Baada ya miaka michache, Dar es Salaam vs Mwanza

sio vibaya kuwa na majiji yanayolingana! Tufurahie fursa hizi ili tanzania iwe sawa kwa wote
 
Wakati mwanza mkizindua daraja la kuvuka barabara na kufurahia dar yamejaa na sasa fly overs zinajengwa.
Mwanza haiwezi kulingana na dar ni sawa tairi la nyuma la gari kukimbiza tairi la mbele
Mkuu usihangaike na akili za kingoshaaa....
 
Jitu jeusi, hivi ulishafika Dar au unaiona kwenye Luninga? Mwanza iendelee na jitihada zake za kukua lakini si kuifikia Dar
Mkuu mimi ni mkazi wa ubungi msewe..... tangu vidudu nipo dsm hadi sasa
 
Dar Itaendelea kutingisha mpk Mwisho wa Tanzania. Wasukuma mkipata hela gia ya kwanza Dar. Hatuna roho mbaya wana Dar es salaam.
zile korosho za Tandahimba vipi..unazileta Dar bado, nataka kununua[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1]
 
Mkuu mimi ni mkazi wa ubungi msewe..... tangu vidudu nipo dsm hadi sasa
Mwanza ile ya miamba na mawe ije isambae na kuja kufanana na kuivuka Dar inayojipanga kuimeza Bagamoyo, Mkuranga na Kisarawe ? Labda muanze harakati za kutuhamisha sote, vinginevyo endeleeni kusubiri mpaka MASIHI atakaporejea
 
Nikweli si rahisi Mwanza kuifikia Dar na bahati mbaya ile speed watu wa Mwanza tuliyokuwa nanazidiwa na Dar ime double mara 4 kiasi cha kuona vumbi tu.

Miaka michache nyuma Mwanza tulikuwa tunazidiwa na Dar kila kitu mara 2, kuanzia pato la taifa mpaka na population lakini kipindi hiki tunazidiwa mara 4 zaidi na hili limekuja kwenye kipindi cha awamu mbili za Kikwete.

Selikari kuu imehusika sana katika ujenzi wa miundo mbinu hasa barabara za rami wakati huku kwetu jukumu hilo limebaki kwa halmashauri.

Taasisi za majeshi zimejenga maghorofa na nyumba za kawaida nyingi sana.

Kumejengwa viwanja viwili vya michezo katika eneo moja, ule uwanja wa Taifa wa zamani ungeweza kujengwa hata Mwanza,

Ndani ya kipindi kifupi tu uwanja wa ndege wa Dar umetanuliwa mara mbili mfurulizo huku wa Mwanza ukipigwa danadana,

Kikwete kawajengea kwao hospital nyingine kubwa kimajengo karibu sawa na Bugando wakati tayari kulikuwa na Muhimbili, Mwanza hatuna hospitali kubwa ya serikali, Bugando ni ya wenyewe na nikubwa kimajengo tu ila sio vifaa tiba na wataalamu.

Kikwete alivipandiaha hadhi vyuo vya kati vya Dar kuwa University mfano kile cha ualimu Chang'ombe alafu akakiacha kile cha Butimba Mwanza.

Kajenga daraja la Kigamboni wakati kuna njia ya barabara ya kuzungukia Mbagala lakini kaacha kujenga Mwanza - Sengerema abako hakuna njia ya karibu zaidi ya kuzungukia Kahama.

Mifuko yote ya jamimii iliagizwa kujenga majengo marefu Dar japo kwa hili siwezi laumu labda walizingatia zaidi wapi watapata wapangani wanaolipa vizuri.

Ukweli lazima tuuseme, kama Magufuri akiamua kuifanya Mwanza kuwa mshindani wa kweli waDar inawezekana akipenda japo inaweza zusha vurugu.

Kujenga bomba la mafuta kutoka Dar mpaka Mwanza ili kufanya bei ya mafuta zikaribie kulingana.

Kujenga Mwanza vyuo vikuu vitano vikubwa kama UDOM.

Kuwapa mashariti rahisi zaidi wawekezaji watakao kubali kuwekeza Mwanza.

Kujenga Hospitali kubwa na ya kisasa kuliko ile Kikwete aliyojenga kwao.

Kujenga dimba la michezo kama like la Dar, pia kujenga magereza kubwa tano ili wafungwa wa mikoa mingine waletwe Mwanza, hii itasaidi kuongeza mzunguko wa pesa.

Serikali kwa makusudi ijenge Mwanza viwanda vyote muhimu kuanzia rangi, saruji, mabati na vifaa vingine vya ujenzi.

Yafungwe Mwanza majenereta makubwa ya kuzalisha umeme wa grid ya Taiga zaidi ya yale yalioko Dar.

Mwisho serikali ijenge Mwanza base kubwa ya jeshi kushinda zile za Dar na pia shule nyingi za A level ili kujaza wanafunzi na watumishi.

Mambo hayo niliyoyataja karibu yote yalifanyika Dar na ndio sabau pakaendelea hivyo. Fulsa za kazi za kuajiliwa zilitengeneza population kubwa sana ambayo ndio msingi wa kujiajiri pia.

Hata hivyo sioni rais mwenye dhamira ya kweli ya kuibeba Mwanza zaidi ya mimi jiwe la maji ikiwa ikatokea miujiza ya kuwa rais.
 
Maelezo marefu Ila hata yote yakifanyika Dar itazid kutingisha
 
Habarini
Ngoja niende kwenye maono yangu.....

Kwakuwa serikali inahamia Dodoma, inamaana kuwa nguvu ya jiji pendwa DSM inapungua kwa maana shughuli, ofisi, wizara zinahamia Dodoma.

Pia endapo suala la kugenga reli ya kisasa Dsm- mwanza inamaana huduma nyingi sana zitkuwa zinapatikana nwanza kama dsm

Huku wakati jiji la Dsm likipungukiwa nguvu, jiji la mwanza linazidi kukua kwa kasi.... maana ndo litakuwa hub au jiji la kibiashara East Africa.

Nchi jirani wanaotegemea bandari za Tanzania watachukulia mwanza bidhaa zao kwa kusafirishwa na reli ya kisasa from dsm.

Pia uwanza wa ndege wa kisasa unajengwa ksa ushirikiano na nchi ya oman... hivyo basi watu tuine hizo fursa ambazo zipo mwanza and tuzithmie effectively

Baada ya muda tutakuwa na majiji makuu 2 yenye ushindani ya kibiashara

Nawasirisha

these are wishes.But, it will take some decades of hard work and serious investment for Mwanza to be what yoou wish it to!
 
Back
Top Bottom