EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
na ndio maana hujawa........!Ningelikuwa JK, ningelimfundisha adabu mnyika!
na ndio maana hujawa........!Ningelikuwa JK, ningelimfundisha adabu mnyika!
Mkuu wangu ninakuhakikishia Mnyika atafundishwa adabu, na atajutia "ulevi" wake wa sifa. watu wengi wamechukkizwa na mnyika kumuattack Kikwete personal, nikiwemo mimi. yaani hata nikimuona mnyika kwenye TV nazima.
Hivi Mnyika hajafunzwa nidhamu na wazazi wake?
inge, unge....!!! watu wasio na ubongo ndio hutumia sana haya maneno... unaishi kwa hisia.... pole sanaNingelikuwa JK, ningelimfundisha adabu mnyika!
ndiyo maana hujawa. Kwani hajitambui mwenyewe?Ningelikuwa JK, ningelimfundisha adabu mnyika!
Sasa hapa mwenzenu nawaza,hivi ndugu yetu Mnyika hatashtakiwa na serikali kwa hili?Na je sheria inamlindaje mwenzetu JM?
JK ni dhaifu toka enzi za nyerere mpaka sasa na hata milele,muulize Waitara anajua na yeye anajijua na ndio maana ameenda Dodoma kuwadhihilishia wale wasioamini kuwa yeye ni dhaifu
Sasa mimi kila nitakapoandika chochote kuhusu jk lazima nitaweka neno dhaifu kwenye mabano ili kuhainisha ninacho andika. Mfano: Jk (dhaifu) atua dodoma.
Mh, Hivi ilikuwaje JK anachanguliwa/teuliwa kuwa kiongozi tangu anasoma Primary School/middle school, Sekondari mpaka Chuo Kikuu - unataka kusema watu wote hao walikua wanamuona ni dhaifu ndio maana alikuwa anateuliwa kuwa kiongozi popote alipo pitia katika maisha YAKE! We sema leadership style yake siyo ABRASIVE lakini hilo aliwezi kuwa interpreted kama ni udhaifu, mbona amewafikisha mawaziri, katibu mkuu mahakamani - ni kiongozi gani hapa nchini aliye wahi kuwa na ujasiri wa namna hiyo? JK hawezi kuwa anawavurumisha watu mahakamani/kufunga kwa hisia tu bila ushahidi; akifanya kosa la namna hiyo na ninavyo wajua Watanzania tulivyo; basi kila siku atakuwa anapelekewa majungu tu, yaani watu wakikorofishana kwa maslahi binafsi watayageuza ya kisiasa au hujuma ili wakomoane - mambo ya uongozi yanahitaji BUSARA ya hali ya juu sio JAZBA. Niliwahi kumsikia akisema aliwahi kuletewa majungu akamtimua kazi afisa fulani, lakini baada ya kufanya upelelezi akagundua kwamba madai aliyoletewa yalikuwa ya kutunga TU! Alisema hatarudia kufanya kosa kama hilo tena, is damn right: ONCE BITTEN TWICE SHY.
kama ni ufafanuzi wa udhaifu angeenda BAKITA!
Inawezekana wewe kiumri ni mdogo kwangu lakini nimependa analysis yako Shikamoo!