Baadhi ya vigezo vya kuzingatia unapochagua mchumba

Baadhi ya vigezo vya kuzingatia unapochagua mchumba

1. Chagua mtu ambaye anakuheshimu wewe na watu wazima (wakubwa)
2. Chagua mtu unayemwamini
3.Chagua mtu ambaye unaweza kuongea naye,kujadiliana, na kuhojiana kwa uwazi bila kugombana
3.Chagua mtu mwenye umri kalibiana na wa kwako.
4. Chagua mtu mwenye afya nzuri.
5.Chagua mtu anaependelea vile unavyopendelea.
6..Chagua mtu ambaye ataelewa matatizo yako na yake tayari kukusaidia kuyatatua.
NB: Hakunaga kigezo cha ufundi wa kitanda kwenye kuchagua mke/ mme
7.Chagua asiye na mama{mama mkwe mtarajiwa awe KAFA}.
8.Chagua asiye na dada wakubwa.
 
Angalia chimbuko lake,familia anayotokea ni ya watu wa aina gani? wenye tabia zipi?

Hili ni jambo la muhimu sana na litakupa mwangaza kua huyo mchumba wako ni mtu wa aina gani,
Kumbuka kwenye uchumba ni ngumu kujua rangi halisi ya mtu ila ukiijua roots anayotokea itakupa mwangaza,

Hata siku mkikorofishana,kesi au upatanishi utaenda kwenye familia yake,ndio maana nasema ni muhimu zaidi kuijua familia anayotokea kuliko kumuangalia yeye kama yeye,

Vijana wengi hua mnakosea hapa,unakutana na Mwanamke KFC tayari unaoa,kumbe anatokea kwenye familia yenye maadili ya hovyo.
This is very true
Watu wanakutana kimjini mjini wanaoana kimjini mjini, wanaishia kubeba generational curses za watu hadi kwenye vizazi vyao
Mungu atusaidie tuu
 
1. Chagua mtu ambaye anakuheshimu wewe na watu wazima (wakubwa)
2. Chagua mtu unayemwamini
3.Chagua mtu ambaye unaweza kuongea naye,kujadiliana, na kuhojiana kwa uwazi bila kugombana
3.Chagua mtu mwenye umri kalibiana na wa kwako.
4. Chagua mtu mwenye afya nzuri.
5.Chagua mtu anaependelea vile unavyopendelea.
6..Chagua mtu ambaye ataelewa matatizo yako na yake tayari kukusaidia kuyatatua.
NB: Hakunaga kigezo cha ufundi wa kitanda kwenye kuchagua mke/ mme
Cha kuongeEza tu ni kwamba mwanamke ambae hawezi kumheshimu baba ake usioe maana kukuheshimu ww itakuwa ni kipengele
 
Back
Top Bottom