Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

By
So, the brotha is on blast cuz he couldn't "luv" no more? Damn sister!

Halafu kakupa ruhusa uendelee mbele, umem-replace na colleague na bado unategemea awe ok? C'mon!

By the way, nilishamwambia kama hana interest aniambie anasema anayo? Nikamwambia kama simvutii tena aseme nisepe zangu akasema hapana....bado namsubiri tuuuuuu anabana mwanaume wa kazi ganiiiii
 
Kukojozwa kupo ila aina ya ww ni wale mnaofikiri kila panapo tendo lazima ukojozwe, kuna muda nawe unahitah kumpa yeye raha tu!!
Na kama unapenda kukojozwa kila mara tafuta super mario muweke ndan awe kwa kaz hiyo tu!

hahaha, yani unashangaza sana. Sasa tendo la nini kama hakuna kukojozwa? Hivi wanawake zangu mnawasikia hawa wanaume lakini? Kwanza wanasema kukojozwa sio lazima, wanawake tuwavumilie wanaume wasiofanya majukumu yao bedroom, eti tunawaza sex tu.
Basi hiki ndiyo kizazi kilichopo sasa hivi cha wanaume. Kumbe wapo wengiiiiii...poor gals
Men must be men, hatutaki sura wala pesa, but men in their totality
 
Yaan ata huyo b atakukimbia unafanya mchezo na kukojoza nn?
Watu na uzoefu wa15years bado wametoka nduk.

Kukojozana kupo ila siyo hata kunikanda mgongo huwezi unawaza kukojozwa tu lzm mtu atoke nduki unaweza mpa kibiongo bure!
 
sasa jamen hayo mastress na majanga si unapozwa na mtu wako,,,asikuzuge huyo ni mwanaume wa dar na ana hekaheka,,,wewe ndindii kivyako na b
 
Kama hajaacha kunipenda hasira zote za nini? Hiyo ya colleague ni coincidence tu
Una uhakika he couldnt luv no more? unajua mara ngapi aliomba second chance?
I dont give a damn...wanaume wengine mna tabu

Slow down mama. "Luv" imetumika figuratively.

Basically, umeamuacha jamaa kwa sababu ameshindwa kukutimizia haja za kimwili kama mwanzo. Kakueleza tatizo lake ukakosa uvumilivu; kakuruhusu kuendelea na mtu mwingine, kwa condition ya kutomsahau mapema, ukabeba colleague. If I couldn't do my lady, and she couldn't stay; and the guy she picks next, is the mofo I know and probably don't like; I'd freak the hell out and probably lose it. No man wouldn't.

So cut the brotha some slack, as he still keeps it professional.

And going by your tone here, my heart goes to the brother.
 
Having a dcik I can work with doesn't make me more of a man, but if I couldn't work it anymore I'd feel less of a man.

The brothaman lost the ability to luv the woman he loves; then lost that woman he loves; lost that woman to a mofo next desk/office; to make it much worse, that woman runs her mouth about the whole situation. Bruh!!

I'll add it to my prayers that Lord protect me from a mama so heartless.
 
Basi ndiyo tatizo kwan ni kaz mno kuwa na mwanamke anayewaza kukojozwa kila mara, huwa hawana tofaut na wanaosagana!
Kukojozwa kupo ila aina ya ww ni wale mnaofikiri kila panapo tendo lazima ukojozwe, kuna muda nawe unahitah kumpa yeye raha tu!!
Na kama unapenda kukojozwa kila mara tafuta super mario muweke ndan awe kwa kaz hiyo tu!
you are a useless man!
 
hahaha, yani unashangaza sana. Sasa tendo la nini kama hakuna kukojozwa? Hivi wanawake zangu mnawasikia hawa wanaume lakini? Kwanza wanasema kukojozwa sio lazima, wanawake tuwavumilie wanaume wasiofanya majukumu yao bedroom, eti tunawaza sex tu.
Basi hiki ndiyo kizazi kilichopo sasa hivi cha wanaume. Kumbe wapo wengiiiiii...poor gals
Men must be men, hatutaki sura wala pesa, but men in their totality
nimeshangaa sana comments.

ingekuwa ni mwanaume kaanzisha hii mada wangesema "piga chini huyo hajui tendo ni muhimu kwa mwanaume".

mwanamke kaanzisha, eti "humpendi, ungevumilia"

NDI NDI NDI!
 
Ninaleta story hii hapa, ukitukana sawa, ukibeza sawa. Ila wanaume wa ukweli wako wangapi, mjihesabu?

Nilifika wakati nikawa na choices 2 - Mwanaume A na Mwanaume B. Wanafahamiana na mara kwa mara nafanya nao kazi ingawa sio ofisi moja. A na B wamelingana sana, vitu vingi wanafanana - haiba, personality, nk. Kwa muonekano, A ndiye alinivutia zaidi na tukaanza relationship. Mwanaume B hakujua ingawa kila mara alimsema vibaya A. Mimi sikujali na sikumpa sikio maana sikuwa na interest.

