Baada ya Tundu Lissu kuangukia pua Mahakamani, Spika Ndugai asema ukiheshimu mamlaka huwezi kupata matatizo

Inaonesha kabisa spika alikuwa anajua kinachoenda kuamuliwa halafu anajigamba, malipo ni hapahapa Duniani.
.... nyakati zingine unaweza kulaumu kwanini watu wema wanakufa wabovu wanabaki....watu wanakua na chuki ata kwa mgonjwa...wakizeeka si wataroga kabisa!
 
Miki
Na yeye Spika, kama hakuona taarifa rasmi kumhusu huyu ndugu mezani kwake huku akitambua masahibu yaliyompata, angemkumbusha kwamba.....

Bwana najua na wengine wote wanajua uliumizwa karibu ya kupoteza uhai wako na unaendelea kupigania uhai wako hospitali...

Lakini wakati unaendelea na matibabu yako, hebu fanya 1, 2 ,3 ili kusitokee shida huko mbeleni kwa sbb leo Mimi ninayejua nipo lakini naweza kesho na keshokutwa nikawa sipo kwa namna yoyote ...

Sasa tujiulize alifanya hivi kweli kama anamtakia mema huyu ndugu?

Ilikuwaje akaanzisha vita ya maneno tu na mgonjwa na kwa kuwa yeye ana nguvu za kimaamuzi na mamlaka akaamua kuyatumia ndivyo sivyo?

Leo anapata wapi ujasiri wa kutoa kauli hii ya kinafiki?

Mimi nasema there is no way tunaweza kuwaheshimu viongozi wa namna hii wenye uthubutu wa kutumia mamlaka yao kuumiza wengine.....!!!

Ni kuendelea kuwaonesha kuwa nguvu na mamlaka yao yanaweza kuwa challenged popote pale na kwa njia zozote halali.....

Walikuwepo viongozi waliokuwa wabaya na makatili kuliko hawa lakini walishaoza chini ya ardhi na roho zao zinasubiri hukumu ya mwisho ya Mungu aishiye milele....

Sembuse Ndugai na Magufuli?????
Mimi siku zote nasema inapokuwa muajiriwa wako ni mgonjwa basi ni wajibu wa muajiri kifuatilia mwenendo wa mgonjwa na sio vice versa!
 
Baada ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam kutoa uamuzi wake ambapo Tundu Lissu ameangukia pua, Spika Job Ndugai amesema kwamba kama watu wakiheshimu mamlaka yaliyopo basi huwezi kupata matatizo.

Spika Ndugai amezidi kusema...

"Mambo haya pengine mtayasikia wenyewe huko nje, mimi sitaki kuyasema.
Mambo haya ukiheshimu mamlaka huwezi kupata matatizo haya, haiwezekani bahati mbaya Spika hawezi jitokeza kila wakati kujibu kila mtu anaenda kwenye mitandao sijui ningeweka wapi sura yangu.

Hivi kumjulisha Spika kwamba mheshimiwa kuwa mimi sitaweza kuhudhuria bunge hili la 16 kwa kuwa nipo kwenye matibabu unaweza kunipigia simu au kuandika message taarifa utakua umetoa.

Kwa hiyo mengine yote unafanya isipokua kumwambia Spika mwaka unapita tuu nakuona, mengine yote unaweza kufanya ila kuwasiliana na huyu Spika haiwezekani itafika mahali watu wataruka na wewe tu na usipige kelele umeyataka mwenyewe kwa sababu taaratibu mnazijuaa. Kwa hiyo waheshimiwa wabunge Tukifuata taratibu wala hatutagombana

Habari ya zile fomu, zile za maaadili ni lazima tujaze ni takwa la katiba hata Mh Mbowe aliniandikia barua aliopokua gerezani mwezi wa 12 kwa mba nipo sehemu ambapo siwezi kujaza zile fomu nipo gerezani Segerea lakini nikitoka ntazijaza kwani kulikuwa kuna ugomvi alivyotoka alijaza lakini husemi , huandiki, huwasiliani wala hufanyi nini, wewe unapuyanga na yako ukitoka una yako"
Madhabahu ya Shetani na ibada takatifu ni wapi na wapi! Acha wafu wakazike wafu wao.
 
Na yeye Spika, kama hakuona taarifa rasmi kumhusu huyu ndugu mezani kwake huku akitambua masahibu yaliyompata, angemkumbusha kwamba.....

Bwana najua na wengine wote wanajua uliumizwa karibu ya kupoteza uhai wako na unaendelea kupigania uhai wako hospitali...

Lakini wakati unaendelea na matibabu yako, hebu fanya 1, 2 ,3 ili kusitokee shida huko mbeleni kwa sbb leo Mimi ninayejua nipo lakini naweza kesho na keshokutwa nikawa sipo kwa namna yoyote ...

Sasa tujiulize alifanya hivi kweli kama anamtakia mema huyu ndugu?

Ilikuwaje akaanzisha vita ya maneno tu na mgonjwa na kwa kuwa yeye ana nguvu za kimaamuzi na mamlaka akaamua kuyatumia ndivyo sivyo?

Leo anapata wapi ujasiri wa kutoa kauli hii ya kinafiki?

Mimi nasema hakuna kuwaheshimu watu wenye mamlaka ya namna hii. Ni kuendelea kuwaonesha kuwa nguvu na mamlaka yao yanaweza kuwa challenged popote pale na kwa njia zozote halali.....

