Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,071
- 2,715
Nnavyowajua wabongo kwa unafiki baada ya awamu ya magu kuisha mwanza itasahaulika midomoni mwa watu wa nje ya mwanza na hata hayo maproject ambayo hayatakamilika kipindi hiki yatasimama na utasikia baadaye serikali haina hela labda baadaye hata huyo atakaye mrithi mkulu atoke huko huko, jambo ambalo kwa chama changu kilivyo sidhani kama inaweza kutokea.