Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

Best angu..mimi najiombeaga mwenyewe....huwez amini nnasali mno usiku...sali sana..sijawahi amini kumpelekea mchungaji sijui nabii matatizo yangu ...yaani pilipili awe mchungaji🤣🤣!
Karibu kinywaji mkuu
Asante sana mkuu. Na nimekuita kwa makusudi tu ili uone vituko vya walimwengu. Manabii, mitume, maaskofu etc wanazidi kuchipuka kama uyoga. Marehemu bibi yangu alikuwa anasema hata mtu ukiamua kuua wajinga hutamaliza...
 
BIBI apumzike mahala salama...amemaliza....mm haya makanisa yanayochipuka kama uyoga hapana kwakweli
 
Back
Top Bottom