Baada ya watu kupoteza imani na Tume ya Uchaguzi huku wapinzani wakisusa kushiriki chaguzi, kinachofuata ni kuletewa Mgombea binafsi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,887
143,983
Katika jitihada za kuondoa picha ya kuwa na Bunge la chama kimoja,na kuondoa dhana inayojengeka kwa kasi sasa kwamba demokrasia sasa imekufa, watachofanya hawa mabwana ni kutuletea kitu kinachoitwa "Mgombea Binafsi" ingawa yatakuwa ni yale yale tu maana mifumo ni ile ile.

Katika hili, baadhi ya wapinzani waliofanyiwa figisu katika uchaguzi huu wanaweza kushawishiwa kutumia fursa hiyo katika chaguzi ndogo zitazojitokeza siku zijazo na huu pia utakuwa ni mkakati wa "'divide and rule". Hivyo, baadhi ya wapinzani waliokosa ubunge leo hii, kesho wanaweza kurudi Bungeni kwa njia hiyo.

Hoja kuu watayotumia ni uamuzi wa CHADEMA na ACT kukataa kupeleka majina ya wabunge wa Viti Maalum na watasema hii njia itasaidia kuwapa fursa wanaobanwa na vyama vyao hasa kina mama-propaganda.

Time will tell.
 
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lisu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa chadema andamaneni kufuata haki zenu
Siku hizi mmeshakubaliana kuruhusu maandamano ya Chadema?
 
Katika jitihada za kuondoa picha ya kuwa na Bunge la chama kimoja,na kuondoa dhana inayojengeka kwa kasi sasa kwamba demokrasi sasa imekufa, watachofanya hawa mabwana ni kutuletea kitu kinachoitwa '"Mgombea Binafsi" ingawa yatakuwa ni yale yale tu maana mifumo ni ile ile.

Katika hili,baadhi ya wapinzani waliofanyiwa figisu katika uchaguzi huu wanaweza kushawishiwa kutumia fursa hiyo katika chaguzi ndogo zitazojitokeza siku zijazo na huu pia utakuwa ni mkakati wa "'divide and rule".Hivyo, baadhi ya wapinzani waliokosa ubunge leo hii, kesho wanaweza kurudi Bungeni kwa njia hiyo.

Hoja kuu watayotumia ni uamuzi wa CHADEMA na ACT kukataa kupeleka majina ya wabunge wa viti maalamu na watasema hii njia itasaidia kuwapa fursa wanaobanwa na vyama vyao hasa kina mama-propaganda.

Time will tell.
Uchaguzi ulishaisha.......
Tulia tujenge nchi mkuu
 
Uchaguzi ulishaisha.......
Tulia tujenge nchi mkuu
Nchi ilishajengwa kitambo ni maboresho tu.
 
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lisu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa chadema andamaneni kufuata haki zenu
Hoja yako ni ya kis***nge kweli kweli,nenda kachuku etu buku saba zako pale Lumumba.
 
Chadema imewashika mateka kina mama, wanahitaji ukombozi ili watimize haki yao kikatiba.
 
Polisi + tume ya uchaguzi na mahakama hii ndio ccm halisi sasa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom