Baada ya tukio hili hajaonekana tena hadharani

Baada ya tukio hili hajaonekana tena hadharani

kifo cha bwana Magufuli kimetufunza mengi sana nakumbuka jinsi alivyokuwa akiwatishia akina babu Mayallah &CAG mstaafu kuwatumia police
 
yaani watu wa humu ni wa ajabu..Hivi hamjui kuwa ndugai alipewa sumu? na amepelekwa India kwa matibabu lakini hawezi kupona..Kumbukeni lost ya kigogo kuhusu mazishi ya magufuri alipose.a kuwa kunamakosa ya kiprotical yalifanyika ila watarehekebisha wakati wa mazishi ya ndugai
 
Ndugai sumu hampe Nani? Kwa kipi haswaaa
 
Mkimtafuta mtu aliyepotea kwa kawaida wa kumuuliza ni yule aliyeonekana naye mara ya mwisho.
Baada ya tukio hili Mheshimiwa huyu mwakilishi wa Kongwa hajaonekana tena sio bungeni wala jimboni.
Tumuulize!
View attachment 2182939
Na hapa ndio unatambua unafiki wa wanaccm, mwenzao haonekani wapo tu, kuwa ccm kunaitaji KAZI ya ziada sana
 
Mtani wangu huyu kiburi chake kilipaaa juu sana kikafika kwenye kiti cha enzi. Hapo ndio ukawa mwisho wake. Yaani hata Covid 19 wamemzidi kete bado wanadunda mjengoni na kula posho.
 
Mkimtafuta mtu aliyepotea kwa kawaida wa kumuuliza ni yule aliyeonekana naye mara ya mwisho.
Baada ya tukio hili Mheshimiwa huyu mwakilishi wa Kongwa hajaonekana tena sio bungeni wala jimboni.
Tumuulize!
View attachment 2182939
Kuna TISS flan mstaaf alinisimulia huyu jamaa Job lilikuwa vizuri sana upstairs. Darasani lilikuwa linakung'uta tu straight As. Akili ilikuwa ikichaji balaa. CCM ilivyo inaharibu sana wakufunzi hadi yani hawana mantiki na maana yoyote kwenye elimu yao.

Mwengine hatariii nilisimuliwa Aidan alikuwa naye balaa. CCM ikamvuruga sana huyu mkufunzi
 
Back
Top Bottom