A
Anonymous
Guest
Serikali itambue kinachoendelea UDOM kuwa si haki, yaani gharama za kulipia Carryovers na SUP ni kubwa kuliko hata ada yenyewe.
Imagine ma-lecture wanatucarrisha makusudi ili chuo kipate pesa. Tunaiomba Serikali iingilie kati ili suala jamani.
Ikiwa litaendelea kufumbiwa macho ni uhakika kuna maandamano yatakuja, tunaiomba Serikali ya mama Samia itusaidie kuondoa ili tatizo. 😭😭