konde gang

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sinza pazuri

    Msanii Killy afunguka mazito: Wakati tupo Konde Gang hatukuwa na pakuishi

    Killy ameamua kufunguka baadhi ya ujinga uliokuwa unaendelea kwenye lebo iliyokufa ya jembe ni jembe iitwayo konde gang. Aliongea akijibu shutuma nzito alizotoa msanii mfupi machachari anaetumia majani mengi aitwae harmonize akiojiwa xxl. Nb: wakati tunawaambia haya mkatushambulia kuwa tuna...
  2. PACHOTO

    Ibra wa Konde gang anahitaji msaada wa haraka

    Kwenye kipindi cha xxl cha leo kilichorushwa moja kwa moja kutoka Konde gang Hq ameoneka IBRA. Ila kusema ukweli anyone kana hana furaha, nuru ipotea, na mawazo mengi yaani kwa ujumla yupo yupo tu, Kijana anaguraji msaada wa haraka kuna mazito anayapitia kwa sasa ila haiwekwi wazi tu
  3. Mr Why

    Konde Gang fafanueni aliko Ibraah

    Kijana Ibraah tangu ajiunge Konde Gang kama vile yupo shimoni. Alivuma kwa kasi na kupotea, hivi sasa hajulikani aliko, shabiki zake hawajui hali ya kipaji chake pengine kinapotea ama lah. Konde Gang yapi yanayowasibu mpaka inafikia hatua ya kijana wetu kupotea kimuziki. Ikiwa lebo yenu...
  4. H

    Cheedy: Kuvunja mkataba Konde gang ni Billioni 1 ila wao wakivunja mkataba na wewe ni million 10

    Msanii Cheedy hivi karibuni Konde Kang walivunja mkataba nae ikalazimika imlipe million 10 kama sehemu ya kuvunja mkataba. Wakati akihojiwa na East Africa Radio, Cheedy amefunguka kuwa; "Mkataba waliotengeneza Konde Gang hauendani na uwekezaji wanaouweka kwa sisi wasanii. Haiwezekani uweke...
  5. Cannabis

    Baada ya vurugu za Wasafi na EFM, Hamonize atangaza ujio wa Konde Gang FM na Konde Gang TV

    Baada ya vurugu na purukushani za EFM na Wasafi Media ambapo zimepelekea kwa watangazaji mbali mbali kuhama katika vituo hivyo vya burudani, msanii Harmonize ameujulisha umma kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ameshakamlilisha Konde Gang FM na TV kwa 100%. Hivyo kuwataka wadau wakae mkao wa...
  6. BARD AI

    Harmonize amtema Anjella, akana kumdai pesa

    Bosi wa lebo ya Konde Music, Rajab Abdul ‘Harmonize’ leo Jumamosi Novemba 5, 2022 amethibitisha taarifa za kuachana na msanii wake Angelina Samson ‘Anjella’. Angela alitambulishwa kwenye lebo hiyo Machi 11, 2021 ambapo aliachia wimbo ‘Kama’ aliomshirikisha Harmonize na mpaka sasa wimbo huo...
  7. Slowly

    Kajala ni pandikizi anayeitafuna Konde Gang

    Maneno ya Baba Levo akihojiwa huwa anaongea vitu fulani hivi ukivichunguza utajua nini kinaendelea Konde Village. Mara nyingi Baba levo akiulizwa mahusiano ya Kajala na Harmonize amekuwa akijibu kuwa Kajala kwenye hayo mahusiano ana malengo yake, yakitimia basi anasepa zake, kichaka ni kuwa...
  8. Slowly

    Konde Gang yawaaga rasmi Killy na Cheed

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize amedhibitisha kuondoka kwa wasanii wake wawili Killy pamoja na Cheed. Kufuatia tangazo hili, Cheed pamoja na Killy wamefuta post zote katika kurasa zao za Instagram. Kwa upande wa Killy namkubali sana, nashauri aende wasafi. Anauwezo mkubwa sana...
  9. Hussein Massanza

    Harmonize na vijana wake wapo na Singida Big Stars

    Watu wa Soka, Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC. Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida. Pia ataongozana na wasanii wote...
  10. Hussein Massanza

    Harmonize na Konde Gang watatupa

    Watu wa Soka, Kesho tarehe 4/8/2022 ni siku muhimu sana kwa timu yetu Singida Big Stars FC. Supastaa Harmonize "Konde Boy" ndiye msanii atakaetumbuiza kwenye tamasha letu la "Singida BIG DAY" kesho ALHAMISI ndani ya Uwanja wa LITI (zamani Namfua) hapa Singida. Siku hili ni maalumu kwa ajili...
  11. EINSTEIN112

    Meneja Mpya wa Harmonize Kajala Adaiwa Kumuondoa Mjerumani Konde Gang

    OGOPA mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama Paula kuwa C.E.O na meneja wake mpya, meneja mwingine wa jamaa huyo, Beauty Mmari almaarufu Mjerumani anadaiwa kufungasha virago. Katika ukurasa wake wa Instagram, Mjerumani...
  12. sky soldier

    Konde Gang: Sahau views laki 3 za Ibra ndani ya dakika 1, Harmonize kafikisha views Milioni 1.3 ndani ya sekunde 30

    Koh koh koh, yooooo jeshiiiiiiii , views for everibadeee Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo, kapost kwenye page yake kujipongeza huku akila mafegi kho!! Kho!! Kho!! Views milioni 1.3 hizo ndani ya sekunde 30😳😳 ..... Koh koh koh, Konde gang mziki umewashinda kihivyo mpaka mnunue...
  13. Cannabis

    Ibraah wa Konde Gang aweka rekodi ya kihistoria YouTube

    Msanii Ibraah kutoka Konde Gang ameweka rekodi ya kihistoria baada ya kuweka video ya wimbo wake mpya uitwao "rara". Wimbo huo umeweka rekodi ya kupata views zaidi ya laki tatu chini ya dakika moja. Rekodi hiyo inasemekana ni ya kwanza kutokea kwa msanii wa Afrika Mashariki na kati. Mpaka...
  14. Akili ya kubeti

    Anayejua mikataba ya wasanii wa Konde gang kuhusu utoaji wa nyimbo kuna utaratibu gani?

    Habarini. Nilikua naomba kujuzwa mwenye kujua mikataba ya wasanii kutoka Konde gang katika utoaji wa nyimbo wanafata utaratibu gani? Binafsi namkubali Ibraah na Killy Wana muda mrefu hawajatoa ngoma Kama Ibraah toka mwaka Jana hajatoa ngoma yoyote! Au Kuna project zinakuja labda naomba...
  15. JanguKamaJangu

    Mwijaku kuhusu H Baba kujitoa Konde Gang, mwanaume unaomba hela kwa mwanaume mwenzako, utamlipaje?

    Mwijaku kaulizwa kuhusu H Baba kujitoa Konde Ganga na kuonyesha kuelekeza nguvu upande wa pili wa kuwa ‘chawa’ wa Wasafi chini ya Diamond Platinumz, ameyasema haya katika sehemu ya mazungumzo yake: “Mimi siwezi kukaa naomba hela, mke wangu atanionaje, mwanaume unakaa unaomba hela, nina afya...
  16. K

    Country boy adai mkataba wake alio uingia Konde Gang ulikuwa unamruhusu kutoa nyimbo 2 kwa mwaka

    Aliyekuwa msanii wa Konde Gang ,Country boy wakati akihojiwa na Millard Ayo, Anadai mkataba wake ulikuwa unamruhusu kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka. Naona anaanza kutoa siri za kambi polepole, juzi kadai kapokonywa gari, leo tena anadai mkataba ulikuwa unambana kutoa nyimbo. Koh koh koh...
  17. Mad Max

    Konde Gang wananunua viewers au ndio Ibra mkali?

    Nimeona Ibra ametoa video ya wimbo Jipinde, YouTube masaa 16 yaliyopita views Mil 1 hadi sasa (Saa 5 mchana tar 19-08). Hizo views Mil 1 vijana wa WCB Mbosso na Rayvanny wametumia week nzima kuitafuta.
Back
Top Bottom