Baada ya Rombo kupandisha bendera ya Kenya Sasa Mbeya wajitangazia nchi na Rais wao!

anaweza akaleta utani wake mwisho nikamla kiboga, sasa sijui atakuja kusema MTM kamuingilia kinyume na maumbile au MTM alitumia masaburi yake wakati namla kufikiri au vipi

Tatizo watu wandhani hatuwezi hiyo lugha... na kusema ukweli asipoangalia ntamla tigo
Wapotezee kamanda.Wanaharibu jamvi inawezekana ni vijana wadogo.
 
Mbeya wajitangaza nchi na Sugu ndio rais wao!
DSC00762.JPG

Hivi hiyo on Kandoro, is it the F word?
 
Tatizo lililopo, ukiachilia mbali hali ngumu ya maisha, wanasiasa wameshindwa elewa kwamba Mbeya wana historia ndefu sana ya kupingana na siasa za kinafiki; Mwalimu Nyerere alipata wakati mgumu sana kule wakati wa ziara zake, Jumbe akiwa makamu wa rais ndio kabisa, aliwahi hata kimbilia kwenye gari wakati wa mkutano wa hadhara kyela;

Uamuzi wa kumpelekea Kandoro kuwa RC Mbeya haukuwa mzuri sana, haina maana kwamba sio mchapa kazi, lakini siasa zake na style yake ya uongozi italeta matatizo makubwa sana kule; Mbeya ni sign kwamba nafasi ya ukku wa mkoa katika karne hii imepitwa na wakati, ikiwezekana ifutiliwe mbali; Majukumu ya wakuu wa Mikoa katika Tanzania ya 2011 na kuendelea yanatakiwa yabadilishwe kama sio kufuta kabisa nafasi hiyo kwani imetawaliwa sana na nguvu za dola na matumizi mabaya chini ya kamati za ulinzi na usalama, wanatumia muda mdogo sana kusimamia sera/miradi ya maendeleo;
 
Thanks Kibona

Nanena ninenayo kwa kinywa na kwa kufikiri.... nina PMs nina emails za watu wanaoamini kabisa Mbeya itajitangazia uhuru, so dont underestimate or overestimate anything in this state of our nation

Pamoja na yote, nashukuru kwa ushauri wako na nina imani wengi wameelimika kwa post yako
Nakuhakikishia kabisa Mbeya haina mpango wa kujitangazia uhuru. Hao wanaosema wana maslahi yao na chanzo ni mvurugano ndani ya ccm kwa hiyo usiwe na wasiwasi na hilo, wanachotaka wanambeya na mie nikiwemo ni maendeleo na sio siasa uchwara kama za kikwete na mwakipesile. Kwa kifupi hakuna mtu anaweza kuinfluence watu wa mbeya wakakubali kwa wingi kujitangazia uhuru ila tunachotaka ni ccm ipumzike. Hao akina mwakyembe na mwandosya sio superior sana kihivyo. Mwakyembe baada ya kuvurunda ishu ya richmond bungeni tayari wananchi wa kyela wameanza kuonesha hali ya kumtaka apumzike.
 
Umesomeka...
 
Ni wakati wa kupata rais anayetoka miongoni mwetu sisi wenyewe wananchi, mwenye kujuwa matatizo yetu, tuliye naye kila mara kama ilivyo kwa Dr Slaa, namwomba tu ikitokea akaingia ikulu asiache kuingia humu JF...

Aendelee kuwa mtu wa watu.

Asifanye kama JK kumbe alikuwa mnafiki kutembelea vijiweni kujichanganya na walala wima kabla hajapata urahisi, kumbe little did we know ana lake jambo.

Yani ilikuwa ni for publicity purposes...Jakaya tulidhani ni mtu wa watu, kumbe wapi bana!

Na kwa jinsi alivyo,nina uhakika humu anachungulia, sema hawezi kujiunga for ametugeuka yeye ni safari tu na huku nchi ishauzwa.

Mkuu jmushi1 huyu Kikwete si mtu wa watu bali ni mtu wa mafisadi na ndio maana ikabidi atumie mabilioni ya mafisadi ili kuhakikisha yanamuingiza Ikulu. Na baada ya kuingia madarakani kulikuwa na opporunities chungu nzima za kuonyesha kwamba ni kiongozi anayejali maslahi ya Tanzania na Watanzania lakini kwa vile ametiwa mifukoni mwa mafisadi hasa Rostam hakuthubutu kufanya lolote la maana ili ambalo lingeungwa na Watanzania walio wengi. Kuanzia issue ya Richmond/Dowans, EPA, Meremeta, Ufisadi wa Mkapa, Mauaji ya Watanzania kule Tarime, Shinyanga, Arusha na sasa inasemekana Mbeya, mikataba ya madini, upatikanaji wa katiba mpya. Amekuwa mtu hovyo kabisa hata kumuita kiongozi unasikia kichefuchefu, sijui hata anachokiongoza ni kipi wakati nchi inazidi kwenda mrama kila siku iendayo kwa Mungu. Ni bora tu ashinikizwe asimalize awamu yake maana akiendelea hadi 2015 basi ataiacha nchi katika hali mbaya sana na itachukua miaka mingi sana kuweza kuiweka nchi katika mazingira ya kuridhisha.
 
