Baada ya miaka michache, Dar es Salaam vs Mwanza

Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
1,295
Likes
1,536
Points
280
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
1,295 1,536 280
Habarini
Ngoja niende kwenye maono yangu.....

Kwakuwa serikali inahamia Dodoma, inamaana kuwa nguvu ya jiji pendwa DSM inapungua kwa maana shughuli, ofisi, wizara zinahamia Dodoma.

Pia endapo suala la kugenga reli ya kisasa Dsm- mwanza inamaana huduma nyingi sana zitkuwa zinapatikana nwanza kama dsm

Huku wakati jiji la Dsm likipungukiwa nguvu, jiji la mwanza linazidi kukua kwa kasi.... maana ndo litakuwa hub au jiji la kibiashara East Africa.

Nchi jirani wanaotegemea bandari za Tanzania watachukulia mwanza bidhaa zao kwa kusafirishwa na reli ya kisasa from dsm.

Pia uwanza wa ndege wa kisasa unajengwa ksa ushirikiano na nchi ya oman... hivyo basi watu tuine hizo fursa ambazo zipo mwanza and tuzithmie effectively

Baada ya muda tutakuwa na majiji makuu 2 yenye ushindani ya kibiashara

Nawasirisha
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,894
Likes
7,628
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,894 7,628 280
Wakati mwanza mkizindua daraja la kuvuka barabara na kufurahia dar yamejaa na sasa fly overs zinajengwa.
Mwanza haiwezi kulingana na dar ni sawa tairi la nyuma la gari kukimbiza tairi la mbele
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
57,153
Likes
38,352
Points
280
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
57,153 38,352 280
Habarini
Ngoja niende kwenye maono yangu.....

Kwakuwa serikali inahamia Dodoma, inamaana kuwa nguvu ya jiji pendwa DSM inapungua kwa maana shughuli, ofisi, wizara zinahamia Dodoma.

Pia endapo suala la kugenga reli ya kisasa Dsm- mwanza inamaana huduma nyingi sana zitkuwa zinapatikana nwanza kama dsm

Huku wakati jiji la Dsm likipungukiwa nguvu, jiji la mwanza linazidi kukua kwa kasi.... maana ndo litakuwa hub au jiji la kibiashara East Africa.

Nchi jirani wanaotegemea bandari za Tanzania watachukulia mwanza bidhaa zao kwa kusafirishwa na reli ya kisasa from dsm.

Pia uwanza wa ndege wa kisasa unajengwa ksa ushirikiano na nchi ya oman... hivyo basi watu tuine hizo fursa ambazo zipo mwanza and tuzithmie effectively

Baada ya muda tutakuwa na majiji makuu 2 yenye ushindani ya kibiashara

Nawasirisha
Umesahau kuweka point moja kubwa zaidi... Rais wa Mwanza ambaye anaishi Dar amewaahidi watu wake nyumba zao hazitabomolewa na atalijenga jiji hilo liwe la kibiashara kwa kodi za watu wa Kimara
 
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
1,295
Likes
1,536
Points
280
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
1,295 1,536 280
Umesahau kuweka point moja kubwa zaidi... Rais wa Mwanza ambaye anaishi Dar amewaahidi watu wake nyumba zao hazitabomolewa na atalijenga jiji hilo liwe la kibiashara kwa kodi za watu wa Kimara
Aisee umenichekesha sana... eti raisi wa mwanza anaishi dsm

Hahahahahaha
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
57,153
Likes
38,352
Points
280
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
57,153 38,352 280
labda safari hii ataijengea fly-over ipate kutembea juu..
Yeah ng'ombe wa baba wasigongwe na gari shurti wapite juu. Hivi ile international airport yetu bombardier zimeshaanza kuwashusha wasukuma?
 
Forum statistics

Threads 1,249,431
Members 480,660
Posts 29,698,250