The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,589
- 14,136
Ndio maana watu hawataki uwaziri wala uwaziri mkuu wanautaka Urais,kwa hiyo ni kawaidaKatika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika, na ndio maana anauomba Uspika kamili, na bila shaka ameondoka kwenye ofisi ya Naibu Spika kwa lengo la kuepusha Conflict of Interest.
Natoa wito kwa Wahusika kutangaza pia Nafasi ya Naibu Spika Kuwa wazi.
Naomba kuwasilisha.