Baada ya tukio hili hajaonekana tena hadharani

Baada ya tukio hili hajaonekana tena hadharani

Yupo Jimboni kwake.

Ila nimewaza ukute kawekwa mahali halafu anakutanishwa na alowatendea ndivyo sivyo wanamuhoji "Kiko wapi sasa"?
Kwani Ndugai katenda nini hasa ambacho ni ndivyo sivyo kiasi cha wewe kufikia kuwaza hivyo unavyowaza?
 
Atakuwa India kaenda kubadilisha damu maana VVU siyo sport sport,

Au inawezekana kile kichaa kimepanda tena kapelekwa mirembe maana tunaambiwa ana funza kwenye ubongo
 
Malipo ni hapa hapa
"Endelea kufanya ufanyayo, malipo yake utayaona hapahapa" TAL
20220411_065326.jpg
 
Tatizo la karma inachagua impate nani na nani isimpate.
Sio kweli mkuu,unapanda chuki,visasi, unafiki etc etc karma hiyo itakurudia, just imaging yanayotokea Botswana 🇧🇼 yangetokea kwenye SADC countries zote, haki na wajibu wa kisheria ingetamalaki..... eti TISS member naye ana arrest raia!nani kampa uwezo huu this guy?,na yule ke aliyevaa combat za nchi anaongea shit na kutolitendea haki Ile uniform;panamatenga kuna barracks kubwa ya BDF, mbele ya mlango mkubwa wa kuingilia sisi wasafiri ndio tunapaki na kulala!can you do that pale Lugalo barrack?answer its NO,NO WAY
 
ameshazikwa na habari yake imeisha!! hivi ndivyo ulimwengu wa siasa ulivyo
 
Hivi alivyokua speaker aliuachia ubunge ? Kama hakuachia anyang'anywe kama Lissu maana hawawakilishi wananchi wake ipasavyo
 
Kumteka , na kutunga barua feki na kumpiga sumu ndo matumizi ya dola ....Sawa , uwezekano wa kurudi akiwa maiti ni mkubwa , na mlichokuwa mnakitafuta mtakipata mfurahi
Huyo ni mgonjwa kitambo tu, hakuna wakumpa sumu.
 
Nyie wote mnaoombea wenzenu mabaya au kufurahia au kuwatendea hakika ninyi ni uzao wa nyoka,hasa chadema.
 
Mkimtafuta mtu aliyepotea kwa kawaida wa kumuuliza ni yule aliyeonekana naye mara ya mwisho.

Baada ya tukio hili Mheshimiwa huyu mwakilishi wa Kongwa hajaonekana tena sio bungeni wala jimboni.

Tumuulize!

View attachment 2182939
Yupo mahali ana attend issue fulani private matter, wana Kongwa wanajua, familia inajua, Bunge linajua na sisi waandishi wa habari pia tunajua alipo na anafanya nini ila tunaheshimu kanuni ya the right to privacy.
P
 
Tuache ushabiki Ndugai sio spika ila hajapoteza kivile maana anakamua pensheni yake ya uspika kama kawa plus mshahara, posho na marupurupu ya ubunge kama kawaida
 
Muacheni apumzike ale maisha sasa, kuongoza bunge si kazi ndogo ati...
 
Huyu Bwana yupo kama asingekuwepo angekuwa ashazikwa kwa heshima zote. Kwani kila mtu lazima aonekane, labda mgonjwa kwani lazima itangazwe, mbona Adv. Mkono haonekani mbona sio issue? Tuaicha serikali ifanyakazi yake, tuliuliza watu kwenye viroba tulipewa maelezo?
 
Back
Top Bottom