Baadhi ya wanaume hawajielewi - Ndi Ndi Ndi

Utakojozwa for 15 years. Hivi kukojozana imekuwa ngumu miaka hii?
 
Ninaleta story hii hapa, ukitukana sawa, ukibeza sawa. Ila wanaume wa ukweli wako wangapi, mjihesabu?

Nilifika wakati nikawa na choices 2 - Mwanaume A na Mwanaume B. Wanafahamiana na mara kwa mara nafanya nao kazi ingawa sio ofisi moja. A na B wamelingana sana, vitu vingi wanafanana - haiba, personality, nk. Kwa muonekano, A ndiye alinivutia zaidi na tukaanza relationship. Mwanaume B hakujua ingawa kila mara alimsema vibaya A. Mimi sikujali na sikumpa sikio maana sikuwa na interest.

Baada ya muda, mwanaume A akaanza visa. Wivu, mwanaume ana choyo hakuna mfano, kibaya zaidi akaanza kunibania XXX. Hapa ndipo alinishangaza, huyu mwanaume veepeeee?. Nikamwambia kama umepata mwingine sema mimi nianze akasema hana mtu yoyote? Nikamwambia sitaweza kuendelea, akasema nipe muda nina stress za kutosha. Kila mara nikifuatilia anayoniambia hivyo vijisababu nakuta yana ukweli, hakuwa muongo kivile. Ila jamani unaishije kwa muda mrefu bila XXX.

Na mimi sikutaka kumcheat hata kidogo. Ila mwanaume wa kazi gani lakini jamani? Kwani gari useme naendesha barabarani watu walione niridhike? Nikatangaza nia yangu. Nikamwambia sitaweza nikipata mwingine natimua zangu sitaki gozigozi. Akasema nimpe muda nikaona myeyusho kweli huyu anataka kuniua na njaa au? Mpaka nikasema au ana matumizi gani na mimi zaidi ya uhusiano na mchezo? Mwanaume A akaniambia basi naomba hata ukipata mtu mwingine usinisahau mapema, yani nikamshangaa, nikukumbuke kwa lipi?

Ikatokea nafasi nikawa safari na Mwanaume B. Nilipata nafasi ya kumuelewa vizuri zaidi ya urafiki wa kawaida. Hakukutokea kitu huko safari ila nilipata ile kitu inaitwa Aha! effect. Nikasema looh napoteza muda wa kazi gani na huyu mwanaume A? Nikarudi mjini nikatafakari sana, maana nilijua litatokea timbwili la ukweli. Sasa mwanaume mzuri unampataje? Huyu hapa B ambaye sikumpa jicho la umakini awali. Nilipopewa outing siku moja katika one of the finest hotels in Dar akanieleza nia yake ambayo tangu awali hakuwahi kuisema ingawa alionyesha interest kubwa. Nikazuga nitafikiria ingawa ndio mwelekeo ulishahama kutoka kwa A.

Ndi Ndi Ndi
Jamani A nikamwambia basi. Akaniambia yani utanisahauje ghafla hivyo si ungenipa nafasi kidogo nikamwambia - baba wewe nilikuchanganya na nani? Kosa langu kumuambia ni nani nimeanza naye uhusiano. Ni lazima angejua na ingekuwa sooo sanaaaa katika mazingira yaliyopo. Ilikuwa lazima niseme ila sitasema hapa kwa sababu gani. Akaniambia wanaume wote umeona yule ni mwanaume? Yani hapo imepita miezi mwenzie nimeridhika kila kituuuu na huyo B. Ananipa a Queens treatment yeye kabana hilo ndi ndi ndi lake, wa kazi gani? Huyo awe ana cheat ama la mimi sijali kwanini haki yangu hakunipa?

Wanaume wengine hawajielewi kweli. Mahusiano professionally yanaendelea sasa hapo kazi ni kwamba kaamua kufanya hivi - simu yangu moja ka block whatsapp kaacha viber na calls, ya pili ka block calls kaacha whatsapp na viber. Khaaa, kazi inaendaje hapo jamani? Natwanga emails tu nyingiii za kikazi, very professional kama hakuna kilichotokea. Si afunge simu zote kila kitu basi - whatsapp, calls, viber, sms kama kakasirika sanaaaaa. Kakaa tu sijui anategeshea nini, halo haloooo. Acheni mchezo yeye alidhani mimi mdoli ananiweka kunipangusa vumbi once a month?

Hivi mwanaume anakuwaje hivyo lakini yani kwa mfano? Tatizo kamuanzishia mwenzie bifu la ukweli mimi kimyaaa nimeminya wakifukuzana kazi hayanihusu. Roho kuntu, nasonga mbele na B wangu.

Ndipo nilipojua kuna wanaume vifirimbindi kweli, ushikwapo shukamana la sivyo NDI NDI NDI!

