Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,993
- 100,647
Ya kuwekwa kwenye kigezo cha uchumba!Ofa ya nini sis? 😳
Ya kuwekwa kwenye kigezo cha uchumba!Ofa ya nini sis? 😳
Acha hizo pigo bana. Binti mbichi mrembo msomi aliyejipata na anayejitambua kama wewe utakosaje mchumba?Ya kuwekwa kwenye kigezo cha uchumba!
Aaah bro sa nakaa ndani nafanya nini mieOctober 29th utatoka bro?
Eenh! Haya yote umeyatoa wapi mzee🤭 kumbe mi mrembo na nina mchumba halafu sijui!😅 hii kali…Acha hizo pigo bana. Binti mbichi mrembo msomi single aliyejipata na anayejitambua kama wewe utakosaje mchumba/mume?
Acha kuinjoi watu hapa! 😂
Njoo PM kama hutojali 🖐Eenh! Haya yote umeyatoa wapi mzee🤭 kumbe mi mrembo na nina mchumba halafu sijui!😅 hii kali…
Hee 🙄PM kama huyojali 🖐
Unapatikana wapi mkuu?Awe tayari kutoka october
Kwasasa nipo kwenye kampeni, ntakupigia.....Unapatikana wapi mkuu?
October tunatoka!Boss
Singo maza hapana.....hao ni kupiga na kusepa, watusamehe kwa hilo.... hujambo lkn binti ? 😊Mbona sioni usichague singo maza, au mmeingiwa huruma this time round😎
Sijambo shkamoo!Singo maza hapana.....hao ni kupiga na kusepa, watusamehe kwa hilo.... hujambo lkn binti ? 😊
Ahsante kwa Salamu binti mzuriSijambo shkamoo!