Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

Tatizo ulipenda pesa za bosi A ukakuta ndi ndi ndi haifanyi kazi, kule B ulijifanya huoni, baada ya kufeli A ukarudi, ningekuwa mimi ndio B nakucharaza mikwaju halafu nakutema kama sikujui vile. Hizo ni dharau unahamahama tena ofsi moja mwisho utaenda hadi kwa mlinzi sasa.
Ninaleta story hii hapa, ukitukana sawa, ukibeza sawa. Ila wanaume wa ukweli wako wangapi, mjihesabu?

Nilifika wakati nikawa na choices 2 - Mwanaume A na Mwanaume B. Wanafahamiana na mara kwa mara nafanya nao kazi ingawa sio ofisi moja. A na B wamelingana sana, vitu vingi wanafanana - haiba, personality, nk. Kwa muonekano, A ndiye alinivutia zaidi na tukaanza relationship. Mwanaume B hakujua ingawa kila mara alimsema vibaya A. Mimi sikujali na sikumpa sikio maana sikuwa na interest.

Baada ya muda, mwanaume A akaanza visa. Wivu, mwanaume ana choyo hakuna mfano, kibaya zaidi akaanza kunibania XXX. Hapa ndipo alinishangaza, huyu mwanaume veepeeee?. Nikamwambia kama umepata mwingine sema mimi nianze akasema hana mtu yoyote? Nikamwambia sitaweza kuendelea, akasema nipe muda nina stress za kutosha. Kila mara nikifuatilia anayoniambia hivyo vijisababu nakuta yana ukweli, hakuwa muongo kivile. Ila jamani unaishije kwa muda mrefu bila XXX.

Na mimi sikutaka kumcheat hata kidogo. Ila mwanaume wa kazi gani lakini jamani? Kwani gari useme naendesha barabarani watu walione niridhike? Nikatangaza nia yangu. Nikamwambia sitaweza nikipata mwingine natimua zangu sitaki gozigozi. Akasema nimpe muda nikaona myeyusho kweli huyu anataka kuniua na njaa au? Mpaka nikasema au ana matumizi gani na mimi zaidi ya uhusiano na mchezo? Mwanaume A akaniambia basi naomba hata ukipata mtu mwingine usinisahau mapema, yani nikamshangaa, nikukumbuke kwa lipi?

Ikatokea nafasi nikawa safari na Mwanaume B. Nilipata nafasi ya kumuelewa vizuri zaidi ya urafiki wa kawaida. Hakukutokea kitu huko safari ila nilipata ile kitu inaitwa Aha! effect. Nikasema looh napoteza muda wa kazi gani na huyu mwanaume A? Nikarudi mjini nikatafakari sana, maana nilijua litatokea timbwili la ukweli. Sasa mwanaume mzuri unampataje? Huyu hapa B ambaye sikumpa jicho la umakini awali. Nilipopewa outing siku moja katika one of the finest hotels in Dar akanieleza nia yake ambayo tangu awali hakuwahi kuisema ingawa alionyesha interest kubwa. Nikazuga nitafikiria ingawa ndio mwelekeo ulishahama kutoka kwa A.

Ndi Ndi Ndi
Jamani A nikamwambia basi. Akaniambia yani utanisahauje ghafla hivyo si ungenipa nafasi kidogo nikamwambia - baba wewe nilikuchanganya na nani? Kosa langu kumuambia ni nani nimeanza naye uhusiano. Ni lazima angejua na ingekuwa sooo sanaaaa katika mazingira yaliyopo. Ilikuwa lazima niseme ila sitasema hapa kwa sababu gani. Akaniambia wanaume wote umeona yule ni mwanaume? Yani hapo imepita miezi mwenzie nimeridhika kila kituuuu na huyo B. Ananipa a Queens treatment yeye kabana hilo ndi ndi ndi lake, wa kazi gani? Huyo awe ana cheat ama la mimi sijali kwanini haki yangu hakunipa?

