Ndio mwenyekiti wa KAMPENI wa mazaa 2025...yuko bize anaandaa ilani na kauli mbiu ambayo "WAKUKOPA KOPA SISI ? TUKISHA KOPA TUNAPIGA MAKOFI SISI?"Katulizwa kwanza.
Ndio mwenyekiti wa KAMPENI wa mazaa 2025...yuko bize anaandaa ilani na kauli mbiu ambayo "WAKUKOPA KOPA SISI ? TUKISHA KOPA TUNAPIGA MAKOFI SISI?"Katulizwa kwanza.
Walikuwa ndani ya system na hawakuwa wanakubaliana na maguMpaka leo najiuliza Hawa “ Kigogo 2014” ilikuwaje system ilishindwa Kuwatia mbaroni wakati wa Magufuli? Hawa vijana toka Samia kaingia maadarakani viponzo na vituko vya “ Kigogo” navyo vimetoweka! Kutoweka huko kunaashiria nini?
Kigogo anatumika tu ila wenyewe hasa ndio hao kina Nape na januariMpaka leo najiuliza Hawa “ Kigogo 2014” ilikuwaje system ilishindwa Kuwatia mbaroni wakati wa Magufuli? Hawa vijana toka Samia kaingia maadarakani viponzo na vituko vya “ Kigogo” navyo vimetoweka! Kutoweka huko kunaashiria nini?
WasiojulikanaKina nani wamnyooeshe?
Mpaka leo najiuliza Hawa “ Kigogo 2014” ilikuwaje system ilishindwa Kuwatia mbaroni wakati wa Magufuli? Hawa vijana toka Samia kaingia maadarakani viponzo na vituko vya “ Kigogo” navyo vimetoweka! Kutoweka huko kunaashiria nini?

Basi atakuwa mahali pafinyu.Mkimtafuta mtu aliyepotea kwa kawaida wa kumuuliza ni yule aliyeonekana naye mara ya mwisho.
Baada ya tukio hili Mheshimiwa huyu mwakilishi wa Kongwa hajaonekana tena sio bungeni wala jimboni.
Tumuulize!
View attachment 2182939
Basi atakuwa mahali pafinyu.
Hata kama atakuwa anapata ila kuna uhuru fulani anaoukosa,mfano mialikoTuache ushabiki Ndugai sio spika ila hajapoteza kivile maana anakamua pensheni yake ya uspika kama kawa plus mshahara, posho na marupurupu ya ubunge kama kawaida
We jamaa wewe....daaa mecheka balaaWameliweka kona linarushwa kichura chura huku linapigwa mbata na mibao ya kichwa, ruka juu ruka chini paaaaa paa weye ni job acha kujiita spika then mibao paaa paaa paaa
Hili dubwana limesjindws kuondoa umasikini na uningaOgopa dubwana linaitwa system!