Baada ya Rombo kupandisha bendera ya Kenya Sasa Mbeya wajitangazia nchi na Rais wao!

..lakini kama maisha bora mbona Rombo,Mbeya,na Arusha, are doing better kuliko maeneo mengine ya Tanzania?

JokaKuu,

Labda wakazi wa huko wanaona they deserve better than what they are getting. Labda wanaona Tanzania ni jina tu linalotumika kuvuna jasho lao.

Mtu anayeona rushwa na dhuluma kila siku, kama vile kutapeliwa ardhi na rasimali zake kwa jina la uwekezaji, kitu gani kinamzuia huyu mtu kusema Tanzania ni jina tu linaloficha ukoloni uliopo kupitia a few traitors, i.e. wabunge wao?

Mfano, mtu wa Shinyanga mwenye ardhi yenye dhahabu tele lakini hana huduma za jamii (kuanzia shule, hospitali nk) na anashuhudia sehemu kama Dar ikiwa na huduma za jamii kibao kwa mgongo wa dhahabu zake, kitu gani kitamzuia kusema Tanzania ni ukoloni unaoneemesha Dar kupitia ardhi yake? Akitaka kujitenga litakuwa kosa? Mkimwita mkabila yeye atawaita wakoloni.
 
wananifahamu humu jf wanaelewa msimamo wangu... Ila wachache waliokuja juzi au wenye fikra changa hawatanielewa. Pia baadhi wenye kumbukumbu wanakumbuka sapoti yangu kwa arusha na povu langu kwa ms, ff na wengine

lets be realistic, changes yes but kutangaza uhuru au nchi ni upuuzi na ni divisive and selfish. It has to be fot tz and not one geographic area. Na pia huwezi kumtangaza sugu rais bila uchaguzi

everybody is hurt and passionate but wisdom shall prevail

kuna memba mmoja kaniambia natumia masaburi kufikiri. My answer is yes. Kidole changu kipo kwenye saburi la mama yake mzazi na ndio kimachonifanya nifikiri vibaya
 
mm napita km wanamuziki, maDj na wapenda Disko bado mnawashabikia kuwa marais haya! Uchumi ndo huo tena utaimarika

Wee mpumbavu nini? Madagascar inaongozwa na nani kama siyo Dj? Uwe unatumia angalau tumbo kufikiri na siyo masaburi!
 
wananifahamu humu jf wanaelewa msimamo wangu... Ila wachache waliokuja juzi au wenye fikra changa hawatanielewa. Pia baadhi wenye kumbukumbu wanakumbuka sapoti yangu kwa arusha na povu langu kwa ms, ff na wengine

lets be realistic, changes yes but kutangaza uhuru au nchi ni upuuzi na ni divisive and selfish. It has to be fot tz and not one geographic area. Na pia huwezi kumtangaza sugu rais bila uchaguzi

everybody is hurt and passionate but wisdom shall prevail

kuna memba mmoja kaniambia natumia masaburi kufikiri. My answer is yes. Kidole changu kipo kwenye saburi la mama yake mzazi na ndio kimachonifanya nifikiri vibaya

U great thinker wako ni wa kitoto kama umeshindwa kuwaelewa wana Mbeya wamemaanisha nini,kaa chini tafakari utapata jibu usilete bla bla zako hapa.
 
duu watz wameamua nadhani mkuu wa kaya bado anatafakari maneno ya bwa daudi from uk..

Anashindwa kutafakari jins yakuvunja mikataba inayowapa hizo hela za madini zinazowapa kiburi, ili tuende sawa kwenye hiyo mikataba
 
Ha ha ha ha ha ha!!! wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Mie nataka iwe hivi...