Wanaume wengine hawajielewi kweli. Mahusiano professionally yanaendelea sasa hapo kazi ni kwamba kaamua kufanya hivi - simu yangu moja ka block whatsapp kaacha viber na calls, ya pili ka block calls kaacha whatsapp na viber. Khaaa, kazi inaendaje hapo jamani? Natwanga emails tu nyingiii za kikazi, very professional kama hakuna kilichotokea. Si afunge simu zote kila kitu basi - whatsapp, calls, viber, sms kama kakasirika sanaaaaa. Kakaa tu sijui anategeshea nini, halo haloooo. Acheni mchezo yeye alidhani mimi mdoli ananiweka kunipangusa vumbi once a month?

Hivi mwanaume anakuwaje hivyo lakini yani kwa mfano? Tatizo kamuanzishia mwenzie bifu la ukweli mimi kimyaaa nimeminya wakifukuzana kazi hayanihusu. Roho kuntu, nasonga mbele na B wangu.

Ndipo nilipojua kuna wanaume vifirimbindi kweli, ushikwapo shukamana la sivyo NDI NDI NDI!

Ngoja niende zangu field miye....wanaume mjipange.
 
Kwani kazi ya mwanamke na mwanaume ni nini?
Wewe ni mwanaume au mwanaume? kama wewe mwanaume na hufikirii kumkojoza demu wako - Ndi Ndi Ndi
Nianze kupiga push up kila siku asbh hawakawii hawa kutupigia ndi ndi ndi
 
Kukojozwa mara moja kwa mwezi unaona sawa? Wewe ungevumilia? stress zako peleka hukooo hazinihusu, wanaume muwajibike
yani na wewe unamtetea kwamba sawa?
Mpaka dakika hii ni kama vile unanisema mimi maana wiki iliyopita kuna mwanamke kanipa ahadi niende.kumkojoza nikazingua, alikasirika sana nikampa sababu akavumilia, sasa tumepanga tena the very soon coming wknd kasisitiza nisikose shida nikwamba sina mood kbs nina stress zangu kibao, sijui niende tu hivyohivyo nikazibe nomaa?? Ushauri wako salad plz
 
Salad nakuunga mkono 100%. Unakaaje na mzinguaji hivyo kama shamba hawezi kulilima basi awaachie wengine, tena ukawa mstaarab ukamshirikisha mara kadhaa.
By



By the way, nilishamwambia kama hana interest aniambie anasema anayo? Nikamwambia kama simvutii tena aseme nisepe zangu akasema hapana....bado namsubiri tuuuuuu anabana mwanaume wa kazi ganiiiii
 
Heheheheee
Yaan ata huyo b atakukimbia unafanya mchezo na kukojoza nn?
Watu na uzoefu wa15years bado wametoka nduk.

Kukojozana kupo ila siyo hata kunikanda mgongo huwezi unawaza kukojozwa tu lzm mtu atoke nduki unaweza mpa kibiongo bure!
 
Your mouth has just spoken my thoughts[
Kama nimemuelewa vizuri bibi ndi ndi ndi, ni kwamba she is a woman mwenye genye nyingi sana but ana sifa ya uaminifu. Anapenda ku ndi ndindiwa na 1 aliye mchagua, hiyo assumption yangu ya kwanza; ya pili ni hi; huyu mdada amekonyozwa na wanaume kadhaa huko nyuma hoping to get married with them na haikutokea but umri ndio uleeeee wa finali so anataka kuolewa na anapenda sana kuolewa hata kesho ila shida ni waoaji sasa ndio NDI NDI NDI.
 
