Basi mtu akijiita shekhe tu ndio amegeuka kuwa msemaji wa waislamu? Tujihadhari na wahuni wachache wanaotafuta riziki kwa utapeli, hizo taasis ambazo hazijulikani zipo kwa maslahi binafsi wala hazitambuliki wala haziwakilishi maoni ya waislamu, udhalimu wa serkali hii unawaumiza watanzania wote waislamu, wakristu na wapagani, hao wanaojiita viongozi wadini waache ulaghai wao wajitahidi kutafuta riziki halali badala ya kuleta migawanyiko ndani ya jamii yetu.