Arusha nchi-raisi Lema
Moshi nchi-raisi Ndesamburo
Iringa nchi-raisi Msigwa
Kawe nchi-raisi wa kwanza mwanamke Halima Mdee
Hai nchi-raisi Kamanda Mbowe nk nk nk

ha ha ha ha ha ha ha.........
 
wananifahamu humu jf wanaelewa msimamo wangu... Ila wachache waliokuja juzi au wenye fikra changa hawatanielewa. Pia baadhi wenye kumbukumbu wanakumbuka sapoti yangu kwa arusha na povu langu kwa ms, ff na wengine

lets be realistic, changes yes but kutangaza uhuru au nchi ni upuuzi na ni divisive and selfish. It has to be fot tz and not one geographic area. Na pia huwezi kumtangaza sugu rais bila uchaguzi

everybody is hurt and passionate but wisdom shall prevail

kuna memba mmoja kaniambia natumia masaburi kufikiri. My answer is yes. Kidole changu kipo kwenye saburi la mama yake mzazi na ndio kimachonifanya nifikiri vibaya

Pole mkuu,
tunalipia gharama za uhuru, new memberz ni wengi.... Hata wale old waliyumba kidogo na post yako labda hukufunguka kama hvi...
Suala hili la mbeya, hata kwa sisi lililotugusa kwa furaha sio kwamba hatujaona hayo matundu, ila ni vile inafahamika kuwa hyo ni kama mbinu tu za kumtia jazba mtawala na kumtusi lakini hakuna hata lepe la ukweli katika tangazo hilo,
hebu kumbuka lile bango alibebaga mtoto tena hukohuko mbeya akimwambia Jk kuwa "kama nchi imekushinda nipe mimi" nadhani unalikumbuka hlo bango kaka, lilipata kuwa kwenye front page ya gazeti la Mwanahalisi na Mwananchi, natamani ningekuwa na pc hapa ningekuwekea hapa ila najua kuna mwanajamvi ataiweka!
Hatuwezi tukapandisha jazba kwa mabango kwenye harakati, coz agenda ya hzo harakati za machinga zinafahamika na hayo mabango yanaandikwa tu vijiweni.
Pia chukua mda kumbuka yale mabango mliwahi kuandika kipindi kile cha migomo UD....
So mkuu hayo ni mabango tuu, nadhani next time tutakuwa na mjadala mpana zaidi katika mchango wa mabango kwenye maandamano.
Kwa kupitia siasa za kujitenga kama mifano ya nchi tofauti duniani tunaweza kusema kwenye suala la mbeya hatujafikia huko wala japo kwasasa tunaweza kusema hamna sehemu yoyote kwenye nchi yetu imewaza kufanya hivyo, wote bado tunaamini katika UKOMBOZI WA PAMOJA.
Japo kuna maeneo lazima yatatuongoza,
So mkuu just ulitumia darubini ya mbali sana ndo maana ukaita huu ni upuuzi (kitu ambacho ni kweli ukifika mda wake utaitwa upuuzi ila sio sasa).
Napenda niyarudie tena maneno yangu ya kwenye post iliyotangulia kuwa "HII NDIO NJIA PEKEE ILIYOBAKI, KATIKA KUELEKEA MUAFAKA MPYA WA KIJAMII KATIKA KUTAWALANA NA KUONGOZANA"
Pamoja kiongozi MTM!
 
Hivi kama nguvu ya umma ikiweza kuing'oa serikali ya magamba madarakani na kikaingia chama kingine madarakani na kuboresha maisha ya waTZ je polis watafurahia hayo maisha bora au la? Kama watafurahia kwanini wanazuia watu kudai haki zao? Kama hawatafuraia wakaze buti na kubuni taarifa za kiintelejensia na kufanya mazozi yakukabiliana na maandamano zaidi. Au wamefurahia kuishi kwenye magofu ambayo mtu ukiambiwa yanaishi watu htwezi amini namaanisha kota za polis ni chafu mbaya zaidi ya nyumba iliyodondokewa na bomu
 
dalili mapinduzi 1.viongozi kupingana hadharani 2.maandamano ya masikini 3.tofauti kubwa ya kipato.JWTZ tafakari
 
Back
Top Bottom