kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,816
- 6,531
I like this, nataka my F1 waanze hii systemWengine watoto wao wako Canada, Marekani na Europe hasa England na Germany, nyumbani hali ikiwa mbaya wana boost
I like this, nataka my F1 waanze hii systemWengine watoto wao wako Canada, Marekani na Europe hasa England na Germany, nyumbani hali ikiwa mbaya wana boost
Kwakweli wenzetu wametangulia nilikutana na surgeon mhindi UK aliniambia alizaliwa Mwanza na wazazi wake bado wako Mwanza yeye mwaka 1975 alipelekwa UK akakae na uncle wakeI like this, nataka my F1 waanze hii system
Yeah, nadhani hii itapunguza mambo kama kama ishu ya viking nguza(watoto waliopo mbali watasalimika) at least kuna mawazo mapya na fursa mpya mwapeanaKwakweli wenzetu wametangulia nilikuwa na na surgeon mhindi UK aliniambia alizaliwa Mwanza na wazazi wake bado wako Mwanza yeye mwaka 1975 alipelekwa UK akakae na uncle wake
Mkuu andiko lako limenigusa. Hawa jamaa sio kabisa! Naandaa andiko kuhusu hawa watu, nitalishusha hapa!mkuu slim 5 sema yote ya moyono kwani maisha yako ya elimu ulikuwa india...
kila la kheri hawa watu ni majinamizi sana kwa kweli...Mkuu andiko lako limenigusa. Hawa jamaa sio kabisa! Naandaa andiko kuhusu hawa watu, nitalishusha hapa!
Nakuunga mkono, kama humiliki uchumi usitegemee heshimaNinadhani swala ni kupinga dharau, hata ya kumiliki uchumi mbona wanawezeshwa na system yetu mbovu ya rushwa ? Marekani imepiga hatua kiuchumi kwa kukaribisha multicultural society
Mkuu umenichekesha sana. Ukaamua kukatia mbata[emoji3] [emoji3]Habari wana JF,
Kuna hawa wenzetu wafanya biashara wa kihindi ambao wana flem za maduka katikati ya miji miaka na mikaka unamkuta kakomaa sehem moja ahami wala biashara yake haikui ipo vilevile lakini mtu ana survive kama kama kawaida, sijajua hawa watu huwa hawapandishiwi kodi za pango ama vipi, unakuta dukani kwake anauza rula, peni za speedo, pipi toffi, marashi yale ya zamaaani ya buku, tochi za Tiger na zile kadi za birthday, vifutio na vitu vingine vingine ambavyo mtaani vipo kwa wingi tuu.
Cha kushangaza wenzetu hawa kipindi cha likizo anaenda India ama Canada, usafiri mzuri, sasa kuna Tetesi kwamba hawa jamaa ni mabingwa wa kuajast vitu, yaani hata ukifanya kazi kwao, lazima waku-tune kidogo ili mambo yao yaende sawa....
Kingine udhalilishaji, aisee niliwahi kuomba kazi ktk duka moja pale mnara wa saa Posta (clock tower) nikaacha siku hiyo hiyo, unatumwa na matusi juu na kila muhindi anayekuja hapo ni bosi wako, nakumbuka mmoja nilimtia vitasa na kazi nikaacha ndani ya masaa manne....
Kama yupo anayewafahamu hawa ndugu zetu vizuri naye atiririke hapa.
Saaafiiiii.....tena wawaongezee kibano mbweha haoKama hujui katika watu wanaoongoza kusoma number saivi ni wahindi wengi saivi hawajiwezi sababu walikua wananufaika na mfumo ambao saivi Magufuli kaufunga kama juzi hapa high Cort muhindi mmoja kahukumiwa miaka 25 jela kwa kukwepa kodi ya millions 300 na wengine wengi kesi zao zinaendelea wanajaribu kuhonga lakini hakuna mwenye time nao
Naunga mkono hojawahindi nawachukia pasi na mfano waondoke nchini kwetu wabinafsi mno natamani ningekua raisi
Ni sawa na BLACK AMERIKA alipelekwa Ulaya kama Mtumwa...Wahindi waliletwa na wajerumani kwenye ujenzi wa reli kama watumwa wao karne ya 19 as skilled slaves the same to Indians in South Africa usidhani walifunga safari kutoka India kuja Tanzania kwa utashi wao wenyewe.
The same to Arabs and slave trade.
Duh!!!kwa namna hiyo bora tu niendelee kuwa na hichi kidogo nilichonacho.Kuna muhindi mmoja ana filling station ina wateja sana huwa anamleta baba yake kila jioni kwa siku maalum katika week mzee ni zezeta anakuja hapo anajipiga vibao weee analia kama masaa mawili kisha anapakiwa kwenye gari anarudishwa nyumbani
Duh!!!Jamaa alifukuzwa kazi kisa kaanza kuingia ndani kabla ya muhindi, jamaa akakuta kimdoli akakisogeza muhindi kukuta kimdoli kimesogezwa wacha alie hadi kamasi zikamtoka,, jamaaa akaona eeh makubwa si akakishika tena kimdoli akirudishe alipokitoa, mhindi fasta katoa Bastola ntakuua, Juma ikabidi atoke nduki na kazi basi.