Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

Thats me ..nampita kimoja...napenda music .....! Hapa nafurahia mziki mzuri nirudi kwangu
Siku moja Benten mmoja akawa anajaribu kumrushia mistari. Siku ya kwanza akawa kimya mara ya pili akaniita Mimi na Shangazi wa Benten alikuwa jirani anakunywa na benten yupo, akatuambia tumtafutie dogo Msichana wa kuoa kwa sababu anakoelekea atapata laana kwa kutongoza 'Mama' zake. Akashika adabu na hakuonekana tena!!!

Huwa nawaambia Vijana msiparamie paramie Wanawake Watu wazima, wangi tu wanakuja baa kunywa kwa starehe!
 
Wanakuja for leisure....they keep it for real! Hatupendi bugudha hata kidg
 
20210608_103756.jpg
 
Back
Top Bottom