Baada ya Wizara ya Fedha na Muhimbili, Wafuatao ni...

Baada ya Wizara ya Fedha na Muhimbili, Wafuatao ni...

Usilete masihara kwenye mambo ya msingi, this country needs some kind of shock treatment and comprehensive overhaul!! Go go go JPM

Hamna gari inayotembea bila wese..hamna kipindi ambacho halmashaur zimesuffer kama huu Mwaka.hamna pesa zilizokuwa zinaelekezwa huko,na ikitokea zimeelekezwa si kwa wakati kabisaa.kwa upande wa afya shughuli nyingi zinaendeshwa kwa neema,angalao wafadhili wengi wanafadhili miradi ya afya.kila kitu ni kwa msaada wa watu wa.....Huenda Mimi na ww tunaongea coz hatujui uhalisia wa haya mambo au tunajua,bt nadhani madhaifu mengi yamesababishwa na watendaji walioko juu hali inayopelekea watendaji wa chini kukata tamaa.unasikia Fulani kapiga hela ndefu halafu kesho anapewa kitengo nyeti au anakwambia vijisent,au hela ya mboga,wakati ww kama tabibu kwenye zahanati unawaza utatoa wap hata panadol uwapozee wateja wako maana MSD nao hawajapeleka dawa,akiangalia makusanyo huna hata laki mbili useme utanunua dawa.kiukweli mazingira ya kazi ya yanatakiwa yawekwe sawa hasa kwa waalimu halafu na watumishi waache uzembe.so hili jambo hamna wa kumlaumu mwenzie..system mzima ni shida tupu
 
Huko anakotembelea azungumze na wafanyakazi wa kawaida maana nao mabosi wanawazulumu sana!!
 
Unataka kuniambia kuwa Muhimbili hawajazalisha fedha za kutengeneza CT SCAN na MRI toka mwezi wa pili?

Tufanyekazi

Kwani hicho kidogo wanachokipata ni kwa ajili ya matengenezo ya CT Scan na MRI pekee? Pia, hizo mashine zinamiezi miwili tangu ziharibike na siyo tangu mwezi wa pili kama ulivyoandika.
 
Back
Top Bottom