(Baadhi ya) Waislam wataka DOWANS walipwe haki yao

Basi mtu akijiita shekhe tu ndio amegeuka kuwa msemaji wa waislamu? Tujihadhari na wahuni wachache wanaotafuta riziki kwa utapeli, hizo taasis ambazo hazijulikani zipo kwa maslahi binafsi wala hazitambuliki wala haziwakilishi maoni ya waislamu, udhalimu wa serkali hii unawaumiza watanzania wote waislamu, wakristu na wapagani, hao wanaojiita viongozi wadini waache ulaghai wao wajitahidi kutafuta riziki halali badala ya kuleta migawanyiko ndani ya jamii yetu.
 
:first:Hao sio waislam, ni wahuni tu wametumiwa na wanasiasa! Hakuna muislam anayeweza kushabikia uchafu huu! Kwanini mhariri hakwenda kwa Mufti au BAKWATA angalau kujua msimamo wa waislamu? Hao waliotumiwa ni wahuni, ni waislamu jina na usikute hata KITIMOTO wanakula tena sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:first:

dar leo na times radio ni la mmliki mmoja na ukisikliza taarifa ya habari ya times radio ni kichefuchefu,.yaani always wanaisafisha ccm na kuiponda chadema nafikiri mafisadi washapitisha rupia na master t(taji liundi)ambaye ni mkurugenzi yupo dam dam na vodacom=RA,..
 
Hivi RA ana mkono hadi kwa waislam?. Mbona wanamtetea?
Nawasilisha..[/QUOTE]

Rostam kila Idd El Fitr anachinja Ngombe nyingi kule Vigunguti na kugawa hapa mjini. Usicheze na tumbo bwana!!
 
Kwa kutugawa wamekaribia sana kufaulu. Hata hivyo wasichekelee kwani chomto watakiona. Naomba Mungu awasaidie. Pia mazoea ya kuomba ombe hebu Watanzania tuache. Tujitegemee ndipo tuweze kuongea kama watu wasomi na watu wanaojitosheleza.
Kwa maoni yangu, watu wenye njaa wasitoe matamko kama viongozi maana ukiwa na njaa hata nyongo ni tamu kama sukari.
 
Hivi kwa nini CCM inataka kuwatumia waislamu kama muwa?Imefika wakati sasa waislamu waamke na kuwashughulikia viongozi wao wanaokubali kutumiwa na CCM katika uchafu wao. Sheikh Khalifa Khamisi anaelewka kuwa kuwa ni jembe la CCM inapotaka kutumia uislamu, shekh masilahi huyu hana tofauti na Mchungaji Mtikila, wanajifanya siasa kali lakini wanaitumikia CCM kwa mlango wa nyuma.Hivi sasa Mtikila kakaa kimya anajitafunia mafao yake yakiisha analiazisha, na ndivyo alivyo Sheikh Khalifa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom