Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,585
Kumekuwa na malalamiko mengisana kuhusu TACAIDS na matumizi ya pesa zinazotolewa kusaidia wenye UKIMWI, wengiwao wamekuwa wakizifikisha matumboni mwao badala ya kupeleka sehemu husika.
Kuna thread iliwekwa hapa ingawa ilikuwa enzi za serikali ya ufujaji naamini serikaliyako hutoacha hili likiendelea, watu wamekuwa wakipiga dili kadhaa na bado wanaendelea maofisini mbaya wenye kuumwa ukimwi wakiteseka na madawa.
Hats kesho ukienda kuulizia pesa zinakogaiwa members wanaoumwa HIV watakwambiabukweli viongozi wao wapigaji akuna sehemu wanakobakiza na bado imekuwa mazoea.
Pesa za Global funds Nazi zimekuwa zikitumika vibaya sana kwa kusingizia msaada wanaoumwa HIV.
Mh.Rais heshima yako tukuka niwakati sasa wa ,kuisafisha wa TACAIDS nzima na wale wote wanopokea pesa za kusaidia wenye HIV na kuishia kuignia tumboni mwao wawajibishwe ikiwezekana waadabishwe kuwe na heshima.