Baadhi ya kina dada wawapo faraga,Tabia hizi za nini?

kokudo bwana, hata kicheche unataka a-behave kama mkeo??!!
Vya wizi havina uhuru my friend, oa kabisa
Mi czungumzii vicheche,kahaba,malaya nk la hasha mi nazungumzia mapenzi/muwapo faraga hata hao niliowataja kma umekubali kwenda kupeana raha bc swala la ukicheche,malaya nk unauweka kando.c unajua mapenzi ni uchafu kinyaa cha nini?
 
enzi za uhuru niliwahi kuwa na mdada mmoja, alikuwa akiniangalia tu namuomba razi hata kama sijamkosa. dah! yaani nazani huyu angemfaa kokudo
Mmmh since uhuru c atakua kikongwe?bila shaka alikua na jicho la kungu,jicho la groli,jicho mmh may be watoto wake watakua wamerithi toka kwa mamayao.
 
Naona kaka ametuletea yaliojili usiku wa kuamkia jpili. Lakini si ndiyo heshima ya mwanamke jamani, manake nikifikiria nahisi hata mimi nafanya hivo hivo. Mmmmmmmh!!
Hapana mi mbona jana nimelala mapema looh kumbe LD ndo unafanyaga eeeh
 
enzi za uhuru niliwahi kuwa na mdada mmoja, alikuwa akiniangalia tu namuomba razi hata kama sijamkosa. dah! yaani nazani huyu angemfaa kokudo

Unaonaje ukimfowadia kokudo huyo mdada au hayupo tena, lakini unabahati ya kukutana na wastaili hiyo, mtafutie.@kokudo unasema je!!
 
Hapana mi mbona jana nimelala mapema looh kumbe LD ndo unafanyaga eeeh

Mmmmh, sifanyagi bwana kokudo, nahisi tu kama ningefanya hivo. Sijazingitia lugha ya wakati tu!!
 
Unaonaje ukimfowadia kokudo huyo mdada au hayupo tena, lakini unabahati ya kukutana na wastaili hiyo, mtafutie.@kokudo unasema je!!
Mmmh mi yangu macho but nahc atakua kikongwe mana kasema since uhuru?
 
Unaonaje ukimfowadia kokudo huyo mdada au hayupo tena, lakini unabahati ya kukutana na wastaili hiyo, mtafutie.@kokudo unasema je!!
Mmmh mi yangu macho but nahc atakua kikongwe mana kasema since uhuru?
 
kwanza acha uzinzi/uasherati.

pili tafuta mchumba uoe na uwe unafanya sex nyumbani kwako siyo guest.

tatu ujue kuwa Mungu ametuita katika amani. kwa hiyo kama mwenzio anapata aibu au anakosa amani ukimshika mahali fulani au kumtazama mahali fulani, basi mheshimu na waume kwa wake heshimu wito huu wa amani kwani umetoka kwa Mungu mwenyewe.

ubarikiwe mpendwa
 
Ndio nikiwa nje ya mkoa wangu naingia g house coz cpendi kufikia kwa m2 kumdisturb

Mweh! kwahiyo mikoa yote unayotembelea ukiwa guest uwe na totoz?!! ndiyo mana huna aibu mana kila mara unabadili..lol
Hivi ukikutana na mmoja wapo unaingia nae room mara kashalala chali anakwambia njoo utashtuka au utamhukumu tena kuwa kawa vodafasta?!
Eeh..wewe una vireseach vikali sana tena kuhusu women!!!
 
Mapenzi au kupendana ni ha2a kubwa sana kwenye mahusiano,sasa tabia ya kina dada kujifichaficha muwapo faraga nini maana yake?eti ukitaka kumshika sehemu anakutoa mkono,ukimgeuza huku utackia ooh mi cjazoea,je ni aibu au ndo ushamba?alafu akitaka kuvua au kuvaa nguo utamuona kachukua taulo au kanga kajifunika mabegani ili avae je mpaka unamkubalia mtu mnakwenda g house ina maana umemkabidhi heshima yako sasa iweje unakua huna uhuru?je nini hicho unachokificha kiconekane?au una makovu?au ulishawah ugua ugonjwa wa ngozi?wengne utawasikia zima taa kwanza jamani giza la nini wakati 2kiwa uwanjani ni vyema 2kawa 2naona?Jamani swala la tendo la ndoa ni swala lenye u2livu wa khali ya juu sasa unaposhikwa then unamtoa mwenzio mkono cjui unamaanisha nini?Kuwa huru coz umemkubal mwenyewe.
Sina hakika kama mmekutana njiani mkakubaliana na kwenda Guest House kama mnakwenda kufanya tendo la ndoa. Ninachojua mimi huo ni uzinzi tu. Tendo la ndoa hufanywa na wenye ndoa pekee yao. Kama unataka uhalali basi mchukue kwa baraka za wazazi na imani yako au serikali au mila zenu na hapo sidhani kama atatoa mkono au kujifunika na taulo, tuulize wenzio wenye ndoa zetu kama kuna cha kufichana hapo
 
Naona nipite tu hapa......nisije jibu nikaharibu jumapili ya watu............:sick:
 
Kokudo wanawake wameumbwa kwa stara sana si kama ambavyo unafikiri kwa sasa,ikiwa wewe ni mwanaume huwezi kujilinganisha na mwanamke muwapo faragha kuna staha ya kike! wangevua tena haraka bila kuona aibu bado ungewasema!pia jitahidi utulie na mpenzi mmoja
 
Back
Top Bottom