Ngoja niende zangu field miye....wanaume mjipange.
Ukiweza kutofautisha kati ya upendo na mapenzi!! Utajua ulitendalo,,
 
upendo na mihemko ya mwili...siku ukiyajua hayo haya maandishi utayakimbia na kuyakana...You are too valuable more than kukojozwa
 
dah!
maelezo yote kwa ajili ya ndi ndi ndi?
 
hahaha, yani unashangaza sana. Sasa tendo la nini kama hakuna kukojozwa? Hivi wanawake zangu mnawasikia hawa wanaume lakini? Kwanza wanasema kukojozwa sio lazima, wanawake tuwavumilie wanaume wasiofanya majukumu yao bedroom, eti tunawaza sex tu.
Basi hiki ndiyo kizazi kilichopo sasa hivi cha wanaume. Kumbe wapo wengiiiiii...poor gals
Men must be men, hatutaki sura wala pesa, but men in their totality
Usichojua Salad wanaume Hawawezi kumkojoza mwanamke mmoja kwa kiwango kilekile muda wote! With time hamu huisha lakini wanaume wanajitahidi kuhold on, the same inatokea kwa mwanamke lkn very fortunately kwenu hata kama hamko vema huwezi jua! Kwa wanaume with time farasi anapoteza kasi, mbinu zaidi ndio zinatubeba, Ila ukiwa na mwanamke ambaye yuko supportive maisha yanaenda salama! Ila kama mwanamke akikupush farasi analala muda mrefu zaidi na hofu humnyima uwezo wa kupambana!
Kitu kimoja to all ladies, sisi ni wadhaifu kuliko mnavyofikiria!
Wanawake mko stronger, courageous na mpo emotionally stable mkijilinganisha nasi!
Kwa kumwambia mwanaume kuwa hunifikishi, umeua self esteem, yaani umempiga ngumi kama 100, kudoubt uwezo wake au kumuungurumia kuwa unataka na yeye hawezi ni sawa na umemnyanyasa mno!
Sikulaumu kudai du du, ni haki yako, hakuna namna utaishi na mwanaume miezi sita ukisubiri kukojozwa ambapo hata hujui itakuwa lini! Ila shida yako ni aina na tabia yako katika kudai huko kukojozwa! Majibu ya Mr. A yanaonesha umemuintimidate mno, mwanaume hawezi kuruhusu mwanamke wake akutafute mtu mwingine tena kwa kuwa yeye kashindwa kumkojoza, hilo ni tusi kuliko hata kutikaniwa dunia nzima!
Hauko sensitive, na huoneshi kujali, ki kawaida friends au watu waliokaribu na mwenza wako hata kwa mistake huwezi kutoka nao! Ni disrespect in a way kuniacha Mimi na kuchuliwa na mtu ambaye yuko closer nami au ninayemfahamu kwa kuwa mimi pia lazima nitaingia ktk discussions zenu, na kushindwa kwangu kukukojoza itakuwa ni sehemu ya mijadala yenu! Rafiki wa A watahoji huu uhusiano mpya na B atawaeleza watu kwanini amemreplace A, lkn pia wewe at certain point utalazimika tu kutolea maelezo hiyo u turn ndani ya ofisi kama ulivyofanya hapa!
Kila la Heri Bi Salad, lkn jitahidi kuwa sensitive unapokuwa na mwenza and try kuwa considerate unapokuwa na mahusiano!
 
unajua we hujitambui ? kuna kitu umekosa ww !kinachokuuma nini c tayar unagegedwa na B? shda ako nini sa ?kwnza utatokaje na watu wanafahamiana? mrudie mungu wako dada
 
Kwa mwonekano wa nje mwanaume na mwanamke ni km wanafanana lakini ukichunguza haiba ni tofauti kabisa. Nionavyo; Mwanaume A alikunyima penzi ili muachane kwa amani, ili isiwepo lawama baadhi ya wanaume hawataki lawama za kike ingawa hakuepuka lakini imepungua makali. Hiyo mbinu hutumiwa na wanaume pale anapogundua amependwa sana na mwanamke. Na yeye hakumpenda au ana demu wake mwingine hivyo anashindwa kujigawa. Sasa mtalaka wako akiolewa na jirani ni lazima uingie wivu na hasira kiaina coz angekuwa na amani km we ungempata mwanaume wa mbali kidogo asiejuananae. Sasa unahamia kwa rafiki kabisa? Kidogo inauma kwa sababu atadhani hukuanza nae mda huu tangu ukiwa nae we ulikuwa unakula na kule.
 
NAONA HILI NENO NDI NDI NDI LINATAKA KUKUZWA HAPA JAMII FORUMS SIO MUDA LITAKUWA MAARUFU KUMSHINDA GIGY MONEY MITANDAONI.
 
Kukojozwa mara moja kwa mwezi unaona sawa? Wewe ungevumilia? stress zako peleka hukooo hazinihusu, wanaume muwajibike
yani na wewe unamtetea kwamba sawa?
mimi siwezi kumtetea,napenda sana mwanamke anayependa kugegedwa kama wewe mana tutakutana wote tunapenda kamchezo so hapo ni dozi tuu.mara mia nimtetee yule jamaa aliyemmwagia dada wa watu kwenye basi la mwendokasi(kwenye jukwa la habari na hoja mchanganyiko)
 
nimeshangaa sana comments.

ingekuwa ni mwanaume kaanzisha hii mada wangesema "piga chini huyo hajui tendo ni muhimu kwa mwanaume".

mwanamke kaanzisha, eti "humpendi, ungevumilia"

NDI NDI NDI!
me simtetei huyo jamaa,kama alipatwa na tatzo physically ambalo lingemfanya ashindwe kuperform angeweka bayana na labda angeeleweka,ila mimi napenda wanawake wanaopenda kugegedwa frequently,hapa nawish huyo man B angekuwa mimi ningemuonesha kuwa kweli man A alikuwa anaaibisha jinsia ya kiumeni.kila siku tunalaumiwa sisi tuna nyege zisizozuilika,tunacheat,tunabaka, sasa kusikia mtu anakimbia show me naona ni ktu cha ajabu.
 
Back
Top Bottom