Baada ya Tundu Lissu kuangukia pua Mahakamani, Spika Ndugai asema ukiheshimu mamlaka huwezi kupata matatizo

Ndugai anashangilia uharamu wake, hivi kiongozi mzima unashindwa kumtafuta mbunge wako kwenye simu Na kumjulia hali huku kashambuliwa akiwa kazini kwa risasi lukuki? Ndugai Ni miongoni mwa wagogo makatiri sana.
 
Baada ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam kutoa uamuzi wake ambapo Tundu Lissu ameangukia pua, Spika Job Ndugai amesema kwamba kama watu wakiheshimu mamlaka yaliyopo basi huwezi kupata matatizo.

Spika Ndugai amezidi kusema...

"Mambo haya pengine mtayasikia wenyewe huko nje, mimi sitaki kuyasema.
Mambo haya ukiheshimu mamlaka huwezi kupata matatizo haya, haiwezekani bahati mbaya Spika hawezi jitokeza kila wakati kujibu kila mtu anaenda kwenye mitandao sijui ningeweka wapi sura yangu.

Hivi kumjulisha Spika kwamba mheshimiwa kuwa mimi sitaweza kuhudhuria bunge hili la 16 kwa kuwa nipo kwenye matibabu unaweza kunipigia simu au kuandika message taarifa utakua umetoa.

Kwa hiyo mengine yote unafanya isipokua kumwambia Spika mwaka unapita tuu nakuona, mengine yote unaweza kufanya ila kuwasiliana na huyu Spika haiwezekani itafika mahali watu wataruka na wewe tu na usipige kelele umeyataka mwenyewe kwa sababu taaratibu mnazijuaa. Kwa hiyo waheshimiwa wabunge Tukifuata taratibu wala hatutagombana

Habari ya zile fomu, zile za maaadili ni lazima tujaze ni takwa la katiba hata Mh Mbowe aliniandikia barua aliopokua gerezani mwezi wa 12 kwa mba nipo sehemu ambapo siwezi kujaza zile fomu nipo gerezani Segerea lakini nikitoka ntazijaza kwani kulikuwa kuna ugomvi alivyotoka alijaza lakini husemi , huandiki, huwasiliani wala hufanyi nini, wewe unapuyanga na yako ukitoka una yako"

hicho kichwa cha habari kama kuna watu ndio alpha na omega kwenye yote.
hata kushambuliwa kwake ni kweli maana na nukuu Spika Job Ndugai amesema kwamba kama watu wakiheshimu mamlaka yaliyopo basi huwezi kupata matatizo
 
Na yeye Spika, kama hakuona taarifa rasmi kumhusu huyu ndugu mezani kwake huku akitambua masahibu yaliyompata, angemkumbusha kwamba.....

Bwana najua na wengine wote wanajua uliumizwa karibu ya kupoteza uhai wako na unaendelea kupigania uhai wako hospitali...

Lakini wakati unaendelea na matibabu yako, hebu fanya 1, 2 ,3 ili kusitokee shida huko mbeleni kwa sbb leo Mimi ninayejua nipo lakini naweza kesho na keshokutwa nikawa sipo kwa namna yoyote ...

Sasa tujiulize alifanya hivi kweli kama anamtakia mema huyu ndugu?

Ilikuwaje akaanzisha vita ya maneno tu na mgonjwa na kwa kuwa yeye ana nguvu za kimaamuzi na mamlaka akaamua kuyatumia ndivyo sivyo?

Leo anapata wapi ujasiri wa kutoa kauli hii ya kinafiki?

Mimi nasema there is no way tunaweza kuwaheshimu viongozi wa namna hii wenye uthubutu wa kutumia mamlaka yao kuumiza wengine.....!!!

Ni kuendelea kuwaonesha kuwa nguvu na mamlaka yao yanaweza kuwa challenged popote pale na kwa njia zozote halali.....

Walikuwepo viongozi waliokuwa wabaya na makatili kuliko hawa lakini walishaoza chini ya ardhi na roho zao zinasubiri hukumu ya mwisho ya Mungu aishiye milele....

Sembuse Ndugai na Magufuli?????
Maneno hayo umwambie huyo lisu alivyokuwa na kiburi, dharau na majivuno?
 
Huwezi kumkumbusha mtu ambaye anajifanya anajua kila kitu. Hata ungekua we ndio speaker ungekaa kimya ukisubiri umle kichwa. Mtu mwenye dharau,jeuri,kudhihaki na kejeli uangaike naye wa nini?Huyo Lisu toka amefika huko Ulaya angekua kimya kweli tungesema Ndugai hakua fair,sasa Daily kutukana Viongoz wa serikali na bunge mara kaenda USA mara Germany nk umkumbushe nini?
 