Tatizo lililopo, ukiachilia mbali hali ngumu ya maisha, wanasiasa wameshindwa elewa kwamba Mbeya wana historia ndefu sana ya kupingana na siasa za kinafiki; Mwalimu Nyerere alipata wakati mgumu sana kule wakati wa ziara zake, Jumbe akiwa makamu wa rais ndio kabisa, aliwahi hata kimbilia kwenye gari wakati wa mkutano wa hadhara kyela;

Uamuzi wa kumpelekea Kandoro kuwa RC Mbeya haukuwa mzuri sana, haina maana kwamba sio mchapa kazi, lakini siasa zake na style yake ya uongozi italeta matatizo makubwa sana kule; Mbeya ni sign kwamba nafasi ya ukku wa mkoa katika karne hii imepitwa na wakati, ikiwezekana ifutiliwe mbali; Majukumu ya wakuu wa Mikoa katika Tanzania ya 2011 na kuendelea yanatakiwa yabadilishwe kama sio kufuta kabisa nafasi hiyo kwani imetawaliwa sana na nguvu za dola na matumizi mabaya chini ya kamati za ulinzi na usalama, wanatumia muda mdogo sana kusimamia sera/miradi ya maendeleo;
Kuna watu humu ndani wanasema JK ni mtu wa visasi,sasa kama walimpiga mawe unategemea atawapelekea nani zaidi ya huyo Kandolo?
JK alifanya kosa kama hilo pia huko AR.

Huwezi kushindana na umma kwenye dunia ya sasa. Ukiwa mjanja uwe upande wa 99%,kama mjaluo anavyofanya, otherwise hata yeye angenyofolewa white house.

Hakuna kiongozi mwenye maslahi kwa masikini kwenye mataifa mengi tu ta Afrika TZ ikiwemo.
 
Mkuu jmushi1 huyu Kikwete si mtu wa watu bali ni mtu wa mafisadi na ndio maana ikabidi atumie mabilioni ya mafisadi ili kuhakikisha yanamuingiza Ikulu. Na baada ya kuingia madarakani kulikuwa na opporunities chungu nzima za kuonyesha kwamba ni kiongozi anayejali maslahi ya Tanzania na Watanzania lakini kwa vile ametiwa mifukoni mwa mafisadi hasa Rostam hakuthubutu kufanya lolote la maana ili ambalo lingeungwa na Watanzania walio wengi. Kuanzia issue ya Richmond/Dowans, EPA, Meremeta, Ufisadi wa Mkapa, Mauaji ya Watanzania kule Tarime, Shinyanga, Arusha na sasa inasemekana Mbeya, mikataba ya madini, upatikanaji wa katiba mpya. Amekuwa mtu hovyo kabisa hata kumuita kiongozi unasikia kichefuchefu, sijui hata anachokiongoza ni kipi wakati nchi inazidi kwenda mrama kila siku iendayo kwa Mungu. Ni bora tu ashinikizwe asimalize awamu yake maana akiendelea hadi 2015 basi ataiacha nchi katika hali mbaya sana na itachukua miaka mingi sana kuweza kuiweka nchi katika mazingira ya kuridhisha.
Mkuu nimekupata,however nilimaanisha kabla ya uraisi,ndo maana nikasema alikuwa na lake jambo.

Mkuu JK alikuwa kipitia vijiweni hata pale Sinza ilikuwa ni kawaida tu kupita na kutoa hi kiaina.

Na watu wakimwona kila mtu Jakaya huyo!,Jakaya huyo!Watu wana wave their hands,na yeye anafanya the same.Siyo mawaziri wote walikuwa waki act hivyo na kushangiliwa na wananchi kila wanapopita!

Sometimes alikuwa ndo hivyo mtu wa kujichanganya...Kwahiyo watu wakawa wanamwona kama ni mtu wa watu,kwa kujichanganya na masikini.

Sasa hivi ndo kama ulivyosema hapo juu...Na hathubutu kufanya hivyo tena,ndo maana nikasema i believe huwa anachungulia humu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom