barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
La kuchumpa la kumpa ufipa.
Hahahaaaaa
Uchaguzi haukupingwa sababu hakuna kosa kwenye Tume ya uchaguzi wala mgombea.Kilichowafanya wasipinge uchaguzi ilikuwa nini?mistake ya kwanza nikutopinga uchaguzi
Yeye alipo mtandika mgombea mwenzake bakora la haja mbona mbona watu walimstahi?Baada ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam kutoa uamuzi wake ambapo Tundu Lissu ameangukia pua, Spika Job Ndugai amesema kwamba kama watu wakiheshimu mamlaka yaliyopo basi huwezi kupata matatizo.
Spika Ndugai amezidi kusema...
"Mambo haya pengine mtayasikia wenyewe huko nje, mimi sitaki kuyasema.
Mambo haya ukiheshimu mamlaka huwezi kupata matatizo haya, haiwezekani bahati mbaya Spika hawezi jitokeza kila wakati kujibu kila mtu anaenda kwenye mitandao sijui ningeweka wapi sura yangu.
Hivi kumjulisha Spika kwamba mheshimiwa kuwa mimi sitaweza kuhudhuria bunge hili la 16 kwa kuwa nipo kwenye matibabu unaweza kunipigia simu au kuandika message taarifa utakua umetoa.
Kwa hiyo mengine yote unafanya isipokua kumwambia Spika mwaka unapita tuu nakuona, mengine yote unaweza kufanya ila kuwasiliana na huyu Spika haiwezekani itafika mahali watu wataruka na wewe tu na usipige kelele umeyataka mwenyewe kwa sababu taaratibu mnazijuaa. Kwa hiyo waheshimiwa wabunge Tukifuata taratibu wala hatutagombana
Habari ya zile fomu, zile za maaadili ni lazima tujaze ni takwa la katiba hata Mh Mbowe aliniandikia barua aliopokua gerezani mwezi wa 12 kwa mba nipo sehemu ambapo siwezi kujaza zile fomu nipo gerezani Segerea lakini nikitoka ntazijaza kwani kulikuwa kuna ugomvi alivyotoka alijaza lakini husemi , huandiki, huwasiliani wala hufanyi nini, wewe unapuyanga na yako ukitoka una yako"
Especially anapokuwa kaumia katika mazingira ya kaziMiki
Mimi siku zote nasema inapokuwa muajiriwa wako ni mgonjwa basi ni wajibu wa muajiri kifuatilia mwenendo wa mgonjwa na sio vice versa!
Hahahaha.. Mkuu umenikumbusha alafu nmecheka sana!
Ndio uje hata hizi hukumu zina uwalakini!!
Najuta sana, kwa kukupiga mbupu siku ile.
Anasemaje huyo msengengoma.Baada ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam kutoa uamuzi wake ambapo Tundu Lissu ameangukia pua, Spika Job Ndugai amesema kwamba kama watu wakiheshimu mamlaka yaliyopo basi huwezi kupata matatizo.
Spika Ndugai amezidi kusema...
"Mambo haya pengine mtayasikia wenyewe huko nje, mimi sitaki kuyasema.
Mambo haya ukiheshimu mamlaka huwezi kupata matatizo haya, haiwezekani bahati mbaya Spika hawezi jitokeza kila wakati kujibu kila mtu anaenda kwenye mitandao sijui ningeweka wapi sura yangu.
Hivi kumjulisha Spika kwamba mheshimiwa kuwa mimi sitaweza kuhudhuria bunge hili la 16 kwa kuwa nipo kwenye matibabu unaweza kunipigia simu au kuandika message taarifa utakua umetoa.
Kwa hiyo mengine yote unafanya isipokua kumwambia Spika mwaka unapita tuu nakuona, mengine yote unaweza kufanya ila kuwasiliana na huyu Spika haiwezekani itafika mahali watu wataruka na wewe tu na usipige kelele umeyataka mwenyewe kwa sababu taaratibu mnazijuaa. Kwa hiyo waheshimiwa wabunge Tukifuata taratibu wala hatutagombana
Habari ya zile fomu, zile za maaadili ni lazima tujaze ni takwa la katiba hata Mh Mbowe aliniandikia barua aliopokua gerezani mwezi wa 12 kwa mba nipo sehemu ambapo siwezi kujaza zile fomu nipo gerezani Segerea lakini nikitoka ntazijaza kwani kulikuwa kuna ugomvi alivyotoka alijaza lakini husemi , huandiki, huwasiliani wala hufanyi nini, wewe unapuyanga na yako ukitoka una yako"
Na hakuna anaye waomba Wasaliti na Vibendera kuasiadia au kuhuzunika pale ndeze za Tanzania zinapo kamatwa
Wacha ujinga
Hiyo ni teila bado dawa itawaingia
Hii ni mamlaka iliyo wekwa na Mungu
Nyie mashetani hamta weza kamwe