Sio muda mrefu alichukua tena form jimboni kwao ya Unaibu Spika. Hajakaa vizuri tayari anautaka Uspika!Huyo bibi ana tamaa sn anataka vyote
Siku chama kikimteua kama mgombea wa kiti cha uspika- atajiuzuluWakuu Habari ya Asubuhi.
Je Ni Nini Kinatakiwa Kutangulia?
1) Kuchukua Form Kwanza
2) Kujiuzulu Unaibu Spika Kwanza
3) Au Business as Usual:-
Funika Kombe Mwanaharamu Apite?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikuwa na roho ya kishetani.Wakati mwendazake anamteua GAG mpya Prof. Assad alikuwa bado CAG. Yani unaenda kazini asubuhi unakuta kuna njemba imekalia kiti chako
Usishangae tukajikuta tuna mtu mmoja ambaye ni Spika na Naibu Spika kwa wakati mmoja.
Hakuna linaloshindikana kibongobongo
Kikatiba alitakiwa nae atangaze kujiuzulu ili nafasi zote ziwe wazi alafu ndio zitangazwe rasmiWakuu Habari ya Asubuhi.
Je Ni Nini Kinatakiwa Kutangulia?
1) Kuchukua Form Kwanza
2) Kujiuzulu Unaibu Spika Kwanza
3) Au Business as Usual:-
Funika Kombe Mwanaharamu Apite?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Philip Mpango alitolewa wodini aongee na waandishi wa habari ili kuthibitisha hana corona. Na cannula yake mkononi mzee aliongea kwa tabu huku anakooa almanusura roho iuache mwili...Jamaa alikuwa na roho ya kishetani.
Dr Mahiga alifariki,ratiba za mazishi zikiendelea yeye kamteua Madelu nakumuapisha.
Wakuu Habari ya Asubuhi.
Je Ni Nini Kinatakiwa Kutangulia?
1) Kuchukua Form Kwanza
2) Kujiuzulu Unaibu Spika Kwanza
3) Au Business as Usual:-
Funika Kombe Mwanaharamu Apite?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mnafiki tu mchumia tumbo. Anakimbilia yale Mafao ya Uspika hadi akili zinamtoka.Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika, na ndio maana anauomba Uspika kamili, na bila shaka ameondoka kwenye ofisi ya Naibu Spika kwa lengo la kuepusha Conflict of Interest.
Natoa wito kwa Wahusika kutangaza pia Nafasi ya Naibu Spika Kuwa wazi.
Naomba kuwasilisha.
Ndiyo ukisikia" kufa kufaana" ñdugai upo msaidizi wako au wanaccm wenzako wataziba pengo lako mara mojaNi mnafiki tu mchumia tumbo. Anakimbilia yale Mafao ya Uspika hadi akili zinamtoka.
kwani ameishajitoa?je na katiba inasemaje kuhusu hilo.mtujuze wabobezi wa sheria.Navohisi hii ananafasi kubwa ya kushinda . Ukiona amejitoa kwa ujasiri mkubwa ujue tayari ameshaandaliwa kwa kupewa kiti cha uspika kwa kigezo cha uzoefu. Itunze hii tutakuja kuitumia baadae
Unatoa wito kama nani, kwani sheria inasemaje? Tujikite hapoKatika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika, na ndio maana anauomba Uspika kamili, na bila shaka ameondoka kwenye ofisi ya Naibu Spika kwa lengo la kuepusha Conflict of Interest.
Natoa wito kwa Wahusika kutangaza pia Nafasi ya Naibu Spika Kuwa wazi.
Naomba kuwasilisha.
Hajaandaliwa Bali uwezo na uzoefu vinamfanya kuwa mgombea mwenye mvuto zaidi ya wengineNavohisi hii ananafasi kubwa ya kushinda . Ukiona amejitoa kwa ujasiri mkubwa ujue tayari ameshaandaliwa kwa kupewa kiti cha uspika kwa kigezo cha uzoefu. Itunze hii tutakuja kuitumia baadae