Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,022
- 144,380
Siku hizi mmeshakubaliana kuruhusu maandamano ya Chadema?Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lisu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa chadema andamaneni kufuata haki zenu
Tupe majina yaoNgojakwanza viti maalum wa Bawacha waapishwe,mambo mengine yatajiseti yenyewe mbele kwa mbele.
Kwa hiyo hapo maandamano ni halali?Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lisu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa chadema andamaneni kufuata haki zenu
Uchaguzi ulishaisha.......Katika jitihada za kuondoa picha ya kuwa na Bunge la chama kimoja,na kuondoa dhana inayojengeka kwa kasi sasa kwamba demokrasi sasa imekufa, watachofanya hawa mabwana ni kutuletea kitu kinachoitwa '"Mgombea Binafsi" ingawa yatakuwa ni yale yale tu maana mifumo ni ile ile.
Katika hili,baadhi ya wapinzani waliofanyiwa figisu katika uchaguzi huu wanaweza kushawishiwa kutumia fursa hiyo katika chaguzi ndogo zitazojitokeza siku zijazo na huu pia utakuwa ni mkakati wa "'divide and rule".Hivyo, baadhi ya wapinzani waliokosa ubunge leo hii, kesho wanaweza kurudi Bungeni kwa njia hiyo.
Hoja kuu watayotumia ni uamuzi wa CHADEMA na ACT kukataa kupeleka majina ya wabunge wa viti maalamu na watasema hii njia itasaidia kuwapa fursa wanaobanwa na vyama vyao hasa kina mama-propaganda.
Time will tell.
Ili muwaloge!!Tupe majina yao
https://www.facebook.com/Ili muwaloge!!
wachawi wakubwa nyinyi.
waacheni viti maalum wetu.
Nchi ilishajengwa kitambo ni maboresho tu.Uchaguzi ulishaisha.......
Tulia tujenge nchi mkuu
Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021
Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021 Uteuzi huu ulipendekezwa na Ofisi ya Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wote wa kamati hiyo. Tarehe 23 Novemba 2020...www.jamiiforums.com
Hivyo eeeππππNchi ilishajengwa kitambo ni maboresho tu.
Hoja yako ni ya kis***nge kweli kweli,nenda kachuku etu buku saba zako pale Lumumba.Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lisu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa chadema andamaneni kufuata haki zenu