Walikuwepo viongozi waliokuwa wabaya na makatili kuliko hawa lakini walishaoza chini ya ardhi na roho zao zinasubiri hukumu ya mwisho ya Mungu aishiye milele....sembuse Ndugai na Magufuli?????
Miki
Mimi siku zote nasema inapokuwa muajiriwa wako ni mgonjwa basi ni wajibu wa muajiri kifuatilia mwenendo wa mgonjwa na sio vice versa!

Hakika, uko sahihi.....ndivyo ilivyo!
 
Kiburi cha madaraka. Hata Mugabe alikuwepo. Leo yuko wapi?
Baada ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam kutoa uamuzi wake ambapo Tundu Lissu ameangukia pua, Spika Job Ndugai amesema kwamba kama watu wakiheshimu mamlaka yaliyopo basi huwezi kupata matatizo.

Spika Ndugai amezidi kusema...

"Mambo haya pengine mtayasikia wenyewe huko nje, mimi sitaki kuyasema.
Mambo haya ukiheshimu mamlaka huwezi kupata matatizo haya, haiwezekani bahati mbaya Spika hawezi jitokeza kila wakati kujibu kila mtu anaenda kwenye mitandao sijui ningeweka wapi sura yangu.

Hivi kumjulisha Spika kwamba mheshimiwa kuwa mimi sitaweza kuhudhuria bunge hili la 16 kwa kuwa nipo kwenye matibabu unaweza kunipigia simu au kuandika message taarifa utakua umetoa.

Kwa hiyo mengine yote unafanya isipokua kumwambia Spika mwaka unapita tuu nakuona, mengine yote unaweza kufanya ila kuwasiliana na huyu Spika haiwezekani itafika mahali watu wataruka na wewe tu na usipige kelele umeyataka mwenyewe kwa sababu taaratibu mnazijuaa. Kwa hiyo waheshimiwa wabunge Tukifuata taratibu wala hatutagombana

Habari ya zile fomu, zile za maaadili ni lazima tujaze ni takwa la katiba hata Mh Mbowe aliniandikia barua aliopokua gerezani mwezi wa 12 kwa mba nipo sehemu ambapo siwezi kujaza zile fomu nipo gerezani Segerea lakini nikitoka ntazijaza kwani kulikuwa kuna ugomvi alivyotoka alijaza lakini husemi , huandiki, huwasiliani wala hufanyi nini, wewe unapuyanga na yako ukitoka una yako"
 
Shetani anashangilia kusigina haki

Mungu? Labda miungu yenu.
Na hakuna anaye waomba Wasaliti na Vibendera kuasiadia au kuhuzunika pale ndeze za Tanzania zinapo kamatwa
Wacha ujinga
Hiyo ni teila bado dawa itawaingia
Hii ni mamlaka iliyo wekwa na Mungu
Nyie mashetani hamta weza kamwe
 
Furaha yako ni ya kishetani, baada ya kushindwa kumuua kwa marisasi. Hata makaburu furaha yao kubwa ilikuwa ni pale walipofanikiwa kutoa na kutekeleza hukumu za kukandamiza haki, na kushambulia na kuua hata watoto wa shule. Mwisho wenu utakuwa ni sawa.
Yawe yakipunguani au la
Huyo mtundu Lisu sio Mbunge
Habari ndio hiyo
 
Huyo Ndugai atueleze pesa zetu mabilioni aliyotafuna huko India akitibiwa alizitumiaje!

Wenye roho mbaya furhini, ila ukweli ni kwamba, Mungu atataenda tu; siku ya Bwana bado!
 
Na yeye Spika, kama hakuona taarifa rasmi kumhusu huyu ndugu mezani kwake huku akitambua masahibu yaliyompata, angemkumbusha kwamba.....

Bwana najua na wengine wote wanajua uliumizwa karibu ya kupoteza uhai wako na unaendelea kupigania uhai wako hospitali...

Lakini wakati unaendelea na matibabu yako, hebu fanya 1, 2 ,3 ili kusitokee shida huko mbeleni kwa sbb leo Mimi ninayejua nipo lakini naweza kesho na keshokutwa nikawa sipo kwa namna yoyote ...

Sasa tujiulize alifanya hivi kweli kama anamtakia mema huyu ndugu?

Ilikuwaje akaanzisha vita ya maneno tu na mgonjwa na kwa kuwa yeye ana nguvu za kimaamuzi na mamlaka akaamua kuyatumia ndivyo sivyo?

Leo anapata wapi ujasiri wa kutoa kauli hii ya kinafiki?

Mimi nasema there is no way tunaweza kuwaheshimu viongozi wa namna hii wenye uthubutu wa kutumia mamlaka yao kuumiza wengine.....!!!

Ni kuendelea kuwaonesha kuwa nguvu na mamlaka yao yanaweza kuwa challenged popote pale na kwa njia zozote halali.....

Walikuwepo viongozi waliokuwa wabaya na makatili kuliko hawa lakini walishaoza chini ya ardhi na roho zao zinasubiri hukumu ya mwisho ya Mungu aishiye milele....

Sembuse Ndugai na Magufuli?????
Ndugu yangu inaudhi na ni dharau kwa Watz wa kawaida. Lkn siku yaja nae/nao watalia na kusaga meno. Kama sio wao wenyewe basi hata kwa Wajukuu zao. vizuri "Mungu huishi Milele ila Binadamu yuko safarini tu Duniani, lazima afikie mwisho wa safari yake"
 
Back
Top Bottom