Video ninayo ya hilo tukio, yule mwanaume kilaza kweli
mimi siwezi kumtetea,napenda sana mwanamke anayependa kugegedwa kama wewe mana tutakutana wote tunapenda kamchezo so hapo ni dozi tuu.mara mia nimtetee yule jamaa aliyemmwagia dada wa watu kwenye basi la mwendokasi(kwenye jukwa la habari na hoja mchanganyiko)
 
Video ninayo ya hilo tukio, yule mwanaume kilaza kweli
ahahaha,jamaa akaamua kujimaliza ndani ya bus,kaaibika sana,cjajua muafaka,alitoa mkwanja au walimpeleka kituoni.mfano wampeleke kituoni cjui aibu gani ataipata mtaani kwao ukiacha kwenye famila yake.
 
ahahaha,jamaa akaamua kujimaliza ndani ya bus,kaaibika sana,cjajua muafaka,alitoa mkwanja au walimpeleka kituoni.mfano wampeleke kituoni cjui aibu gani ataipata mtaani kwao ukiacha kwenye famila yake.
Aisee itakuwa hamnazo yule, bora ukanunue malaya pale mwananyamala kuliko kufanya like tukio. Jamaa kazingua kinomaa
 
Usichojua Salad wanaume Hawawezi kumkojoza mwanamke mmoja kwa kiwango kilekile muda wote! With time hamu huisha lakini wanaume wanajitahidi kuhold on, the same inatokea kwa mwanamke lkn very fortunately kwenu hata kama hamko vema huwezi jua! Kwa wanaume with time farasi anapoteza kasi, mbinu zaidi ndio zinatubeba, Ila ukiwa na mwanamke ambaye yuko supportive maisha yanaenda salama! Ila kama mwanamke akikupush farasi analala muda mrefu zaidi na hofu humnyima uwezo wa kupambana!
Kitu kimoja to all ladies, sisi ni wadhaifu kuliko mnavyofikiria!
Wanawake mko stronger, courageous na mpo emotionally stable mkijilinganisha nasi!
Kwa kumwambia mwanaume kuwa hunifikishi, umeua self esteem, yaani umempiga ngumi kama 100, kudoubt uwezo wake au kumuungurumia kuwa unataka na yeye hawezi ni sawa na umemnyanyasa mno!
Sikulaumu kudai du du, ni haki yako, hakuna namna utaishi na mwanaume miezi sita ukisubiri kukojozwa ambapo hata hujui itakuwa lini! Ila shida yako ni aina na tabia yako katika kudai huko kukojozwa! Majibu ya Mr. A yanaonesha umemuintimidate mno, mwanaume hawezi kuruhusu mwanamke wake akutafute mtu mwingine tena kwa kuwa yeye kashindwa kumkojoza, hilo ni tusi kuliko hata kutikaniwa dunia nzima!
Hauko sensitive, na huoneshi kujali, ki kawaida friends au watu waliokaribu na mwenza wako hata kwa mistake huwezi kutoka nao! Ni disrespect in a way kuniacha Mimi na kuchuliwa na mtu ambaye yuko closer nami au ninayemfahamu kwa kuwa mimi pia lazima nitaingia ktk discussions zenu, na kushindwa kwangu kukukojoza itakuwa ni sehemu ya mijadala yenu! Rafiki wa A watahoji huu uhusiano mpya na B atawaeleza watu kwanini amemreplace A, lkn pia wewe at certa point utalazimika tu kutolea maelezo hiyo u turn ndani ya ofisi kama ulivyofanya hapa!
Kila la Heri Bi Salad, lkn jitahidi kuwa sensitive unapokuwa na mwenza and try kuwa considerate unapokuwa na mahusiano!
Hakika wewe umeelezea vzr,
 
Bado natatizika sana kwenye uhusiano wa hii tarehe 1st January BoD na post za namna hii kuna nini nyuma yake kinaendelea?
Yani kila member mpya mwenye hii tarehe ya kuzaliwa ni kasheshe 1st of January (1970)
 
upendo na mihemko ya mwili...siku ukiyajua hayo haya maandishi utayakimbia na kuyakana...You are too valuable more than kukojozwa

Dah wew Dada nimekupenda Bure yan wew ni greda mana nikikuita jembe sio hadhi yako kabsa

Bravo sijui nisemeje utanielewa
 
Back
Top Bottom