Baada ya Wizara ya Fedha na Muhimbili, Wafuatao ni...

Baada ya Wizara ya Fedha na Muhimbili, Wafuatao ni...

pale bandarini na aagize ndani ya miezi mitatu bandari ifanye kazi masaa 24
tena aende siku ya ijumaa saa kumi
 
Duh......kwa hiyo Rais wetu atakuwa wa kufanya kazi kwa kuvizia mpk miaka mitano iishe, mi nashauri aunde timu nzuri,wajue kuwajibika na walio chino yao hawatafanya uzembe.......haya mambo ya kutaka kufumania mimi siyaungi mkono.


watanzania sisi wagumu sana wa kuelewa mkuu, mm naona aendelee kwanza hiv hv had wanyoke maana ukituma wale watumwao ndo wale wale
 
Nitamtumie ujumbe Mh Rais kwa wazo lako,,,

Tuipene nchi yetu Amin Rabbill ala amin

Hizo ziara zitakuwa si za kustukiza tena.

Maana kwa sehemu ambazo hajaenda, tayari watakuwa wake kwenye mkao wa kutembelewa, hususan kwenye hizi siku za mwanzo mwanzo.

Kama ni mjanja...angezi-space out.

Leo uko Dar.....kesho uko Ruvuma unannounced.

Keshokutwa uko Simiyu.....

Halafu unatulia....unakaa mwezi unarudi tena wizara ya fedha.

Manake hao wanaweza kudhani kwa vile ulishaenda basi hutarudi tena....

Catch them off guard for real....but only if it yields meaningful dividends and not just photo-ops intended to score cheap popularity points.
 
And that's the point mkuu, tunasahau sana kudhani hapa Dar ni kila kitu(pengine ni kweli "ni kila kitu") lakini huko 'mikoani' pia kuna watanzania.

Sioni kama ni jambo jipya linalofanywa na JPM, JK aliwahi kufanya haya(alichoka na kukimbia nchi baadae).

Kama anasafisha ni bora kusafisha wizara moja baada ya nyingine wether kwa kushtukiza au bila kushtukiza. Kufanya vitu kwa kuruka ruka tena bila kuvimaliza ni mizaha tu. Alianza na Wizara ya fedha, Bodi ya Mikopo, Makatibu wakuu, Hospitali ya Taifa na Taasisi ya mifupa kitachofuata sijui ni nini.

JPM fanya jambo moja ulimalize na kupitia hapo iwe mfano kuruka ruka huku kama Kangaroo just one circus kama zile za aliyekutangulia.

uuuwii hapo kwenye red,mbavu zangu mie jamaniiiiiiiiii:redface:😛oa:lock1:
 
nashauri atembelee makao makuu ya bongo movie pale leaders uwanja wa basketball akasikilize matatizo yao
 
...aende TISS kisha Tume ya lubuva...
 
Ni kweli mkuu, lakini kwa Magufuli huyu hawezi zunguka kote. Labda tusubirie atakapounda baraza lake

Hiyo ni message sent kwa taasisi husika na mawaziri atakaowateua jinsi watakavyotakiwa kufanya kazi. Hao Muhimbili wanapata pesa nyingi toka kwenye michango ya wagonjwa lakini matumizi yake ndo hayajulikani. Hebu jaribu kwenda pale MOI uone wanaingiza shilingi ngapi wakati mishahara inalipwa na serikali. Raisi anakuwa ana ABCD kabla ya kwenda sehemu husika.
 
arudi ikulu akae,atume watu waende wampelekee taarifa,kinyume na hapo anapoteza muda!tatzo la muhimbiri ukiacha uzembe,ni uwepo wa mazingira mabovu ya kazi na bajeti finyu toka wizarani,aanzie juu ndo aje chini

unajua nyie wenzetu wenye verified users ID lazima muwe na akili na upeo mkubwa sana

ulichonaidka hapo ni utumbo na ni aibu kwa wanaokufahamu

ukibisha nitachambua kila neno kukueleza makosa yako yako wapi
 
Oh yeah, huko hakuna Watanzania wanaotegemea huduma zitolewazo na serikali?

Kwa mfano, hakuna magereza huko? Hakuna hospitali za serikali?

Zipo mkuu,,, na kingine aangalie na haki za wafanyakazi pia. Nilipo mimi, hakuna haki wala usawa
 
Kuna wale jamaa wanaokopa mazao ya wakulima NFRA Strategic Grain Reserve, hawa jamaa ni hatari. akawaibukie.
 
Watu wanajua kupamba. KUMBE MAGUFULI KAVUNJA BODI YA HOSPITAL KWASABABU BODI IMEMALIZA MUDA WAKE..HAHAAA
 
Kama kwenye kampeni alizunguka nchi nzima na kuhutubia kwa nini ashindwe kwenda kuwapiga matukio?

Na alivyonoma kama alitoboa kwa barabara Tanzania nzima,kuzunguka wizara hizi hapa mjini hata hawazi,yeye anapiga tukio LA kushtukiza mwanzo mwisho mpaka akili itukae sawa.
 
Watanzania tumezidi kwa usanii na kuremba taarifa kumbe ni wizi mtupuu mtupu nakwambia maneno meeeeengi tu,,hio style ndio safi tena 100%,mie inanigusa mno ila tanzania sio sie tusiotaka kazi ni wengi tunaowaumiza nyuma...jamani tubadilike,,huu mziki ni hadi mwisho....safi sana sana x 100000 im happy.......

Kweli kabisa I am very happy Too!
 
...aende TISS kisha Tume ya lubuva...

hahahaha TISS kina Yahaya hao atawapata wapi? akienda Oficn wao WaPo bar wengine washaingia barabarani kama machizi Kumbe WaPo kazini. Eeh hiki kipindi cha Magufuli nilivyoroho juu bora ningekuwa kama hao kina Yahaya
 
?ende pia idara ya ustawi wa jamii makao makuu hili Bomu la watoto wenye mazingira magumu na ombaomba na wazee waliopo makambini na walemavu nao waione nuru.
 
Back
Top Bottom