Kutoka kwenye Undugu wa Kumtembelea mgojwa hospital, Hivi sasa Mgonjwa ndiye amtafute aliye mzima wa afya kwa simu au barua.
Asee

Halafu tunalazimishana uzalendo!
Kwenye Hardtalk au USA alikua anafikaje?Yaani alikua na mda mwingi wa kufanya mahojiano na kuandika videsa lkn sio kuwasiliana na Speaker?
 
Miki
Mimi siku zote nasema inapokuwa muajiriwa wako ni mgonjwa basi ni wajibu wa muajiri kifuatilia mwenendo wa mgonjwa na sio vice versa!
Hakuna kitu kama hicho. Labda hapo ufipa ndio kuna taratibu hizo.Elewa ni jukumu la mgonjwa kutoa taarifa ya maendeleo yake.
 
Na yeye Spika, kama hakuona taarifa rasmi kumhusu huyu ndugu mezani kwake huku akitambua masahibu yaliyompata, angemkumbusha kwamba.....

Bwana najua na wengine wote wanajua uliumizwa karibu ya kupoteza uhai wako na unaendelea kupigania uhai wako hospitali...

Lakini wakati unaendelea na matibabu yako, hebu fanya 1, 2 ,3 ili kusitokee shida huko mbeleni kwa sbb leo Mimi ninayejua nipo lakini naweza kesho na keshokutwa nikawa sipo kwa namna yoyote ...

Sasa tujiulize alifanya hivi kweli kama anamtakia mema huyu ndugu?

Ilikuwaje akaanzisha vita ya maneno tu na mgonjwa na kwa kuwa yeye ana nguvu za kimaamuzi na mamlaka akaamua kuyatumia ndivyo sivyo?

Leo anapata wapi ujasiri wa kutoa kauli hii ya kinafiki?

Mimi nasema hakuna kuwaheshimu watu wenye mamlaka ya namna hii. Ni kuendelea kuwaonesha kuwa nguvu na mamlaka yao yanaweza kuwa challenged popote pale na kwa njia zozote halali.....

Walikuwepo viongozi waliokuwa wabaya na makatili kuliko hawa lakini walishaoza chini ya ardhi na roho zao zinasubiri hukumu ya mwisho ya Mungu aishiye milele....sembuse Ndugai na Magufuli?????

Hakika, uko sahihi.....ndivyo ilivyo!
Amkumbushe nini wakati anaona Yule anayedai mgonjwa anazurula huko Ulaya na kukejeli serikali na viongoz wake?
 
Kilichowafanya wasipinge uchaguzi ilikuwa nini?mistake ya kwanza nikutopinga uchaguzi
Kwa Sababu huelewi ndio Maana unauliza hivi,ni kwamba
Ukifungua kesi kupinga uchaguzi,hapa mdaiwa wako ni tume inakosa gani ?
 
Amkumbushe nini wakati anaona Yule anayedai mgonjwa anazurula huko Ulaya na kukejeli serikali na viongoz wake?

Haswaaaa....

Sababu ya yote haya si nyingine bali ni kile kinachoonekana na kusikika kama

".......kutembea huko Ulaya na Marekani akikejeli 'serikali' na viongozi wake......"

Hakuna sababu nyingine, ni hii tu baasi....
 
Huwezi kumkumbusha mtu ambaye anajifanya anajua kila kitu. Hata ungekua we ndio speaker ungekaa kimya ukisubiri umle kichwa. Mtu mwenye dharau,jeuri,kudhihaki na kejeli uangaike naye wa nini?Huyo Lisu toka amefika huko Ulaya angekua kimya kweli tungesema Ndugai hakua fair,sasa Daily kutukana Viongoz wa serikali na bunge mara kaenda USA mara Germany nk umkumbushe nini?

Kila mla naye huliwa tu....

Viongozi wenu wanataka na kupenda sana kuabudiwa...

Kusujudu na kuabudu ni kwa Mungu tu aliyetuumba, kamwe si kwa Ndugai ama Magufuli...!!

Maisha yanaendelea, hayasimani na kila mtu atapokea ujira wake kwa wakati wake....
 
Na yeye Spika, kama hakuona taarifa rasmi kumhusu huyu ndugu mezani kwake huku akitambua masahibu yaliyompata, angemkumbusha kwamba.....

Bwana najua na wengine wote wanajua uliumizwa karibu ya kupoteza uhai wako na unaendelea kupigania uhai wako hospitali...

Lakini wakati unaendelea na matibabu yako, hebu fanya 1, 2 ,3 ili kusitokee shida huko mbeleni kwa sbb leo Mimi ninayejua nipo lakini naweza kesho na keshokutwa nikawa sipo kwa namna yoyote ...

