Baada ya Tundu Lissu kuangukia pua Mahakamani, Spika Ndugai asema ukiheshimu mamlaka huwezi kupata matatizo

Hata yeye ndugai alikuwa na wajibu wa kuwakumbusha taratibu za kutoa taarifa watu wake wapatapo udhuru, kiongozi mzuri afurahii kupoteza watu wake Bali uwaongoza watu wake.Mbunge Mkono nae ameshamtaarifa juu ya kutokuwepo kwake bungeni,ili isionekana ni dabo standard.
 
Na hakuna anaye waomba Wasaliti na Vibendera kuasiadia au kuhuzunika pale ndeze za Tanzania zinapo kamatwa
Wacha ujinga
Hiyo ni teila bado dawa itawaingia
Hii ni mamlaka iliyo wekwa na Mungu
Nyie mashetani hamta weza kamwe

Kumbe mungu wako huamrisha uibe kura na kutumia vyombo vya dola na kuuwa watu
 
Nilisema katika uzi flani kuwa Kupinga mapingamizi ya serikali sio kwamba Tundu Lisu ameshinda kesi...Mhimu ni kuwa jaji amelinda ulaji wake ,sasa tusubiri rufaa iamue,,ukweli ni kuwa CCM HAITAKI TENA TUNDU LISU AWE MBUNGE INATAKA AFE AU APOTEZE UBUNGE ILI KINGA YAKE IPUNGUE WASHUGULIKE NAE ..LEO SPIKA KASEMA VILE KWA MAELEKEZO ALIYOPEWA SABABU HAUWEZEKANI MTU UMFUKUZE UBUNGE NA BADO UFUATILIE HUKUMU YAKE ILIVYOTOKA UPANDE WAKE NA UFURAHIE .

Loudspeaker ni mfungwa wa hiari wa matibabu ya $12M hivyo akienda kinyume na maagizo lzm file La uhujumu uchumi litue mezani ili mahesabu yafanyike zilitumikaje.
 
Wanamfanyia kila hila wasikutane nae macho Kwa macho sababu ya aibu haya ya waliyomfanyia.Hawa Jamaa wanasali bure waonekane wema mbele za watu kuliko mbele za Mungu.
 
Spika wa bunge mh Ndugai amesema aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki ni mtu jeuri na mwenye kiburi tofauti na Kiongozi wa upinzani bungeni mh Mbowe ambaye amemsifia kuwa ni mtiifu.

Source Channel tv wakisoma gazeti Tanzanite
 
Don’t be frustrated by people’s criticisms and comments. If they’re constructive, you can learn from them. Otherwise, treat them as just noise. Don’t let it affect you and the good work that you do. Remember, your job is to please the Almighty. Don’t give others any attention!

Go lissu Goo
 
Hekima
 
Kumsifia mbowe haisafishi kilichofanywa....mbona yeye pia ana kiburi na jeuri kwanini pia hakuktafuta lissu na kumpa pole?
 
Don’t be frustrated by people’s criticisms and comments. If they’re constructive, you can learn from them. Otherwise, treat them as just noise. Don’t let it affect you and the good work that you do. Remember, your job is to please the Almighty. Don’t give others any attention!

Go lissu Goo
Lisu, ana uwezo mzuri wa kujenga hoja, Tatizo la Lisu, ana kiburi kikavu ii inampelekea kutokuona mapungufu yake kama binadamu na kuwaona anaotofautiana nao kimtazamo hawana akili kumzidi.Jambo ili litampa shida kwa muda mrefu mbaka atakapo jitambua.
 
Yeye anasahau kiburi chake na kutopenda kwake kutii sheria na katiba ya nchi,anasahau kiburi cha kuwaambia wabunge flani kuwa anao uwezo wa kuwafanya wasihudhurie vikao vya bunge mpaka mwisho kisa tuu ni wapinzani waliotofautiana nae hoja,anasahau kuwa anao utiifu feki wa kutii mamlaka ambayo kisheria anao wajibu wa kuiwajibisha na badala yake anakuwa submissive kiasi cha kupiga simu ili apewe mwongozo wa nini akifanye.

Anasahau kuwa yeye sio mtiifu kwa kulisababishia taifa hasara ya matibabu ya gharama zisizo na uhalisia ambazo mpaka leo amekataa kuzitolea ufafanuzi na kuishia kutoa utetezi dhaifu.
All in all he has the right to act so since he has everything to lose.
 
Huyu Ngugu guy si ndio alimpiga Gongo mgombea mwenzie wa CCM wakati wa mchujo? Ni kiburi gani tena anashangaa zaidi ya Uchawi huo?
 
Back
Top Bottom