Baada ya Rombo kupandisha bendera ya Kenya Sasa Mbeya wajitangazia nchi na Rais wao!

Hata kanda ya ziwa napendekeza wajitenge na kuwatimua wanaojiita wawezekezaji waache dhahabu zetu na tuone hawa mashetani watatoa wapi pesa ya kufisadi.
 
mm napita km wanamuziki, maDj na wapenda Disko bado mnawashabikia kuwa marais haya! Uchumi ndo huo tena utaimarika

Acha dharau kijana, kwani hao wachumi na 4 PhD holders wamefanya nini kwa huo uchumi unoulilia? Uraisi ni taasisi inayohitaji utashi na nia zaidi ya kuwa na elimu ya uchumi au ya muziki
 
Mbeya wajitangaza nchi na Sugu ndio rais wao!
DSC00762.JPG

Nimeipenda sana hii BHANYAMBALA BHATIKUTIILA MUNDU.
 
mie nilshasikiaga moshi na arusha hapo zamani walishatakaga kujitenga. nadhani huu ni wakati muafaka kufanya hivyo maana nchi haina rais kila kiongozi
 
DSC00762.JPG



Hii Kitu mie nimeipenda sana. Sasa kule Arusha, Mwanza, Kilimanjaro na kwingineko watengeneze mabango kama haya na kuandika, "Arusha nchi, Rais Dr Slaa, Mwanza nchi, Rais Dr Slaa." n.k. itakuwa poa sana

Nazidi kufarijika zaidi na zaidi.
 
Jamani kweli people power wakiamua hawawezi shindwa hapa mbeya hadi sasa ni mwendo wa mabomu ya machozi na risasi za moto. Wameazima hadi magari na asksari toka iringa sasa sijui na iringa wakilianzisha itakuwaje?
 
Popote pale kwenye hii sayari yetu hawakosekani watu kama hawa, lakini sio kweli kuwa wanawakilisha watanzania wote. Hili ni kundi dogo sana tena la wavuta bangi. Duh! Sugu kuwa rais wa Mbeya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! labda kwenye kijiji chao.
 
Mhhh,kazi ipo,huyu jeykei anayaona haya?

Watawala wa Bara la Africa wamekingwa na kuta za Ikulu hawaoni yaliyo nje ya Ikulu ndio maana wanakula na kusaza wakati kuna wananchni wanakufa na Malaria kila siku, wanakufa kwa njaa kila siku, na wapo hata wasikwenda shule kwa kukosa ada, uniform na mlo.
 
Back
Top Bottom