Baada ya muda, mwanaume A akaanza visa. Wivu, mwanaume ana choyo hakuna mfano, kibaya zaidi akaanza kunibania XXX. Hapa ndipo alinishangaza, huyu mwanaume veepeeee?. Nikamwambia kama umepata mwingine sema mimi nianze akasema hana mtu yoyote? Nikamwambia sitaweza kuendelea, akasema nipe muda nina stress za kutosha. Kila mara nikifuatilia anayoniambia hivyo vijisababu nakuta yana ukweli, hakuwa muongo kivile. Ila jamani unaishije kwa muda mrefu bila XXX.

Na mimi sikutaka kumcheat hata kidogo. Ila mwanaume wa kazi gani lakini jamani? Kwani gari useme naendesha barabarani watu walione niridhike? Nikatangaza nia yangu. Nikamwambia sitaweza nikipata mwingine natimua zangu sitaki gozigozi. Akasema nimpe muda nikaona myeyusho kweli huyu anataka kuniua na njaa au? Mpaka nikasema au ana matumizi gani na mimi zaidi ya uhusiano na mchezo? Mwanaume A akaniambia basi naomba hata ukipata mtu mwingine usinisahau mapema, yani nikamshangaa, nikukumbuke kwa lipi?

Ikatokea nafasi nikawa safari na Mwanaume B. Nilipata nafasi ya kumuelewa vizuri zaidi ya urafiki wa kawaida. Hakukutokea kitu huko safari ila nilipata ile kitu inaitwa Aha! effect. Nikasema looh napoteza muda wa kazi gani na huyu mwanaume A? Nikarudi mjini nikatafakari sana, maana nilijua litatokea timbwili la ukweli. Sasa mwanaume mzuri unampataje? Huyu hapa B ambaye sikumpa jicho la umakini awali. Nilipopewa outing siku moja katika one of the finest hotels in Dar akanieleza nia yake ambayo tangu awali hakuwahi kuisema ingawa alionyesha interest kubwa. Nikazuga nitafikiria ingawa ndio mwelekeo ulishahama kutoka kwa A.

Ndi Ndi Ndi
Jamani A nikamwambia basi. Akaniambia yani utanisahauje ghafla hivyo si ungenipa nafasi kidogo nikamwambia - baba wewe nilikuchanganya na nani? Kosa langu kumuambia ni nani nimeanza naye uhusiano. Ni lazima angejua na ingekuwa sooo sanaaaa katika mazingira yaliyopo. Ilikuwa lazima niseme ila sitasema hapa kwa sababu gani. Akaniambia wanaume wote umeona yule ni mwanaume? Yani hapo imepita miezi mwenzie nimeridhika kila kituuuu na huyo B. Ananipa a Queens treatment yeye kabana hilo ndi ndi ndi lake, wa kazi gani? Huyo awe ana cheat ama la mimi sijali kwanini haki yangu hakunipa?

Wanaume wengine hawajielewi kweli. Mahusiano professionally yanaendelea sasa hapo kazi ni kwamba kaamua kufanya hivi - simu yangu moja ka block whatsapp kaacha viber na calls, ya pili ka block calls kaacha whatsapp na viber. Khaaa, kazi inaendaje hapo jamani? Natwanga emails tu nyingiii za kikazi, very professional kama hakuna kilichotokea. Si afunge simu zote kila kitu basi - whatsapp, calls, viber, sms kama kakasirika sanaaaaa. Kakaa tu sijui anategeshea nini, halo haloooo. Acheni mchezo yeye alidhani mimi mdoli ananiweka kunipangusa vumbi once a month?

Hivi mwanaume anakuwaje hivyo lakini yani kwa mfano? Tatizo kamuanzishia mwenzie bifu la ukweli mimi kimyaaa nimeminya wakifukuzana kazi hayanihusu. Roho kuntu, nasonga mbele na B wangu.

Ndipo nilipojua kuna wanaume vifirimbindi kweli, ushikwapo shukamana la sivyo NDI NDI NDI!

Ngoja niende zangu field miye....wanaume mjipange.
Inaonekana umehitimu somo lkutoka chuo kikuu kiitwacho LARA ONE OPEN UNIVERSITY,,..CONGRATS,....TEHEEEE
 
Kama nimemuelewa vizuri bibi ndi ndi ndi, ni kwamba she is a woman mwenye genye nyingi sana but ana sifa ya uaminifu. Anapenda ku ndi ndindiwa na 1 aliye mchagua, hiyo assumption yangu ya kwanza; ya pili ni hi; huyu mdada amekonyozwa na wanaume kadhaa huko nyuma hoping to get married with them na haikutokea but umri ndio uleeeee wa finali so anataka kuolewa na anapenda sana kuolewa hata kesho ila shida ni waoaji sasa ndio NDI NDI NDI.
 
Having a dcik I can work with doesn't make me more of a man, but if I couldn't work it anymore I'd feel less of a man.

The brothaman lost the ability to luv the woman he loves; then lost that woman he loves; lost that woman to a mofo next desk/office; to make it much worse, that woman runs her mouth about the whole situation. Bruh!!

I'll add it to my prayers that Lord protect me from a mama so heartless.
UMESEMA KWELI KABISA.
 
Back
Top Bottom