Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,506
- 5,097
Mapadri 3000 wagundulika kuwadhalilisha watoto kingono tangu 1950, Ufaransa
Takriban watu 3000 wanaowadhalilisha watoto kingono wamekuwa wakiendesha maovu yao ndani ya kanisa katoliki nchini Ufaransa tangu mwaka 1950, hii ikiwa ni kwa mujibu wa mkuu wa tume huru inayochunguza kashfa hiyo, aliyezungumza na shirika la habari la AFP siku kadhaa kabla ya ripoti ya uchunguzi...