I have never been a great thinker...U great thinker wako ni wa kitoto kama umeshindwa kuwaelewa wana Mbeya wamemaanisha nini,kaa chini tafakari utapata jibu usilete bla bla zako hapa.
Hivi kama nguvu ya umma ikiweza kuing'oa serikali ya magamba madarakani na kikaingia chama kingine madarakani na kuboresha maisha ya waTZ je polis watafurahia hayo maisha bora au la? Kama watafurahia kwanini wanazuia watu kudai haki zao? Kama hawatafuraia wakaze buti na kubuni taarifa za kiintelejensia na kufanya mazozi yakukabiliana na maandamano zaidi. Au wamefurahia kuishi kwenye magofu ambayo mtu ukiambiwa yanaishi watu htwezi amini namaanisha kota za polis ni chafu mbaya zaidi ya nyumba iliyodondokewa na bomu
pAMOJA SANA NA MKUU NIMEELEWA VYEMA ZAIDI MCHANGO HUU NA DHIMA YOTEPole mkuu,
tunalipia gharama za uhuru, new memberz ni wengi.... Hata wale old waliyumba kidogo na post yako labda hukufunguka kama hvi...
Suala hili la mbeya, hata kwa sisi lililotugusa kwa furaha sio kwamba hatujaona hayo matundu, ila ni vile inafahamika kuwa hyo ni kama mbinu tu za kumtia jazba mtawala na kumtusi lakini hakuna hata lepe la ukweli katika tangazo hilo,
hebu kumbuka lile bango alibebaga mtoto tena hukohuko mbeya akimwambia Jk kuwa "kama nchi imekushinda nipe mimi" nadhani unalikumbuka hlo bango kaka, lilipata kuwa kwenye front page ya gazeti la Mwanahalisi na Mwananchi, natamani ningekuwa na pc hapa ningekuwekea hapa ila najua kuna mwanajamvi ataiweka!
Hatuwezi tukapandisha jazba kwa mabango kwenye harakati, coz agenda ya hzo harakati za machinga zinafahamika na hayo mabango yanaandikwa tu vijiweni.
Pia chukua mda kumbuka yale mabango mliwahi kuandika kipindi kile cha migomo UD....
So mkuu hayo ni mabango tuu, nadhani next time tutakuwa na mjadala mpana zaidi katika mchango wa mabango kwenye maandamano.
Kwa kupitia siasa za kujitenga kama mifano ya nchi tofauti duniani tunaweza kusema kwenye suala la mbeya hatujafikia huko wala japo kwasasa tunaweza kusema hamna sehemu yoyote kwenye nchi yetu imewaza kufanya hivyo, wote bado tunaamini katika UKOMBOZI WA PAMOJA.
Japo kuna maeneo lazima yatatuongoza,
So mkuu just ulitumia darubini ya mbali sana ndo maana ukaita huu ni upuuzi (kitu ambacho ni kweli ukifika mda wake utaitwa upuuzi ila sio sasa).
Napenda niyarudie tena maneno yangu ya kwenye post iliyotangulia kuwa "HII NDIO NJIA PEKEE ILIYOBAKI, KATIKA KUELEKEA MUAFAKA MPYA WA KIJAMII KATIKA KUTAWALANA NA KUONGOZANA"
Pamoja kiongozi MTM!
huu sasa upuuzi na ukiachwa uendelee sijui tutafika wapi
anaweza akaleta utani wake mwisho nikamla kiboga, sasa sijui atakuja kusema MTM kamuingilia kinyume na maumbile au MTM alitumia masaburi yake wakati namla kufikiri au vipi
I have never been a great thinker...
sikiliza wewe kichomi...
malawi, Uganda failed because of faction approach... we dont have a national approach, we dont have a common agenda kwa sasa, hebu niambie kama kweli tuko serious unaweza kumweka sugu awe rais wa mbeya?? do you expect positive change?? tena bila uchaguzi?? what are we learing from this?? we learn that there is a need for retracting, relook at our approach and have a common national surge that is well coordinated.
our common agenda ni human rights, basic needs, corruption and selfish leader and above all bad leadership and governance... sio kumweka sugu kuwa rais wa mbeya au rombo kupandisha bendera ya kenya (which to me is the stupidest thing ever!) bora hata wangeweka ngozi ya mbuzi basi... yaani Kenya?? they wish to be in Kenya or what??
Sasa sugu (whom i respect alot) leo anatawazwa kuwa rais wa mbeya, ccm wakianguka mbeya kaputi, je tutafanya uchaguzi wa rais mpya au ndio basi tena keshatawazwa kuwa rais??
