada na yeye angeachana na boy mmoja akaondoka na boy mwingine, nayeye anakuwa maharagwe ya mbeya? Uliyenaye naye ni maharagwe ya mbeya au ulimkuta bikra?
Get lost!

Ukweli unauma
 
Back
Top Bottom