Baada yakuitwa dhaifu JK atua Dodoma

Kuna mama mmoja wa CCM aliropoka leo eti ''mh waziri usiwe na wasiwasi bajeti yako ijumaa itapita japo kuna taarifa kuwa kesho kuna watu wanataka kuikwamisha''

Nadhani JK ameenda kuongeza udhaifu ili aitetee bajeti yake.

Ngoja asubuhi nikanunue petrol ya kijenereta changu ili Tanesco wakizingua, niweze kuendelea kuangalia vioja bungeni.
 
Mkuu wangu ninakuhakikishia Mnyika atafundishwa adabu, na atajutia "ulevi" wake wa sifa. watu wengi wamechukkizwa na mnyika kumuattack Kikwete personal, nikiwemo mimi. yaani hata nikimuona mnyika kwenye TV nazima.

Sasa mbona na wewe unam-attack Mnyika in personal? kweli CCM/CUF/ADC wote hamnazo! haya bana!
 
Sasa hapa mwenzenu nawaza,hivi ndugu yetu Mnyika hatashtakiwa na serikali kwa hili?Na je sheria inamlindaje mwenzetu JM?
 
Raisi gani hajajitambua,hivi anashindwa kujishauri mwenyewe kama anaona washauri wake wameshindwa.Inaudhi sana kuongozwa na mtu ambaye hajielewi nimeamini nguvu ya freemason ni hatari
 
JK ni dhaifu toka enzi za nyerere mpaka sasa na hata milele,muulize Waitara anajua na yeye anajijua na ndio maana ameenda Dodoma kuwadhihilishia wale wasioamini kuwa yeye ni dhaifu

Mh, Hivi ilikuwaje JK anachanguliwa/teuliwa kuwa kiongozi tangu anasoma Primary School/middle school, Sekondari mpaka Chuo Kikuu - unataka kusema watu wote hao walikua wanamuona ni dhaifu ndio maana alikuwa anateuliwa kuwa kiongozi popote alipo pitia katika maisha YAKE! We sema leadership style yake siyo ABRASIVE lakini hilo aliwezi kuwa interpreted kama ni udhaifu, mbona amewafikisha mawaziri, katibu mkuu mahakamani - ni kiongozi gani hapa nchini aliye wahi kuwa na ujasiri wa namna hiyo? JK hawezi kuwa anawavurumisha watu mahakamani/kufunga kwa hisia tu bila ushahidi; akifanya kosa la namna hiyo na ninavyo wajua Watanzania tulivyo; basi kila siku atakuwa anapelekewa majungu tu, yaani watu wakikorofishana kwa maslahi binafsi watayageuza ya kisiasa au hujuma ili wakomoane - mambo ya uongozi yanahitaji BUSARA ya hali ya juu sio JAZBA. Niliwahi kumsikia akisema aliwahi kuletewa majungu akamtimua kazi afisa fulani, lakini baada ya kufanya upelelezi akagundua kwamba madai aliyoletewa yalikuwa ya kutunga TU! Alisema hatarudia kufanya kosa kama hilo tena, is damn right: ONCE BITTEN TWICE SHY.
 
Inawezekana wewe kiumri ni mdogo kwangu lakini nimependa analysis yako Shikamoo!
 
Kama sio dhaifu na anatakata tumwite jasili basi :-

1. Atangaze mishahara ya maskini waalimu kupanda tena kwa kuzingatia mfumko wa bei na uhalisia wa maisha (Tunahitaji sana elimu kwa tafa makini na bora hapo baadae) Kushuka elimu ni mgomo barid wa waalimu.

2. Atangaze kuondosha kodi kwenye maji na viywaji baridi ili maskini nao washerekee vijisherehe vyao japo kwa soda.

3. Awakamate wapuuzi wa EPA, Chenge na Rada yake, walau na Richimond tu. (bila kusahau wezi wa twiga - decision maker, sio hivo vidagaa alivovipeleka mahabusu)

4. Atangaze walau tu kufuta mikataba batili ya IPTL na misamaha ya kodi kwa matajiri hasa migodi ya dhahabu

6. Atangaze kupiga marufuku wakristu kutumia kuruani kutangaza ukristu wao na pia waislamu wasitumie biblia kutanga uislamu wao. (kila mmoja ahubili na atoe mihadhara kwa kuzingatia misingi ya imani yake. (kitu kidogo anaacha watu wanatuchafulia amani)

7. Kama Rais aache kulia lia na kulalama achukue hatua maana yeye ndo mwenye maamuzi ya mwisho akilia lia mfano anasema kuna udini na hachukui hatua nani atachukua kama si yeye UDHAIFU MKUBWA SANA KWA HUYU KIUMBE

Akifanya haya lau kwa uchache nitasema amejitutumua tuanze kumwita jasili otherwise will be weak to ......
 
Inawezekana wewe kiumri ni mdogo kwangu lakini nimependa analysis yako Shikamoo!

Splendid mkuu, unajua kila binadamu ana a-unique analytical mind - ya kwangu, for some reason inaona mambo in - 3Ds. kuhusu shikamoo yako ntahitikia "MARA SABA" usicheke!
 
Back
Top Bottom