Yupo mahali ana attend issue fulani private matter, wana Kongwa wanajua, familia inajua, Bunge linajua na sisi waandishi wa habari pia tunajua alipo na anafanya nini ila tunaheshimu kanuni ya the right to privacy.
P
“Chezea ndevu, usichezee dola” - Salmin Amour Juma aka Commando Rais wa zamani wa SMZ
Sumu gani inachukua miaka 2???subiri kama hamtatangaziwa kifo chako kabla ya mwaka huu kuisha
Assumption yako hii inaweza kuwa sahihi iwapo tu sababu zizolipelekea kujiuzulu kwake, siyo zile ambazo tuliambiwa na ambazo tunazijua hadi leo. Unless kama kuna sababu zingine tofauti na nzito zaidi kuliko zile ambazo watu wote tunazijua hadi muda huuYupo Jimboni kwake.
Ila nimewaza ukute kawekwa mahali halafu anakutanishwa na alowatendea ndivyo sivyo wanamuhoji "Kiko wapi sasa"?
Mkuu P kidogo tu kama hutojali, yupo Dodoma au Dar??Yupo mahali ana attend issue fulani private matter, wana Kongwa wanajua, familia inajua, Bunge linajua na sisi waandishi wa habari pia tunajua alipo na anafanya nini ila tunaheshimu kanuni ya the right to privacy.
P
mkuu ukiona kobe kainama ujue anatunga sheriaMkimtafuta mtu aliyepotea kwa kawaida wa kumuuliza ni yule aliyeonekana naye mara ya mwisho.
Baada ya tukio hili Mheshimiwa huyu mwakilishi wa Kongwa hajaonekana tena sio bungeni wala jimboni.
Tumuulize!
View attachment 2182939
Lissu naye mbona kanywea, au ni baada ya Mh. Mbowe kwenda kuongea Ikulu?Hiyo laana haitamwacha!
Imeshamshika tayari,inachakaza nafsi yake,hathubutu kutoka nje.
acha kabisaOgopa dubwana linaitwa system!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwasasa wanamrekodi video ya pilau akitoka anakua bubu.
Nimecheka kama mazuriYupo Jimboni kwake.
Ila nimewaza ukute kawekwa mahali halafu anakutanishwa na alowatendea ndivyo sivyo wanamuhoji "Kiko wapi sasa"?
Na Joshua nassari, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo pembeni ya TAL ni kamanda Msigwa? Kweli hata mbuyu ulianza kama mchicha.
''Naweza kukufanya usiongee hapa Bungeni mwaka mzima na usinifanye chochote" 🤣 🤣Hata kwake haonekani huyo mjawa kiburi. Alidhani kuionea kambi ya upinzani ndio ccm watampenda. Leo amerudi porini.
Ahahaha,, nilikuwa nakuambia urais Ni taasisi, Ni zaidi ya Samia,Kumteka , na kutunga barua feki na kumpiga sumu ndo matumizi ya dola ....Sawa , uwezekano wa kurudi akiwa maiti ni mkubwa , na mlichokuwa mnakitafuta mtakipata mfurahi
hakika kwa jinsi nchi ilivyovurugwavurugwa baada yake it feels like miaka mia already.Mbona Kama nmemuona kwenye sherehe kibaha, siku ya miaka Mia ya Mw. Nyerere
Mkuu nimegeee Pm kama unaogopa kusema.Yupo mahali ana attend issue fulani private matter, wana Kongwa wanajua, familia inajua, Bunge linajua na sisi waandishi wa habari pia tunajua alipo na anafanya nini ila tunaheshimu kanuni ya the right to privacy.
P