Baadhi ya wahindi na hizi biashara

Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
5,132
12,221
Habari wana JF,

Kuna hawa wenzetu wafanya biashara wa kihindi ambao wana flem za maduka katikati ya miji miaka na mikaka unamkuta kakomaa sehem moja ahami wala biashara yake haikui ipo vilevile lakini mtu ana survive kama kama kawaida, sijajua hawa watu huwa hawapandishiwi kodi za pango ama vipi, unakuta dukani kwake anauza rula, peni za speedo, pipi toffi, marashi yale ya zamaaani ya buku, tochi za Tiger na zile kadi za birthday, vifutio na vitu vingine vingine ambavyo mtaani vipo kwa wingi tuu.

Cha kushangaza wenzetu hawa kipindi cha likizo anaenda India ama Canada, usafiri mzuri, sasa kuna Tetesi kwamba hawa jamaa ni mabingwa wa kuajast vitu, yaani hata ukifanya kazi kwao, lazima waku-tune kidogo ili mambo yao yaende sawa....

Kingine udhalilishaji, aisee niliwahi kuomba kazi ktk duka moja pale mnara wa saa Posta (clock tower) nikaacha siku hiyo hiyo, unatumwa na matusi juu na kila muhindi anayekuja hapo ni bosi wako, nakumbuka mmoja nilimtia vitasa na kazi nikaacha ndani ya masaa manne....

Kama yupo anayewafahamu hawa ndugu zetu vizuri naye atiririke hapa.
 
Nathubutu kusema wana tecnic nyingi na uzoefu wa kufanya biashara LAKINI wahindi ni watu wasio na faida hapa nchini, ni bora waondolewe. Kwasababu:-

- Wana Madharau sana na ni Wabaguzi.

Kuna mmoja maarufu Arusha aliwahi kusema kuwa yeye hawezi kushitakiwa na manyani (akimaanisha watu weusi watanzania)

- Wahindi kamwe hawadeposit pesa zao katika local banks za kitanzania na hivyo kuzuia mzunguko wa pesa ndani ya nchi.

Imagine katika matajiri wakubwa sana hapa nchini wengi wao ni wahindi na wameekeza kila mahali kwenye kilimo, madini, viwanda, shule zao, mahosipitali yao n.k lakini pesa zao wanaziweka katika benki za huko India, Canada, Pakistan na Uingereza.

Wanachuma pesa hapa kwetu na kupeleka kwao.

Wanachokifanya ni kuwahonga viongozi wachache wa serikali na mapolisi wenye vyeo kisha wao wanatutreat sisi kama nyani tu.

Wahindi hawana faida katika nchi hii kwani hata kodi wanababaisha kulipa.

-
 
1. Wazuri sana ktk Biashara za Magumashi!

2. Kule India kuna wahindi weusi, walivo na roho mbaya hata wahindi wenzao weusi pia wanawabagua, sembuse mimi na wewe wamatumbi!

3. Yote kwa yote, wahindi wanaogopa dola kuliko! Ukifankkiwa kumfikisha ubaoni lazima atakuheshimu tu!
 
Kama hujui katika watu wanaoongoza kusoma number saivi ni wahindi wengi saivi hawajiwezi sababu walikua wananufaika na mfumo ambao saivi Magufuli kaufunga kama juzi hapa high Cort muhindi mmoja kahukumiwa miaka 25 jela kwa kukwepa kodi ya millions 300 na wengine wengi kesi zao zinaendelea wanajaribu kuhonga lakini hakuna mwenye time nao
 
1. Wazuri sana ktk Biashara za Magumashi!

2. Kule India kuna wahindi weusi, walivo na roho mbaya hata wahindi wenzao weusi pia wanawabagua, sembuse mimi na wewe wamatumbi!

3. Yote kwa yote, wahindi wanaogopa dola kuliko! Ukifankkiwa kumfikisha ubaoni lazima atakuheshimu tu!
mkuu slim 5 sema yote ya moyoni kwani maisha yako ya elimu ulikuwa india...
 
Najua watanzania wapo wanaokumbuka nyumbani ila nazungumzia kwa extent kubwa hata kufikia tu jirani zetu
Pia utamaduni wa kuishi popote hata nje ya mipaka ya nchi
Wahindi waliletwa na wajerumani kwenye ujenzi wa reli kama watumwa wao karne ya 19 as skilled slaves the same to Indians in South Africa usidhani walifunga safari kutoka India kuja Tanzania kwa utashi wao wenyewe.

The same to Arabs and slave trade.
 
Wahindi waliletwa na wajerumani kwenye ujenzi wa reli kama watumwa wao karne ya 19 as skilled slaves the same to Indians in South Africa usidhani walifunga safari kutoka India kuja Tanzania kwa utashi wao wenyewe.

The same to Arabs and slave trade.
Sawa mkuu lakini hapo hapo kupitia kupigwa kwenye makinikia ndio tunabadili vinfungu vya sheria.
Binadamu hubadilkka kutokana na driving forces yaweza kua ni ndani au nje
Inawezekana isingekua rahisi kutoka bila hiyo professional slavery

Tukumbuke pia global exploration ni result ya mercantilism ambayo ilikua stressed na feudalism in Europe

My point kila kitu kinatokea kwa sababu
 
Endeleeni kuwasimanga wahindi na kuwataka wahame nchini . Wakishahama muwageukie waarabu . Waarabu nao wakihama mpambane na wapemba . Mkishamaliza wapemba mpambane na wa kaskazini . Mmesahau usia wa Mwalimu Nyerere ? Someni kwanza historia ya wahindi waliingiaje nchini kabla ya kuanza kulaumu .
 
Wahindi waliletwa na wajerumani kwenye ujenzi wa reli kama watumwa wao karne ya 19 as skilled slaves the same to Indians in South Africa usidhani walifunga safari kutoka India kuja Tanzania kwa utashi wao wenyewe.

The same to Arabs and slave trade.
Uingereza baada ya kulikosa koloni la Marekani ( kupata uhuru) walivamia India ambako walianza kutawala na kupeleka western education.
Walipokuja kutawala Africa walichukukua wahindi kama skilled labour maofisini. Wahindi wakiwa makarani na masekretary
 
Back
Top Bottom