Baada ya Masanja Mkandamizaji sasa MC Pilipili naye awa mchungaji.

Wangari Maathai njoo huku. Umepata mtumishi wa kuombea shughuli zako kama haziendi vizuri. Ushindwe mwenyewe sasa kuwa tajiri.
Best angu..mimi najiombeaga mwenyewe....huwez amini nnasali mno usiku...sali sana..sijawahi amini kumpelekea mchungaji sijui nabii matatizo yangu ...yaani pilipili awe mchungaji🤣🤣!
Karibu kinywaji mkuu
 
Una chuki na uislamu,

Waislamu wanajielewa,uko usikii habari za nabii au ujinga wowote
huu utoto wa kusema uislam unachukiwa ni maneno ya wajinga.
yaani tukitaja magaidi mnasema hawana elimu ya uislam,mkitaja wahubiri na manabii mnasema ukristo una mapungufu.

acheni unduza bana,kila mtu ashinde mechi zake,kama dini lenu haliuzi bila kuutaja ukristo mtajijua.
 
Back
Top Bottom