Baadhi ya kina dada wawapo faraga,Tabia hizi za nini?

mimi kila mwanamke kakiona aibu aibu ndio kananipandisha mzuka lakini mheshimiwa kokudo inaonekana ni mstaafu wa jeshini anataka yeye na mdada watumbuliane mijicho kama wabunge wa uganda. khaa
Nimecheka kifala sana
 
Mapenzi au kupendana ni hatua kubwa sana kwenye mahusiano,sasa tabia ya kina dada kujifichaficha muwapo faraga nini maana yake?eti ukitaka kumshika sehemu anakutoa mkono,ukimgeuza huku utackia ooh mi sijazoea,je ni aibu au ndo ushamba?alafu akitaka kuvua au kuvaa nguo utamuona kachukua taulo au kanga kajifunika mabegani ili avae je mpaka unamkubalia mtu mnakwenda g house ina maana umemkabidhi heshima yako sasa iweje unakua huna uhuru?je nini hicho unachokificha kisionekane?au una makovu?au ulishawah ugua ugonjwa wa ngozi?wengne utawasikia zima taa kwanza jamani giza la nini wakati tukiwa uwanjani ni vyema tukawa tunaona?Jamani swala la tendo la ndoa ni swala lenye utulivu wa khali ya juu sasa unaposhikwa then unamtoa mwenzio mkono sijui unamaanisha nini?Kuwa huru coz umemkubal mwenyewe.
Wanawake wameumbiwa aibu ni silaha kuu ya mapenzi asipofanya hivyo hutakiona kile kilichojificha ni cha thamani lazima afanye hivyo, na akifanya hivyo nafsi yake inaburudika sana maana anakutaka umbembeleze ndipo akuvulie uone ndani kuna nnnnn!!!
 
Oh kumbe
 
Back
Top Bottom