Sasa tujiulize alifanya hivi kweli kama anamtakia mema huyu ndugu?

Ilikuwaje akaanzisha vita ya maneno tu na mgonjwa na kwa kuwa yeye ana nguvu za kimaamuzi na mamlaka akaamua kuyatumia ndivyo sivyo?

Leo anapata wapi ujasiri wa kutoa kauli hii ya kinafiki?

Mimi nasema there is no way tunaweza kuwaheshimu viongozi wa namna hii wenye uthubutu wa kutumia mamlaka yao kuumiza wengine.....!!!

Ni kueindelea kuwaonesha kuwa nguvu na mamlaka yao yanaweza kuwa challenged popote pale na kwa njia zozote halali.....

Walikuwepo viongozi waliokuwa wabaya na makatili kuliko hawa lakini walishaoza chini ya ardhi na roho zao zinasubiri hukumu ya mwisho ya Mungu aishiye milele....

Sembuse Ndugai na Magufuli?????
Umenena kweli yote mkuu
 
Kumfanyia mwenzako vibaya alafu unasherekea ujue kuwa unakaribisha mabaya zaidi juu yako.
Mwenye akili anajua kinachoendelea .malipo hapa duniani,tenda wema ili ujengee maisha ya watoto na hata wajukuu wako kwa maamuzi unayofanya sasa.
 
Na yeye Spika, kama hakuona taarifa rasmi kumhusu huyu ndugu mezani kwake huku akitambua masahibu yaliyompata, angemkumbusha kwamba.....

Bwana najua na wengine wote wanajua uliumizwa karibu ya kupoteza uhai wako na unaendelea kupigania uhai wako hospitali...

Lakini wakati unaendelea na matibabu yako, hebu fanya 1, 2 ,3 ili kusitokee shida huko mbeleni kwa sbb leo Mimi ninayejua nipo lakini naweza kesho na keshokutwa nikawa sipo kwa namna yoyote ...

Sasa tujiulize alifanya hivi kweli kama anamtakia mema huyu ndugu?

Ilikuwaje akaanzisha vita ya maneno tu na mgonjwa na kwa kuwa yeye ana nguvu za kimaamuzi na mamlaka akaamua kuyatumia ndivyo sivyo?

Leo anapata wapi ujasiri wa kutoa kauli hii ya kinafiki?

Mimi nasema there is no way tunaweza kuwaheshimu viongozi wa namna hii wenye uthubutu wa kutumia mamlaka yao kuumiza wengine.....!!!

Ni kuendelea kuwaonesha kuwa nguvu na mamlaka yao yanaweza kuwa challenged popote pale na kwa njia zozote halali.....

Walikuwepo viongozi waliokuwa wabaya na makatili kuliko hawa lakini walishaoza chini ya ardhi na roho zao zinasubiri hukumu ya mwisho ya Mungu aishiye milele....

Sembuse Ndugai na Magufuli?????

Hongera kwa kutukumbusha utu wa Kitanzania. Hizi ni fikra za zama zile Tanzania ilipokuwa Tanzania ya Nyerere; kabla ya kushenzika (courtesy Bams).
 
Kwenye Hardtalk au USA alikua anafikaje?Yaani alikua na mda mwingi wa kufanya mahojiano na kuandika videsa lkn sio kuwasiliana na Speaker?
Mkuu MISULI mpaka hivi sasa Spika hajakanusha kwamba Lissu hajatuma barua ofisi ya Spika. Anachosema ni kwamba yeye binafsi ndiyo hajui aliko ingawa walikua wakimlipa mshahara.

Alifikaje Hardtalk sijawahi kufikiri hili ni swali,
Ila swali ambalo huwa najiuliza aliwezaje kufika Kenya kutokea Dodoma kwa hali aliyokuwa nayo baada ya lile shambulio.
 
Nilisema katika uzi flani kuwa Kupinga mapingamizi ya serikali sio kwamba Tundu Lisu ameshinda kesi...Mhimu ni kuwa jaji amelinda ulaji wake ,sasa tusubiri rufaa iamue,,ukweli ni kuwa CCM HAITAKI TENA TUNDU LISU AWE MBUNGE INATAKA AFE AU APOTEZE UBUNGE ILI KINGA YAKE IPUNGUE WASHUGULIKE NAE ..LEO SPIKA KASEMA VILE KWA MAELEKEZO ALIYOPEWA SABABU HAUWEZEKANI MTU UMFUKUZE UBUNGE NA BADO UFUATILIE HUKUMU YAKE ILIVYOTOKA UPANDE WAKE NA UFURAHIE .
 
Back
Top Bottom