Sio bure maana yawezekana una point ila suala la kujenga nyumba nzuri linakujaje hapa?
arudi ikulu akae,atume watu waende wampelekee taarifa,kinyume na hapo anapoteza muda!tatzo la muhimbiri ukiacha uzembe,ni uwepo wa mazingira mabovu ya kazi na bajeti finyu toka wizarani,aanzie juu ndo aje chini
Mimi naona amefanya vizuri kufanya shughuli hii mwenyewe kabla hajawatehua Mawaziri,hapo atakuwa ame set yardstick ya kasi anayotaka Serikali yake ifuate, Waziri akienda kinyume na mkataba wake basi wataondolewa fasta.Mimi naamini anachofanya ni kizuri anawaelekeza mawaziri wake atakao wachagua kuwa wawe wafuatiliaji wasikae maofisini tu huu ni mwanzo mzuri
Simiyu kuna nini cha maana?
Hii style ndo inawafaa wabongo.
Huwa wanajidai wajuaji.
JK alikaa akatulia mkamwita dhaifu...huyu jamaa ndo size yenu.
Hii style yake hata Putin kaitumia sana Urusi.
Ngoja awanyooshe kidogo apunguze 'vibaka' na 'miungu watu'.
Tutaheshimiana tu mjini.
Ni kweli lakini kama kama Putin kaitumia Urusi na imefaa, sisi na Urusi wapi na wapi? Mimi ningemshauri Mh President Pombe aige kinachofanyika Rwanda tu hapa Next door na mafanikio yake yanatajwa sana katika nchi zetu 5 za Afrika Mashariki, siyo mbaya kuazima kilicho tayari kwa wenzetu majirani.
Nakumbuka Prof Lipumba alipotia timu kutoka Ukawa nafsi yake ilipomsuta alienda kufanya utafiti kule Rwanda, hivi utafiti wake hautapokelewa na our President? Au atautumia wapi? Maana kila siku huyu Prof huwa anasema ameisaidia Uganda na hata Marekani pia ameishaitwa kwa ushauri, lakini bado alikwenda kujifunza hapo Rwanda, maana yake Rwanda wapo vizuri na tunacho cha kujifunza toka kwao.
Please Mr President mwambie Prof Lipumba alete alichonacho kama kweli nafsi yake inamsuta kwa kuiona Nchi hii inahitaji mabadiliko na yeye anajua lakini hachangii kuishauri serikali iliyopo madarakani, anaenda kuwashauri Uganda na America.
Sisi sio rwanda au uganda.
Professa lipumba apelekee cuf utafiti wake wanauhitaji zaidi.
Nangoja nione itaendelea mpaka wapi maana nakumbuka mwenzake alianza hivyo hivyo, mara akatuambia anawafahamu wauza unga. Halafu bishara yenyewe ikashamiri kipindi akiwa madarakani kiasi cha kuchafua sifa ya Taifa zima dunia nzima.
MSD hawana hela ya kununua dawa lakini wana fedha za mafuta ya kusambaza maboksi ya dawa vijijini.
Sisi sio rwanda au uganda.
Professa lipumba apelekee cuf utafiti wake wanauhitaji zaidi.
Tutachukua muda kuendelea maana watu wenye akili kama zako ni wengi sana .
Bandari mkuu... kule ndo kuna zimwi la ajabu, wafanyakazi kudondosha nyumba za bei mbaya wakati mishahara haizidi 2M
MSD hawana hela ya kununua dawa lakini wana fedha za mafuta ya kusambaza maboksi ya dawa vijijini.