ANYWAY, WANSEMA LILA NA FILA HAVITANGAMANI.... NAOMBA NIISHIE HAPO AND BY THE WAY I AM NEVER A GREAT THINKER, I AM JUST A TANZANIA WHO HAPPEN TO BE A JF MEMBER AND FREE TO EXPRESS MYSELF HATA KAMA HUPENDI
Tunapoteza maana ya mabadiliko... we want change YES
huu sasa upuuzi na ukiachwa uendelee sijui tutafika wapi
Unatakiwa uwe mwepesi wa kuelewa. Ni wazi watu wa mbeya hatuna mpango wa kujitenga na kama kungekuwa na mpango basi hata sugu sio mtu wa mbeya ni mtu wa Iringa. Lakini kuonesha kuwa tunatambua utaifa wetu tumemchagua sugu kuwa mbunge wetu. Unatakiwa kutafsiri maandishi hayo kama kiwango cha juu kabisa cha wananchi kuchukizwa na chama na serikali uchwara. Watanzania wote tumefikia level ya ustaarabu ambao hakuna anayeota kujitenga, kama wewe imekuuma ulitakiwa uwapigie kelele wanaotuharibia nchi sio kujifanya wee ndo mwalimu wa uzalendo. Wote ni wazalendo tunataka hao viongozi wako watupeleke tunakotaka na sio waifanye nchi kama shamba la bagamoyo.I have never been a great thinker...
sikiliza wewe kichomi...
malawi, Uganda failed because of faction approach... we dont have a national approach, we dont have a common agenda kwa sasa, hebu niambie kama kweli tuko serious unaweza kumweka sugu awe rais wa mbeya?? do you expect positive change?? tena bila uchaguzi?? what are we learing from this?? we learn that there is a need for retracting, relook at our approach and have a common national surge that is well coordinated.
our common agenda ni human rights, basic needs, corruption and selfish leader and above all bad leadership and governance... sio kumweka sugu kuwa rais wa mbeya au rombo kupandisha bendera ya kenya (which to me is the stupidest thing ever!) bora hata wangeweka ngozi ya mbuzi basi... yaani Kenya?? they wish to be in Kenya or what??
Sasa sugu (whom i respect alot) leo anatawazwa kuwa rais wa mbeya, ccm wakianguka mbeya kaputi, je tutafanya uchaguzi wa rais mpya au ndio basi tena keshatawazwa kuwa rais??
ANYWAY, WANSEMA LILA NA FILA HAVITANGAMANI.... NAOMBA NIISHIE HAPO AND BY THE WAY I AM NEVER A GREAT THINKER, I AM JUST A TANZANIA WHO HAPPEN TO BE A JF MEMBER AND FREE TO EXPRESS MYSELF HATA KAMA HUPENDI
Tunapoteza maana ya mabadiliko... we want change YES
lazima tupige chaboUsioziba ufa
Thanks KibonaUnatakiwa uwe mwepesi wa kuelewa. Ni wazi watu wa mbeya hatuna mpango wa kujitenga na kama kungekuwa na mpango basi hata sugu sio mtu wa mbeya ni mtu wa Iringa. Lakini kuonesha kuwa tunatambua utaifa wetu tumemchagua sugu kuwa mbunge wetu. Unatakiwa kutafsiri maandishi hayo kama kiwango cha juu kabisa cha wananchi kuchukizwa na chama na serikali uchwara. Watanzania wote tumefikia level ya ustaarabu ambao hakuna anayeota kujitenga, kama wewe imekuuma ulitakiwa uwapigie kelele wanaotuharibia nchi sio kujifanya wee ndo mwalimu wa uzalendo. Wote ni wazalendo tunataka hao viongozi wako watupeleke tunakotaka na sio waifanye nchi kama shamba la bagamoyo.
Ni wakati wa kupata rais anayetoka miongoni mwetu sisi wenyewe wananchi, mwenye kujuwa matatizo yetu, tuliye naye kila mara kama ilivyo kwa Dr Slaa, namwomba tu ikitokea akaingia ikulu asiache kuingia humu JF...
Hii Kitu mie nimeipenda sana. Sasa kule Arusha, Mwanza, Kilimanjaro na kwingineko watengeneze mabango kama haya na kuandika, "Arusha nchi, Rais Dr Slaa, Mwanza nchi, Rais Dr Slaa." n.k. itakuwa poa sana