Baada yakuitwa dhaifu JK atua Dodoma

Raisi wa tanzania ni dhaifu na chama cha mapinduzi ni wapuuzi pamoja na wabunge pia mawaziri wote. ndo maana walimkalisha chini kumzuia kusoma report yake ktk mkutano wa nchi za ..............., alichofuata dodoma ni ku prove udhaifu wake, aibu kwa taifa na taasisi ya urais!
 
mkuu wa usalama wa ccm ameambatana naye?kama ndio mnyika ondoka dodoma kimyakimya kwa usalama wako
 
Kweli anazidi kudhihirisha yeye ni dhaifu. Yan anatia aibu.
 
sio mchangiaji ktk jukwaa hili, bt kwa dharau ndogo ndogo ambazo serikali inaonyesha hasa dhidi ya madaktar na walimu....mh i xpect to see nchi ya aina ake soon....let us wait.
 
Namkumbuka Nyerere aliposema....ikulu sio mahala pa kukimbilia.... Maskini JK kazi anayo!!!
 
kama kweli JK SIYO DHAIFU...Jenga hoja kuhusu mafanikio juu ya sekta hizi 2 tu tangu aingie madarakani.
AFYA
MIUNDOMBINU-RELI
 
Tehe tehe tehe tehee ... atua Dodoma tehee tehe tehe!!!

Leo tarehe 20 rais ametia timu Dodoma na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali waandamizi akiwemo waziri mkuu japo mpaka sasa ajenda haijajulikana lakini hii ni shku moja baada ya kuitwa dhaifu na Mbunge wa Ubungo J .J Mnyika
 
Back
Top Bottom