Baadhi ya wamama wa mjini ni zero brain. Wanawageuza binti zao kitega uchumi

Msukuma Original

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
928
3,330
Kuna baadhi ya wamama wanasikitisha sana. Ukikuta ana binti mzuri mzuri humfanya kitega uchumi. Binti ndio mwenye sauti hapo nyumbani maana yeye ndio provider wa kila kitu. Binti hana kazi ya maana hapa mjini lakini yeye ndio anayelisha familia. Mama ndio mtetezi wake mkuu anapogonganisha wanaume. Ukiwa na mahusiano na binti wa namna hiyo siku mkizinguana mama ndio msemaji wake. Binti ataondoka nyumbani na kurudi muda anaotaka, hakuna wa kumwuliza. Baba mtu hana sauti ndani ya nyumba. Baba anashinda kwenye mihangaiko yake na hana habari yanayojiri kwenye familia yake. Ukizinguana na binti mama mtu ndio utadeal naye. Kama mlikuwa mnagombana kwenye simu utashangaa tu kujikuta unaongea na mama mtu. Utakuwa unaskia sauti ya binti background akitoa maneno ya kejeli. Binti atakugeuzia kibao na kujifanya wewe ndio una matatizo lakini si yeye. Mama atakuambia achana na binti yake kwani hujamuoa. Kesi itakuwa baina yako na mama mtu.

Nimeachana na mwanamke wangu niliyedumu naye kwa muda mrefu. Nimeshindwa, nawaachia wanaume wenzangu wajaribu, mimi pumzi imekata. Nimeshindwa.
 
Wewe ni stamina au mabeste
Kuna baadhi ya wamama wanasikitisha sana. Ukikuta ana binti mzuri mzuri humfanya kitega uchumi. Binti ndio mwenye sauti hapo nyumbani maana yeye ndio provider wa kila kitu. Binti hana kazi ya maana hapa mjini lakini yeye ndio anayelisha familia. Mama ndio mtetezi wake mkuu anapogonganisha wanaume. Ukiwa na mahusiano na binti wa namna hiyo siku mkizinguana mama ndio msemaji wake. Binti ataondoka nyumbani na kurudi muda anaotaka, hakuna wa kumwuliza. Baba mtu hana sauti ndani ya nyumba. Baba anashinda kwenye mihangaiko yake na hana habari yanayojiri kwenye familia yake. Ukizinguana na binti mama mtu ndio utadeal naye. Kama mlikuwa mnagombana kwenye simu utashangaa tu kujikuta unaongea na mama mtu. Utakuwa unaskia sauti ya binti background akitoa maneno ya kejeli. Binti atakugeuzia kibao na kujifanya wewe ndio una matatizo lakini si yeye. Mama atakuambia achana na binti yake kwani hujamuoa. Kesi itakuwa baina yako na mama mtu. Nimeachana na mwanamke wangu niliyedumu naye kwa muda mrefu. Nimeshindwa, nawaachia wanaume wenzangu wajaribu, mimi pumzi imekata. Nimeshindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom