The Guitarist
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,546
- 5,219
haha ata nikienda mbinguni Arusha nitarudi tuWaliwaiga wa kaskazini sio watanzania wote hawapathamini kwao
haha ata nikienda mbinguni Arusha nitarudi tuWaliwaiga wa kaskazini sio watanzania wote hawapathamini kwao
Zinaitwa incest marriages (first cousin's marriages) zipo common sana kwa wahindi na waaarabu na ndio sababu kuu ya mamatizo ya akili maana watu wa ukoo m'moja yaani mabinamu kuoana ina biological effectSABABU KUBWA NI KUOANA MTOTO WA MJOMBA BABA MKUBWA SHANGAZI UNAOA ILI UTAJIRI UBAKI NYUMBANI. HII INALETA KURITHI UZEZETA?
Hizo Nyumba zilijengwa kwenye aridhi ya Tanganyika, Wao walikuwa RAIA wa India...Na walidhumiwa izo nyumba wkt wa utawala wa kwanza nyingi zisomeni juu utakuta majina yao na waliachwa wakae walipe kodi na ndio wako mpk leo
Walidhulumiwa au waliridisha mali za wazawa ujue enzi za ukoloni kulikua na societal classes, 1st class ilikua Europeans, 2nd class walikua Indians & Arabs na 3rd class and the least in relevant walikua watanzania wenye nchi.Na walidhumiwa izo nyumba wkt wa utawala wa kwanza nyingi zisomeni juu utakuta majina yao na waliachwa wakae walipe kodi na ndio wako mpk leo
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Jamaa alifukuzwa kazi kisa kaanza kuingia ndani kabla ya muhindi, jamaa akakuta kimdoli akakisogeza muhindi kukuta kimdoli kimesogezwa wacha alie hadi kamasi zikamtoka,, jamaaa akaona eeh makubwa si akakishika tena kimdoli akirudishe alipokitoa, mhindi fasta katoa Bastola ntakuua, Juma ikabidi atoke nduki na kazi basi.
Wa Leopard tours, FazzalYule wa Toyota hapa Arusha?
Na bado wanaifilisiWahindi wamefilisi nchi yetu bila sababu za msingi.
Usisikilize kelele hizi mkuu. Hakuna atakaefukuzwa Tanzania. Sisi wote ni watanzania na hapa ndio nyumbani.Msitusakame hivyo jamani. Wengine wazazi wetu walizaliwa Tz nasi tukazaliwa hapa. Sisi sote ni ndugu, ni watanzania kama walivyo blacks USA hivyo tupendane.
Haha Pole, mpk umeongea kama Humphrey pole polewahindi nawachukia pasi na mfano waondoke nchini kwetu wabinafsi mno natamani ningekua raisi
Ni watu wa ajabu sanaNa bado wanaifilisi
Kama yupo anayewafahamu hawa ndugu zetu vizuri naye atiririke hapa.
Wanachukia nn sasa?Lakini hutaamini baadhi ya miji marekani kwa sasa wahindi wamevamia na kufungua maduka kwa wingi sana wamerekani wanachukia sana .