Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,098
- 144,560
Hawa jamaa kutuwa kujisifia kutinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika (CAFCL) unadhani walianza kushirika hatua hiyo miaka mingi sana huko nyuma wanasahau wakati Yanga anatinga hatua hiyo mwaka 1998, wao walikuwa na miaka mingi tu hawajafikia tena hatua hiyo.
Sasa watuambie , miaka hii mitatu au minne walioshirika, ndio ya kuwafanya wapige makelele wakati na wao walikaa miaka mingi tu kabla ya kufika hatua?
Tuambieni, baada ya Yanga kutinga makundi mwaka 1998, iliwachukua muds gani na nyie kufikia hatua hiyo mpaka mpige makelele yote haya?
Pia, tuambieni, na nyinyi hio miaka mingine mlikuwa mnafanya nini mpaka mpate uhalali wa
kujishau(in wadada voice)?
Kwa taarifa yenu, sisi tunakwenda kutinga hatua ya makundi na tutafanya jambo la tofauti na nyie hata robo safari hii hamfiki.