REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,896
We umewajua hawa, sababu watanzania wengi inakua ngumu kuwatofautisha wahindi, wapakistan na wayemen tunawaita tu wote wahindi.Wahindi wazee wakutakatisha pesa,wanaweka viduka duka uchwra ili viwe kwenye system halaf wanakua na account za biashara hyo hata 5,so wanacheza dili wanazozijua wao hela ikipatkana wanaizungusha kwenye biashara zao,so inaonekana kama viduka ndo vinaingiza pesa,wahind wanauza madini bila kulpa kod,wanauza unga,wanauza mazao,etc usione kiduka kinauza matoy au pen ,vile ni vya kuzugia tu
Ila huko kwao Pakistanis na Indians ni paka na mbwa ila hapa Tanzania waliounda undugu uliopea kiasi cha kutisha ili kufanya biashara yao pendwa na kubwa ya drug trafficking, 70% tunaowaona wamefanikiwa Tanzania ni drugs dealers hivyo viduka vyao ni money dry cleaners tu.