Baada yakuitwa dhaifu JK atua Dodoma

Angekuwa anaijua Technology ya Teleconference wala asingepoteza fedha zetu kwenda Dodoma. Tatizo lake anaenda kula bata tu na udhaifu wake.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tupo hapa tulipo kwa sababu ya UDHAIFU wa Rais Kikwete, Bunge legelege na upuuzi wa CCM- J J Mnyika - Mbunge - Ubungo
 
Ningelikuwa JK, ningelimfundisha adabu mnyika!
ungemuua?? hata ukimuua bado linapikuja wimbi la mabadiliko hakuna wa kuweza kuzuia! wakati wa ukoloni viongozi wa ukombozi wengi waliuawa lakini mapambano yaliendelea uhuru ukapatikana, hapo south unajua mtu anaitwa Solomon Mahlangu?? fuatilia historia yake? Gadaffi aliua wangapi yuko wapi leo? ukimtia mnyika adabu huwezi pia kuzitia fikra na maono yake adabu hayo yataishi milele hata kama yeye hayupo!JK ndiye wa kufundishwa adabu kwa kuachia taifa linaendeshwa kiholela kama mbuzi wasio na mchungaji!!
 
Ikulu ni mahari patakatifu;
Ikulu si mahari pa kukimbilia
Ikulu ni mzigo - by J.K nyerere. RIP.

Kuwaongoza watu zaidi ya 50m, tena maskini, wengi wao kipato chao chini ya sh 1000 kwa siku, mlo mmoja kwa masaa 24, matibabu ni matatizo, elimu ni ndoto. sasa usipokuwa na mikakati ya dhati kama rais wa nchi ya kusaidia kundi hili (ki uongozi) basi usistaajabu wewe ukaitwa kiongozi dhaifu.
 
Kuondolewa kwa muda kwa John Mnyika toka Bungeni kunaonyesha udhaifu kuanzia huyo Deputy Speaker, Wabunge wa CCM na Serikali yao ikiongozwa na J.K.

Kama huyo Deputy Speaker hajasoma magazeti na maandishi ya wananchi wakilaumu Serikali kwa udhaifu kila uchao, basi yeye ni dhaifu sana.

Kuna udhaifu mkubwa kuliko ule ulioonyeshwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali, ambapo mabilioni ya fedha za umma ziliswagwa na kuliwa na maafisa wa Serikali? Kama isingekuwa ni Zitto Kabwe kutaka hoia ya Kumfukuza Waziri Mkuu, ni lini huu ulaji ungedhibitiwa?

CHADEMA na wabunge wake wanaleta changamoto ambazo zinazolipua uozo ulio Serikalini, na hali hii kwa jumla inadhihirisha udhaifu wa Kiongozi Mkuu,yaani Rais.
 
Ni jambo la heri kama kweli Raisi amesikia mawazo ya mnyika japokuwa alitolewa nje ya ukumbi, akatafakari, akaenda dodoma kwa mazungumzo na safu yake ya uongozi. Big up JK wapatie surprise wale wote waliosababisha ukadharaulika mbele ya wananchi wako. nafahaamu na ulishasema huna ubia na mtu kwenye urais wako patia wao extra drill mapaka watambue simba ni simba tuu.

Sie yetu macho na masikio
 
JK apate wapi jeuri hiyo?
Ukishakua dhaifu ni dhaifu tu
Hivo kwa udhifu wake hawezi kumfanya lolote kamanda JJM!

Yaani nina hasira mkuu wangu, leo tokea asubuhi sijakanyaga JF. JK lazima achukue maamuzi magumu, "vitoto" vinampanda kichwani.
 
Ningelikuwa JK, ningelimfundisha adabu mnyika!

hata yeye bado anamiaka 2.5 afundishwe adabu. unamkumbuka sadamu, gadafi walikuwa na uwezo gani? leo wako wapi. afanye afanyalo mnyika yupo na mungu. na tunamuombea sana kwa mungu wanaomtakia mabaya yawaludi wao
 
Mkuu rais wako ni mdhaifu, hana ubavu wa kumfundisha kamanda adhabu.

Mkuu wangu ninakuhakikishia Mnyika atafundishwa adabu, na atajutia "ulevi" wake wa sifa. watu wengi wamechukkizwa na mnyika kumuattack Kikwete personal, nikiwemo mimi. yaani hata nikimuona mnyika kwenye TV nazima.
 
Back
Top Bottom