Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,338
- 144,823
He is not above reproach but you have not said any kind word towards the guy..never.
Are you sure about that?
He is not above reproach but you have not said any kind word towards the guy..never.
Bandari mkuu... kule ndo kuna zimwi la ajabu, wafanyakazi kudondosha nyumba za bei mbaya wakati mishahara haizidi 2M
Hizo ziara zitakuwa si za kustukiza tena.
Maana kwa sehemu ambazo hajaenda, tayari watakuwa wake kwenye mkao wa kutembelewa, hususan kwenye hizi siku za mwanzo mwanzo.
Kama ni mjanja...angezi-space out.
Leo uko Dar.....kesho uko Ruvuma unannounced.
Keshokutwa uko Simiyu.....
Halafu unatulia....unakaa mwezi unarudi tena wizara ya fedha.
Manake hao wanaweza kudhani kwa vile ulishaenda basi hutarudi tena....
Catch them off guard for real....but only if it yields meaningful dividends and not just photo-ops intended to score cheap popularity points.
Leo umejikaza kupunguza ukali wa kejeli!! NAONA POLEPOLE UNAELEWA SASA LENGO LA MSEMO WA HAPA KAZI TUHizo ziara zitakuwa si za kustukiza tena.Maana kwa sehemu ambazo hajaenda, tayari watakuwa wake kwenye mkao wa kutembelewa, hususan kwenye hizi siku za mwanzo mwanzo.Kama ni mjanja...angezi-space out.Leo uko Dar.....kesho uko Ruvuma unannounced. Keshokutwa uko Simiyu.....Halafu unatulia....unakaa mwezi unarudi tena wizara ya fedha.Manake hao wanaweza kudhani kwa vile ulishaenda basi hutarudi tena....Catch them off guard for real....but only if it yields meaningful dividends and not just photo-ops intended to score cheap popularity points.
Inaelekea hujafanya kazi serikalini na hujui serikali inaendeshwae
Leo umejikaza kupunguza ukali wa kejeli!! NAONA POLEPOLE UNAELEWA SASA LENGO LA MSEMO WA HAPA KAZI TU
Serikali ya Magufuli itaendeshwa kwa ziara za kushtukiza!Ni kweli, sijawahi kabisa kufanya kazi serikalini na kwa mtaji huo huenda sijui kabisa serikali inaendeshwaje.
Je, serikali inaendeshwa kwa ziara za kushtukiza?
MSD hawana hela ya kununua dawa lakini wana fedha za mafuta ya kusambaza maboksi ya dawa vijijini.
Lakini Mkuu NN, Hakuna ofisi muhimu iliyopo Ruvuma, Simiyu au Kigoma labda halmashauri tu.
aAende akapitie ile kimataba ya gesi na mafuta... tutapata pesa za matibabu, kilimo, elimu, miundombinu etcNnachoona ni kwamba Mheshimiwa ana wasaidizi wazuri sana katika kufuatilia mitandao na vyanzo mbalimbali kuona wananchi wanalalamikia taasisi gani zenye kero sana!
Mi nabashiri na ningependa sana kuona kesho/keshokutwa akitembelea BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU!!
We unaafikirije?